PreGE2025 Heche na wasaidizi wake waachiwa na polisi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Cute Wife

Platinum Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
2,997
Reaction score
8,264
Wakuu,

Polisi na serikali ni wakati mwingine tena wa kujitia aibu🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️

=====

Kupitia ukurasa wake wa X John Heche ameandika haya:

Usiku huu Mimi na wasaidizi wangu, tumeachiwa na polisi baada ya kututeka na kutushikilia kinyume cha utaratibu kwa mda mrefu.

Hakuna kiwango cha udhalilishaji, vitisho wala mauji kinachoweza kuzuia kiu yetu ya kutafuta mabadiliko.

Tutaipigania demokrasia kwa gharama yoyote.

Nitaeleza kilichotokea leo, katika hatua za baadae.

Asanteni Watanzania.

IMG_20250424_230755_471.jpg

Pia soma:

Hakuna Jeshi la Polisi dhaifu kama hili la sasa tangu utaratibu wa Polisi uanzishwe Nchini Tanzania

Wamekuwa kama kikundi cha kijambazi. Huyu shetani amewaingiza kwenye ushetani wake, nao wamekubali,
kiasi cha wao kusahau asili yao. Mgeni anawatumia kuumiza ndugu zao, nao bila ya kujitambua, wamekubali.
 
Wakuu,

Polisi na serikali ni wakati mwingine tena wa kujitia aibu🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️

=====

Kupitia ukurasa wake wa X John Heche ameandika haya:

Usiku huu Mimi na wasaidizi wangu, tumeachiwa na polisi baada ya kututeka na kutushikilia kinyume cha utaratibu kwa mda mrefu.

Hakuna kiwango cha udhalilishaji, vitisho wala mauji kinachoweza kuzuia kiu yetu ya kutafuta mabadiliko.

Tutaipigania demokrasia kwa gharama yoyote.

Nitaeleza kilichotokea leo, katika hatua za baadae.

Asanteni Watanzania.

Pia soma:

Wakuu,

Polisi na serikali ni wakati mwingine tena wa kujitia aibu🤦‍♀️🤦‍♀️🤦‍♀️

=====

Kupitia ukurasa wake wa X John Heche ameandika haya:

Usiku huu Mimi na wasaidizi wangu, tumeachiwa na polisi baada ya kututeka na kutushikilia kinyume cha utaratibu kwa mda mrefu.

Hakuna kiwango cha udhalilishaji, vitisho wala mauji kinachoweza kuzuia kiu yetu ya kutafuta mabadiliko.

Tutaipigania demokrasia kwa gharama yoyote.

Nitaeleza kilichotokea leo, katika hatua za baadae.

Asanteni Watanzania.

Pia soma:

My lady plz,
na swali kidogo nataka kujua.

hivi walinzi wa heche hua wana kazi gani haswa, mbona heche hua anakamatwa na wao wanang'aa macho tu? Au wanalindaga nini?🐒
 
Back
Top Bottom