john heche

John Heche is a Tanzanian politician. He serves as a member of the Parliament of Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: Wanaiba pesa kisha wanawapa wananchi vitenge na mitungi ya gesi

    Makamu mwenyekiti wa CHADEMA John Heche akiongea na viongozi pamoja na wananchama wa chama hicho katika kikao cha ndani Kyela mkoani Mbeya ameeleza kuwa mali mbalimbali za Taifa zinataifishwa kwa watu wa mataifa ya nje mfano waarabu wamepewa baadhi ya viwanja vya ndege na Wachina wamekabidhiwa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche ashangazwa na wananchi kuwa na shida ya maji kwenye nchi yenye rasilimali nyingi

    Makamu mwenyekiti wa CHADEMA John Heche akiongea na viongozi pamoja na wananchama wa chama hicho katika kikao cha ndani Kyela mkoani Mbeya. "Mbunge wako akiugua Mungu ametuweka Tanzania nchi yenye neema kuliko nchi nyingi, mimi nimezunguka duniani unakwenda nchi unakuta ina rasimali moja tu...
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Heche akabidhiwa kusambaza No Reform No Election Kyela, Rungwe na Busokelo

    Hivyo ndivyo Ratiba ya Chadema inavyoonyesha. Taarifa kamili hii hapa
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: Serikali ya Samia Iliagiza Mayai, Nyama na Vipapatio vya Kuku kutoka Marekani kwa Dola Milioni 24.8

    Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, John Heche amesema Serikali ya CCM kupitia Rais Samia mwaka jana iliagiza Mayai, Nyama na Vipapatio vya Kuku kutoka Marekani kwa Dola Milioni 24.8 Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA wadai kauli ya Makalla inafukuza Watalii, wataka gazeti la Habari Leo wafunguliwe kesi

    John Heche awa Mbogo kuhusu Makalla kudai CHADEMA italeta Mpox na Ebola, 'Ni mjinga na mhujumu uchumi' ataka Habari Leo wafunguliwe kesi Soma: Pre GE2025 - Makalla: CHADEMA wanataka kuingiza Ebola Tanzania ili wazuie uchaguzi!
  6. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 John Heche hataki No reforms No election na ametangaza kugombea Tarime vijijini

    Wakuu JamiiCheck, nmekutana na Taarifa inayoeleza kuwa Jihn Heche hataki ajenda ya No reform na ametangaza kugombea ubunge jimbo la Tarime vijijini?
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Heche: CHADEMA Kujenga Chuo cha Uongozi na Ukumbi wa Mikutano Kupitia Kampeni ya "Tone Tone"

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche amesema chama hicho kinatarajia kujenga chuo maalum cha uongozi na kujenga ukumbi mkubwa wa mikutano katika eneo la Soga, kwa kutumia fedha zinazoendelea kuchangwa na wadau kupitia kampeni inayoitwa “tone tone”. Kupata matukio na taarifa zote kwa...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Heche: Tukishindwa kuzuia Uchaguzi Mkuu, basi CHADEMA hatutashiriki

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche amesema "Msimamo wetu upo wazi, bila mabadiliko hakutakuwa na uchaguzi na hatutashiriki uchaguzi" Pia, Soma John Heche: Tumeamua kuhakikisha kwamba uchaguzi haufanyiki. Tutawashirikisha Viongozi wa dini, mashirika ya kimataifa, balozi na NGO's...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania John Heche: Viongozi hatupeleki watoto wetu shule za Kata kwani hatuziamini?

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche amesema moja kati ya jambo linalothibitisha kwamba elimu ya shule za serikali si nzuri na haiaminiki ni hali ya viongozi wa juu serikalini ma kwenye vyama vya siasa kutopeleka watoto wao katika shule hizo.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa uongozi wa Lissu na Heche umeshindwa kufanya mambo ya msingi yafuatayo

    Nataka nitangaze kuwa naunga mkono msimamo wa Chama cha CHADEMA wa NO REFORMS NO ELECTION na pia nauunga mkono uongozi wa sasa wa CHADEMA wa Mwenyekiti Lissu na Makamu wake (bara) John Heche. Uongozi huu umeleta energy mpya, matumaini mapya na imani mpya kwa wananch, hata hivyo kuna mambo kadha...
  11. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Picha: Viongozi wa CHADEMA wakiongozwa na John Heche wafika nyumbani kwa Marehemu Philemon Sarungi kutoa faraja kwa familia

    Wakuu, Leo tarehe 06 Machi 2025 Makamu Mwenyekiti Bara wa CHADEMA John Heche na Naibu Katibu Mkuu Bara Amani Gulogwa wamefika nyumbani kwa marehemu Prof. Phillemon Mikol Sarungi kutoa pole kwa familia. Prof. Phillemon Mikol Sarungi amefariki jana tarehe 05 Machi 2025.
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: Wapo wana CCM wanaounga mkono 'no reforms no election'

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amesema wapo baadhi ya wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wanaounga mkono kauli ya chama hicho ya bila mabadiliko hakuna uchaguzi inayojulikana kama 'no reforms no election'. Akizungumza katika mahojiano na chombo kimojawapo cha habari nchini Heche...
  13. chiembe

    JamiiForums Tanzania Lissu na Heche wanatakiwa kuelimishwa protocal za mavazi. Tai nyekundu ni ishara ya mamlaka lakini kaivaa Heche badala ya Lissu

    Najua hawa jamaa ni wa mikoani na hawajui protocol za mavazi kimamlaka. Tai nyekundu ni ishara ya mamlaka na huvaliwa na the topmost kimamlaka. Kama the top boss yupo, wa chini yake anatakiwa asivae tai nyekundu. Hili nalo mpaka mfundishwe?
  14. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche asema CHADEMA wana mpango wa kujenga chuo cha siasa

    Heche amesema wana mpango wa kujenga miundombinu mbalimbali katika eneo lenye hekari 130 karibia na Kibaha. Miongoni mwa miundombinu hiyo ni kumbi na vyuo. "Tunataka watu wetu tuwa train pale kuhusu politics, policies za chama chetu, mabadiliko N.k" John Heche Kupata taarifa na matukio ya...
  15. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche asema hakuna hata senti moja ya wanachama itakayopotea

    John Heche amesema hakuna hata senti moja ya mchango itakayopotea kwani fedha hizo huwa zinakaguliwa hadi na CAG. Amesisitiza pia kuwa CHADEMA kuna uwazi hivyo watu waendelee kuchangia. Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread...
  16. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Heche: Tunataka kujenga taifa la watu wanaojitolea ili wawe na nguvu ya kuhoji

    Heche amesema lengo la kampeni ya Tone Tone ni kujenga jamii itakayokuwa na uwezo wa kuhoji na kusimamia vitu kwa sababu na wao wanakuwa na mchango katika kujenga chama "Tunataka kujenga jamii ya watu ambayo amabo wanajitolea, wanaifuatilia, wanaisimamia serikali, wanasimamia vyama vya saisa" -...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Heche: Tumeamua kuhakikisha kwamba uchaguzi haufanyiki. Tutawashirikisha Viongozi wa dini, mashirika ya kimataifa, balozi na NGO's

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche akizungumza kupitia East Africa Radio leo Feb 27, amesema; "Katika mazingira yaliyopo hatutashiriki na uchaguzi hautafanyika, tumeamua kuhakikisha kwamba uchaguzi haufanyiki" Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Heche: Mtu mwenye degree 2 aliambiwa hajui kusoma na kuandika, akapitishwa mgombea wa CCM wa elimu ya darasa la 7

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amesema kwamba mwaka 2019 wagombea wao wengi walikatwa akiwemo mgombea wao mwenye degree 2 aliyeambiwa hajui kusoma na kuandika lakini mgombea wa CCM, mwenye elimu ya darasa la 7 akapitishwa.
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Heche: Walimu walipwe vizuri, wasipewe vitenge vya 'Mama' bure, haya ni matusi kwa Walimu kuvaa mabango

    Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche alikuwa na haya kuhusu Kada ya Ualimu "Hakuna mtu anayeweza kuja akaniambia kwamba hatuwezi kuajiri walimu. Jana nimeona walimu wanapewa vitenge, wao hawahitaji vitenge, wanahitaji mishahara mikubwa wanunue vitenge wanavyovihitaji" Kupata taarifa na...
  20. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu na John Heche watangaza kuipeleka ajenda yao ya "No Reform No Election" nje ya nchi

    Wakuu, Kumbe Heche na Lissu walikuwa na mpango wa kando kuendeleza kampeni yao ya No Reforms No Election ukiachana na kuwaambia watu walale barabarani Erythrocyte nimeanza kukuelewa sasa =================================================== Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na...
Back
Top Bottom