John Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara akizungumza kwenye mkutano wa hadhara wilayani Kyerwa Mkoani Kagera leo Mei 07, 2025.
"Leo mnaishi kwenye nchi ya asali na maziwa, watu wetu ni maskini, matibabu ni ya shida hata barabara ya kuunganisha wilaya na wilaya ndio hiyo tunatembea - kwa...
Henche Makamu Mwenyekiti Chadema nakushauri chunga kinywa chako. elewa kuwa hakuna aliye juu ya sheria. wewe, mini wala huyo Lissu hawezi kuwa juu ya sheria. "Sheria ni msumeno".
Elewa kuwa Lissu wewe au genge lenu lote sio wa muhimu kuzidi TAIFA.
Rais anawajibika kusimamia utawala wa Sheria...
John Heche achapisha ujumbe wa Tayari kwa kazi, no turning back, Get ready round ya tatu, ulioambatanishwa na picha ya magari mapya aina ya Ford Ranger
Makamu mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) ameandika kupitia ukurasa wake wa X kuwa nyumba yake imezingirwa na polisi wakiwa na gari nne. Anaandika;
"Nimezingirwa nyumbani kwangu tangu saa 10 alfajiri ya leo. Askari wakiwa na magari manne wako kwenye milango ya kuingilia."...
Taarifa zilizosambaa kila Mahali zinaonyesha kwamba Mwenyekiti wa Chadema Hatoletwa Mahakamani hadi siku ya Kunyongwa kwake.
Hii ndio mipango iliyopangwa na wale wanaodhani Wanamiliki Nchi ya Tanzania
=============
“Nimeambiwa kwamba wana mpango wa kutomleta (Tundu Lissu) mahakamani kwamba kesi...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na maendeleo Bara CHADEMA John Heche akiongea kwenye kongamano wagombea serikali za mitaa 2024.
Kongamano hilo lililofanyika ukonga jijini Dar es Salaam lakuwakutanisha wanachama wote wa mkoa wa Dar es salaam kujadili ajenda mbalimbali zinazoendelea kwa...
Makamu mwenyeki CHADEMA Bara Heche, ataongea na Wanahabari leo.
Pia ataelezeza kinagaubaga kilichotokea na kinachoendea na kitakachoendelea.
Nitakuwepo mbele kabisa.
https://www.youtube.com/watch?v=R7XKhHM8iJg
Makamu Mwenyekiti, CHADEMA, JOHN HECHE
John Heche ameeleza kuwa hawatokubali...
Makamanda Msikate tamaa, tuwaunge mkono kwa TONE TONE waweze kuwa na nyenzo angalau ya pesa kufanya haya ya haki wanayoyafanya! Mushkov nimenakili sentensi yako please
Erythrocyte
Wakuu,
Polisi na serikali ni wakati mwingine tena wa kujitia aibu🤦♀️🤦♀️🤦♀️
=====
Kupitia ukurasa wake wa X John Heche ameandika haya:
Usiku huu Mimi na wasaidizi wangu, tumeachiwa na polisi baada ya kututeka na kutushikilia kinyume cha utaratibu kwa mda mrefu.
Hakuna kiwango cha...
Mkurugenzi wa mawasiliano CHADEMA Brenda Rupia ameandika kupitia ukurasa wake wa X kuwa hadi sasa hawafahamu ni wapo alipo John Mnyika na John Heche. Ameandika;
"Mpaka sasa, hatujui aliko Katibu Mkuu wetu John Mnyika na John Heche Makamu Mwenyekiti ! Walitekwa waziwazi na maofisa wa maeneo ya...
Wakuu,
Msafara wa Makamu Mwenyekiti Bara Mhe. @HecheJohn umezuiwa na Jeshi na Polisi muda akiwa maeneo ya Selandar Bridge usiende Mahakama ya Hakimu Mkazi kufuatilia mwenendo wa kesi ya Uhaini inayomkabili mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. @HecheJohn leo tarehe 24, 2025 na kupelekwa Kituo cha...
John Heche amtaka Rais Samia kuifuta kesi ya uhaini ya Tundu Lissu
"Pia tunaitaka Serikali, na tunamtaka Rais Samia kwasababu hii Kesi ni yake, aiondoe hii Kesi Mahakamani wamfutie Lissu hii Kesi ya Uhaini kwasababu ni ya uongo, Lissu sio Muhaini, huwezi kufanya Uhaini kwa Raia ambaye hajawahi...
Wakuu!
Makamu Mwenyekiti Bara John Heche, leo tarehe 23 Aprili 2025 anazungumza katika Mkutano na Waandishi wa Habari utakaofanyika Makao Makuu ya Chama kuanzia saa saba mchana, waandishi wote wa habari mnakaribishwa.
https://www.youtube.com/live/uw_9B8sK8n8?si=O332MRt1WyWCHk4D
"Jambo la...
Makamu Mwenyekiti Bara John Heche leo tarehe 23/4/2025 amefika Ubalozi wa Vatican nchini kusaini kitabu cha maombolezo kufuatilia kifo cha Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francisko.
Heche amepokelewa na, Askofu Mkuu Angelo Accattino, Balozi wa Vatican nchini.
Wakuu kesho itakuwa fire sana, ngoja tuje kusikia sakata lilikuwaje hada makamu kutoka kukamatwa hadi kuavhiwa kwake mana ni kama movie.
===
Taarifa iliyochapishwa na Chadema na kurudiwa na Blenda Rupia Mkurugenzi wa mawasiliano Chadema inaeleza
"Usiku huu tumempata kwenye simu yake Makamu...
Nilichojifunza mimi ni kwamba, kuna mkakati maalumu wa kujaribu kuwanyamazisha viongozi wa CHADEMA. Inawezekana wamepanga kuwakamata viongozi wote wa ngazi ya juu wakiwa na lengo la kupisha kwanza uchaguzi au kudhoofisha upinzani.
Nilichojifunza cha pekee ni kwamba, Watanzania bado...
Mjumbe wa kamati kuu Chadema, Godblesss Lema ameandika kupitia ukurasa wake wa X kuwa Makamu Mwenyekiti bara John Heche yupo salama na afya njema na kesho ataendelea na mikutano
Soma:
Pre GE2025 - LHRC: Kukamatwa kwa John Heche sio sawa ni kinyume na haki za binadamu
John Heche akamatwa na...
Wewe Si wa kusema Eneo la Mkutano wa CDM Lina wafanyabiashara, mara Kuna Wanachama hawakiungi mkono CDM, mara wapo wanao support na blaa blaa blaa za Hovyo hovyo !!.
Hayo hukuyajua wakati CCM wanafanya mikutano yao Kariakoo?? Mlishawahi wazuia CCM wasifanye mikutano hapo??.
Au CCM ikiwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.