john heche

John Heche is a Tanzanian politician. He serves as a member of the Parliament of Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. PreGE2025 Heche: Wasiwatishe, CHADEMA haikuanzishwa kutimiza ndoto za Ubunge

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche amewataka Wanachama wa Chama hicho kutotishwa wala kubabaishwa na walioshindwa mapambano na kuondoka kisa CHADEMA haishiriki uchaguzi bila mabadiliko kufanyika ambapo amesema Chama hicho kilianzishwa ili kuwaletea Watanzania mabadiliko na sio...
  2. PreGE2025 Askari waliofunika sura zao wanadaiwa kumfuatilia John Heche huko Mwanza, yadaiwa wanataka kumkamata

    Askari walioficha sura zao inadaiwa wanamfuatilia John Heche mchana huu huko MWANZA. Askari hawa wanatumia gari lenye USAJILI PT 4833. Kwanini wavae hivi wakiwa kwenye gari za POLISI? wanajificha nini?
  3. PreGE2025 Kwa maoni yako, nani anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2025?

    Habari za leo, Kwa maoni yako nani anaweza kulisaidia hili Taifa ili lisonge mbele kimaendeleo kwa kasi. Binafsi huwa namkubali sana Majaliwa K. Majaliwa. Namuona kama mtu ambaye anaweza kutufikisha sehemu nzuri. Je, wewe unaona nani anafaa kuwa Rais wa hii Nchi 2025.
  4. PreGE2025 Amos Makalla: Heche usirushe mawe ukiwa nyumba ya vioo

    HECHE USIRUSHE MAWE UKIWA NYUMBA YA VIOO - AMOS MAKALLA Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndg. Amos Makalla amemtaka Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche kuacha kusambaza propaganda za kusalitiwa bali aseme ukweli yakuwa kuna mgogoro mkubwa ndani ya Chama chao. Makalla amesema...
  5. PreGE2025 John Heche: Wanaoondoka CHADEMA ni matokeo ya mabadiliko ya uongozi, si ubaguzi

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)-Bara, John Heche amesema ndani ya chama hicho hakuna ubaguzi bali ni mabadiliko ya kawaida ya viongozi. Heche amesema hayo leo Alhamisi, Mei 8, 2025 mkoani Kagera katika mikutano ya operesheni ya No reforms, no election 'bila...
  6. PreGE2025 Heche: Wale G55 wanaenda Chama kingine ili ionekane Chadema imekufa, sisi hatununuliki

    John Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara akizungumza kwenye mkutano wa hadhara wilayani Kyerwa Mkoani Kagera leo Mei 07, 2025. "Leo mnaishi kwenye nchi ya asali na maziwa, watu wetu ni maskini, matibabu ni ya shida hata barabara ya kuunganisha wilaya na wilaya ndio hiyo tunatembea - kwa...
  7. Z

    John Heche nakushauri chunga kinywa chako, acha kuitishia mamlaka

    Henche Makamu Mwenyekiti Chadema nakushauri chunga kinywa chako. elewa kuwa hakuna aliye juu ya sheria. wewe, mini wala huyo Lissu hawezi kuwa juu ya sheria. "Sheria ni msumeno". Elewa kuwa Lissu wewe au genge lenu lote sio wa muhimu kuzidi TAIFA. Rais anawajibika kusimamia utawala wa Sheria...
  8. PreGE2025 John Heche achapisha ujumbe wa Tayari kwa kazi, no turning back, Get ready round ya tatu

    John Heche achapisha ujumbe wa Tayari kwa kazi, no turning back, Get ready round ya tatu, ulioambatanishwa na picha ya magari mapya aina ya Ford Ranger
  9. M

    PreGE2025 Heche: Polisi wamezingira nyumbani kwangu na kwa Tundu Lissu

    Makamu mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) ameandika kupitia ukurasa wake wa X kuwa nyumba yake imezingirwa na polisi wakiwa na gari nne. Anaandika; "Nimezingirwa nyumbani kwangu tangu saa 10 alfajiri ya leo. Askari wakiwa na magari manne wako kwenye milango ya kuingilia."...
  10. PreGE2025 John Heche: Nimeambiwa kwamba wana mpango wa kutomleta Lissu mahakamani kwamba kesi isikilizwe kwa njia ya mtandao

    Taarifa zilizosambaa kila Mahali zinaonyesha kwamba Mwenyekiti wa Chadema Hatoletwa Mahakamani hadi siku ya Kunyongwa kwake. Hii ndio mipango iliyopangwa na wale wanaodhani Wanamiliki Nchi ya Tanzania ============= “Nimeambiwa kwamba wana mpango wa kutomleta (Tundu Lissu) mahakamani kwamba kesi...
  11. W

    PreGE2025 Heche: Hata mimi hawataki nikamuone Lissu gerezani

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na maendeleo Bara CHADEMA John Heche akiongea kwenye kongamano wagombea serikali za mitaa 2024. Kongamano hilo lililofanyika ukonga jijini Dar es Salaam lakuwakutanisha wanachama wote wa mkoa wa Dar es salaam kujadili ajenda mbalimbali zinazoendelea kwa...
  12. PreGE2025 John Heche ameelezea tukio la wao kukamatwa na polisi

    Makamu mwenyeki CHADEMA Bara Heche, ataongea na Wanahabari leo. Pia ataelezeza kinagaubaga kilichotokea na kinachoendea na kitakachoendelea. Nitakuwepo mbele kabisa. https://www.youtube.com/watch?v=R7XKhHM8iJg Makamu Mwenyekiti, CHADEMA, JOHN HECHE John Heche ameeleza kuwa hawatokubali...
  13. R

    John Heche, John Mnyika, Boni Yai, Godbless Lema na wengineo, msikate tamaa, siku hadi siku Watanzania tutazidi kujengeka na UJasiri wa kupinga UONEVU

    Makamanda Msikate tamaa, tuwaunge mkono kwa TONE TONE waweze kuwa na nyenzo angalau ya pesa kufanya haya ya haki wanayoyafanya! Mushkov nimenakili sentensi yako please Erythrocyte
  14. PreGE2025 Heche na wasaidizi wake waachiwa na polisi

    Wakuu, Polisi na serikali ni wakati mwingine tena wa kujitia aibu🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️ ===== Kupitia ukurasa wake wa X John Heche ameandika haya: Usiku huu Mimi na wasaidizi wangu, tumeachiwa na polisi baada ya kututeka na kutushikilia kinyume cha utaratibu kwa mda mrefu. Hakuna kiwango cha...
  15. W

    PreGE2025 CHADEMA: Hadi sasa, hatujui walipo Heche na Mnyika

    Mkurugenzi wa mawasiliano CHADEMA Brenda Rupia ameandika kupitia ukurasa wake wa X kuwa hadi sasa hawafahamu ni wapo alipo John Mnyika na John Heche. Ameandika; "Mpaka sasa, hatujui aliko Katibu Mkuu wetu John Mnyika na John Heche Makamu Mwenyekiti ! Walitekwa waziwazi na maofisa wa maeneo ya...
  16. Wako wapi John Heche na Mnyika tangu kukamatwa kwao hakuna mrejesho wowote

    Toka Asubuhi tumesikia John Heche na Mnyika wamekamatwa na Polisi, lakini hakuna habari kuonesha wako wapi hadi muda huu.
  17. PreGE2025 Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Petro Magoti achafukwa, asema hadhi ya Heche ni kukamatwa na mgambo sio polisi, aahidi kumpelekea moto akigusa Kisarawe

    Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, kijana mahiri na jasiri Petro Magoti amefunguka mazima. Msikilize.
  18. PreGE2025 Heche akamatwa na polisi, apelekwa kituo cha polisi Oysterbay

    Wakuu, Msafara wa Makamu Mwenyekiti Bara Mhe. @HecheJohn umezuiwa na Jeshi na Polisi muda akiwa maeneo ya Selandar Bridge usiende Mahakama ya Hakimu Mkazi kufuatilia mwenendo wa kesi ya Uhaini inayomkabili mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. @HecheJohn leo tarehe 24, 2025 na kupelekwa Kituo cha...
  19. PreGE2025 John Heche amtaka Rais Samia kuifuta kesi ya uhaini ya Tundu Lissu

    John Heche amtaka Rais Samia kuifuta kesi ya uhaini ya Tundu Lissu "Pia tunaitaka Serikali, na tunamtaka Rais Samia kwasababu hii Kesi ni yake, aiondoe hii Kesi Mahakamani wamfutie Lissu hii Kesi ya Uhaini kwasababu ni ya uongo, Lissu sio Muhaini, huwezi kufanya Uhaini kwa Raia ambaye hajawahi...
  20. PreGE2025 John Heche awataka Polisi wasifanye fujo, awaita Watanzania kufuatilia kesi ya Tundu Lissu ambayo hukumu ni Kunyongwa hadi Kufa

    Wakuu! Makamu Mwenyekiti Bara John Heche, leo tarehe 23 Aprili 2025 anazungumza katika Mkutano na Waandishi wa Habari utakaofanyika Makao Makuu ya Chama kuanzia saa saba mchana, waandishi wote wa habari mnakaribishwa. https://www.youtube.com/live/uw_9B8sK8n8?si=O332MRt1WyWCHk4D "Jambo la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…