john heche

John Heche is a Tanzanian politician. He serves as a member of the Parliament of Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: John Heche anashikiliwa kwenye mahabusu ya Jeshi la Polisi Mtumba, jijini Dodoma

    Ila Jeshi letu la Polisi wanafanya mambo yao nje kabisa na maadali kabisa! Mlimchukua mkasema mnampeleka Tarime, lakini mkapelekea sehemu nyingine na mkakaa kimya kama hamjui chochote. Kelele zimekuwa nyingi ndio mnakiambia chama alipo kiongozi wao! Acheni huo ushamba wenu mnaendelea...
  2. figganigga

    JamiiForums Tanzania Jinsi Wananchi wa Tarime Walivyomuokoa John Heche Mikononi mwa Polisi na kutokomea naye

    Hii ni story ya Jinsi Wananchi wa Tarime Walivyomuokoa John Heche Mikoni mwa Polisi na kutokomea naye
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mama wa John Heche aenda police central. "Mrudisheni Mtoto wangu”

    Mama Mzazi wa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Weisiko Heche, jioni ya leo amefika katika Kituo cha Polisi Kati Jijini Dar es salaam ili kuomba kuelezwa alipo Mtoto wake huyo ambaye alikamatwa na Polisi jana October 22 2025 akiwa anaingia Mahakama Kuu Masijala...
  4. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Familia John Heche yasema, haiko tayari kuona ndugu yao akipoteza maisha bila sababu ya msingi kwa sababu ndugu yao hana makosa

    Polisi polisi na Serikali ya Samia mbona mnazidi kutengeneza chuki zaidi kwa Watanzania, Hivi hivi utasikia Heche haonekani tena au kafungulia kesi nzito ilimradi tu wahodhfishe CHADEMA. Hii si sawa. ================== Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kikihoji alipo Makamu...
  5. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wakili Mahinyila: Mpaka sasa hatufahamu John Heche yupo wapi na kwa kifupi hajafikishwa huko Tarime wala Mara

    Sasa hawa polisi mbona wanaleta michezo ya kishamba. Mnamchukua mtu kwa madai ya kumpeleka kwenye mahojiano, lakini ampeleki kunakohusika mliposema. Hivi mkiendelea kuambiwa kwamba mnateka mtakataa kweli? Embu muachie Heche mnazidisha hasira zaidi kwa wananchi. ================= Soma Pia...
  6. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHADEMA: Polisi wilaya ya Tarime na uhamiaji hawajui alipo John Heche, bado hajafikishwa kituoni hapo

    Chama Cha Demokrasia na Maendeleo chadema kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii kimesema kuwa wamefika katika kutuo cha Polisi Sirari ambapo hapo jana Jeshi la Polisi ilisema kuwa Heche amesafirishwa Kutoka Da es Salaam hadi hadi kituo hapo lakini mpaka leo Makamu mwenyekiti hajafikishwa...
  7. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wakili Gaston Shundo: Polisi wamesema Heche hayupo DAR amesafirishwa kupelekwa Tarime

    Mkurugenzi wa sheria na haki za binadamu Chadema wakili Gaston Shundo amesema kuwa kwa mujibu wa taarifa walizopewa na jeshi la polisi kupitia kwa DZCO George Bagyemu kuwa, makamu Mwenyekiti wa chama hicho ambaye alikamatwa leo asubuhi Mahakama kuu masjala ndogo ya Dar es Salaam John Heche...
  8. M

    JamiiForums Tanzania John Heche akamatwa akiwa Mahakama Kuu akijiandaa kuhudhuria kesi ya Tundu Lissu

    Makamu Mwenyekiti Bara wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) John Heche mapema leo asubuhi amekamatwa na jeshi la Polisi Mahakama Kuu Masjala ndogo ya Dar es Salaam, alipofika kwa ajili ya kufuatilia shauri la uhaini linalomkabili Mwenyekiti wa Chama hicho Tundu Lissu. Pia soma > John...
  9. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Heche bado yupo nchini. Taarifa ya idara ya Uhamiaji inapotosha umma

    Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA kitazungumza na waandishi wa habari saa nane kamili mchana. Pia Soma >> CHADEMA: Gari la Makamu Mwenyekiti limeshambuliwa kwa risasi za moto Oktoba 18 https://www.youtube.com/watch?v=ZtFOeA1qkhk Updates Akizungumza na waandishi wa habari mkurugenzi...
  10. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Tarime wamchukua Makamu Mwenyekiti John Heche kwa usalama zaidi

    Wananchi wa Tarime wamemchukua Makamu Mwenyekiti CHADEMA John Heche na sasa wanaondoka naye baada ya kuwepo watu ambao walitaka kumkamata baada ya kuzuiwa kusafiri kwenda Kenya kwenye Msiba wa Raila Odinga (BABA) akiwa Sirari One-Stop Border Post (OSBP). Hii sasa ndiyo nguvu ya umma watu wa...
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Watanzania na Wakenya waungana mpaka wa Sirari kuhakikisha John Heche anaelekea Kenya kutoa pole kufutia kifo cha Raila Odinga

    Hakika hii ndio dawa yao! Uonevu umezidi sana yani kweli kabisa mnamzuie mtu kwenda hadi kwenda kwenye msiba! This Is toomuch! Watanzania tumekuwa kama watumwa =============== Watanzania na Wakenya waungana mpaka wa Sirari kuhakikisha John Heche anaelekea Kenya kutoa pole kufutia kifo cha...
  12. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 John Heche: Mimi nimekataa kuwa mtumwa, nimekuwa mbunge na sio kibaka

    "Mimi nimekataa kuwa mtumwa, najua madhara ya machaguo ninayoyafanya, nimekuwa mbunge mimi sio kibaka nimekuja hapa kwakuwa mimi ni mtu wa utaratibu" "Ningetaka kupita huko (porini) msingeniona, nimekuja hapa kwa kuwa mimi ni mtu wa utaratibu ninaenda kuzika, tumeitaarifu dunia kwamba mimi...
  13. figganigga

    JamiiForums Tanzania Video: John Heche awafokea uhamiaji Sirari, adai alipita kwao ili kuonyesha dunia utendaji kazi wa Serikali ya Tanzania

    Baada ya Uongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo kutoa Taarifa kuwa Makamu Mwenyekiti wa wa chama hicho, John Wegese Heche amezuiliwa kusafiri Kwenda nchini Kenya kuhudhuria Mazishi ya Raila Amolo Odinga, amezuiliwa Mpaka wa Tanzania na kenya (Sirari) Wilaya ya Tarime, hii ni video...
  14. M

    JamiiForums Tanzania John Heche azuiliwa mpaka wa Sirari akiwa anaelekea Kenya kwenye mazishi ya Odinga

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Wegese Heche amezuiliwa kusafiri Kwenda nchini Kenya kuhudhuria Mazishi ya Raila Amolo Odinga, Mh Heche amezuiliwa Mpaka wa Tanzania na kenya (Sirari) Wilaya ya Tarime Mpaka sasa uhamiaji wamechukua hati ya kusafiria ya Mh...
  15. Ubaya Ubwela

    JamiiForums Tanzania Makamu Mwenyekiti CHADEMA John Heche, Lema na Boniface Jacob kuwakilisha Chama kwenye mazishi ya Odinga

    Hao ndo wanachama na Viongozi wa CHADEMA watakaoenda Kukiwakilisha Chama Kwenye Mazishi ya Raila Odinga yatakayofanyika hapo Jumapili. NB: Usishangae Kusikia awamezuiwa Airport na Mamlaka wakati huo huo Kikwete na Mpango wakipepea hewani kwenda kwenye Mazishi hayo
  16. Inside10

    JamiiForums Tanzania GE2025 John Heche: Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Bukoba Mjini, Chifu Kalumuna, achukuliwa na Polisi bila kuambiwa kosa

    Ameandika Heche, Nimepokea simu kutoka kwa mdogo wake Chifu Kalumna ambae ni Mwenyekiti wetu wa wilaya ha Bukoba mjini. Anasema polisi wakiwa na silaha za moto na magari mawili, wamevamia nyumbani kwa Chifu mda huu na kuondoka nae bila kumwambia wanamhitaji kituo cha polisi bila sababu yoyote...
  17. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea ubunge wa Chama cha MAKINI Arusha awaonya Heche na Maria

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia Makini Mkoa wa Arusha ambaye pia ni Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Simon Ngilisho, amewatoa angalizo kali baadhi ya wanasiasa na wanaharakati anaodai kuwa wanatengeneza matukio yenye lengo la kuharibu taswira ya amani ya Tanzania. Soma pia: Mpina...
  18. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Heche: Amani haihubiriwi inakuja yenyewe ukitenda haki

    Kupitia ukurasa wake wa X Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche ameandika "Amani haibubiriwi inakuja yenyewe ukitenda haki.. Amani ni mazao ya haki, unakata mti wa haki alafu Unataka Matunda yake ambayo ni Amani!!!! Wewe utakua hauna akili. Mnaongea sana, mtaongea wote lakini bila...
  19. figganigga

    JamiiForums Tanzania John Heche amtembelea Mabele Marando nyumbani kwake

    Leo tarehe 11 Oktoba 2025, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha CHADEMA John Heche amemtembelea nyumbani kwake aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Chama na Mjumbe wa Kamati Kuu, Mhe. Mabere Marando. Ziara hii imebeba maana kubwa ya kuthamini mchango wa viongozi waliotangulia na kuendeleza mshikamano ndani...
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 John Heche: CHADEMA tunapiga kelele Polepole arudi

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara John Heche akieleza namna chama hicho 'kilivyoapa' na kupinga matukio ya utakaji na watu kutoweka kwenye mazingira tatanishi, akitoa wito kwa Watanzania kutambua thamani ya binadamu wenzao
Back
Top Bottom