john heche

John Heche is a Tanzanian politician. He serves as a member of the Parliament of Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. Ubaya Ubwela

    JamiiForums Tanzania Makamu Mwenyekiti CHADEMA John Heche, Lema na Boniface Jacob kuwakilisha Chama kwenye mazishi ya Odinga

    Hao ndo wanachama na Viongozi wa CHADEMA watakaoenda Kukiwakilisha Chama Kwenye Mazishi ya Raila Odinga yatakayofanyika hapo Jumapili. NB: Usishangae Kusikia awamezuiwa Airport na Mamlaka wakati huo huo Kikwete na Mpango wakipepea hewani kwenda kwenye Mazishi hayo
  2. Inside10

    JamiiForums Tanzania GE2025 John Heche: Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya ya Bukoba Mjini, Chifu Kalumuna, achukuliwa na Polisi bila kuambiwa kosa

    Ameandika Heche, Nimepokea simu kutoka kwa mdogo wake Chifu Kalumna ambae ni Mwenyekiti wetu wa wilaya ha Bukoba mjini. Anasema polisi wakiwa na silaha za moto na magari mawili, wamevamia nyumbani kwa Chifu mda huu na kuondoka nae bila kumwambia wanamhitaji kituo cha polisi bila sababu yoyote...
  3. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea ubunge wa Chama cha MAKINI Arusha awaonya Heche na Maria

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia Makini Mkoa wa Arusha ambaye pia ni Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Simon Ngilisho, amewatoa angalizo kali baadhi ya wanasiasa na wanaharakati anaodai kuwa wanatengeneza matukio yenye lengo la kuharibu taswira ya amani ya Tanzania. Soma pia: Mpina...
  4. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Heche: Amani haihubiriwi inakuja yenyewe ukitenda haki

    Kupitia ukurasa wake wa X Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche ameandika "Amani haibubiriwi inakuja yenyewe ukitenda haki.. Amani ni mazao ya haki, unakata mti wa haki alafu Unataka Matunda yake ambayo ni Amani!!!! Wewe utakua hauna akili. Mnaongea sana, mtaongea wote lakini bila...
  5. figganigga

    JamiiForums Tanzania John Heche amtembelea Mabele Marando nyumbani kwake

    Leo tarehe 11 Oktoba 2025, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha CHADEMA John Heche amemtembelea nyumbani kwake aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Chama na Mjumbe wa Kamati Kuu, Mhe. Mabere Marando. Ziara hii imebeba maana kubwa ya kuthamini mchango wa viongozi waliotangulia na kuendeleza mshikamano ndani...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 John Heche: CHADEMA tunapiga kelele Polepole arudi

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara John Heche akieleza namna chama hicho 'kilivyoapa' na kupinga matukio ya utakaji na watu kutoweka kwenye mazingira tatanishi, akitoa wito kwa Watanzania kutambua thamani ya binadamu wenzao
  7. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Heche: Aitaka serikali ifute kesi ya Lissu inatumia gharama kubwa, Azungumzia suala la utekaji

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche hii leo Oktoba 10, 2025 akiongea na Wanahabari nje ya Mahakama kuu kanda ya Dar Es Salaam amesema kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa ifutwe ili gharama zinazotumika kipindi hiki cha kuendesha kesi hii ikasaidie...
  8. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Tata John Heche hakikisha unaendelea kuwachanganya wasijue unapolala

    Kama kuna mtu muhimu kwasasa basi ni wewe. Endelea kuchukua tahadhari na kuendelea kuwachanganya!
  9. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Heche: Wanaofanya haya kuna siku watalipa gharama

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeo Bara John Heche amefika hospitali ya Mnazi Mmoja kuwajulia hali wanaodaiwa kupigwa na Jeshi la Polisi katika viunga vya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam. Baada ya kuwajulia hali Heche amezungumza na baadhi ya viongozi waliokuwa hapo...
  10. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania POTOSHI John Heche amesema CCM ya Rais Samia ndiyo yenye unafuu zaidi

  11. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Heche: Kila mtu anayo haki ya kufanya chochote ndani ya nchi hii

    Oktoba 4, 2025, Makamu Mwenyekiti wa Chadema (Bara), John Heche alizungumza na wananchi wa Kijiji cha Bukokwa kilichopo Halmashauri ya Buchosa, mkoani Mwanza, katika mkutano wa hadhara uliohusu kampeni ya “No Reforms, No Election”. Katika hotuba yake, Heche alisisitiza kuwa chama chake...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Heche: Hatutajificha, tutashinda dhidi ya uovu

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA John Heche, amesema yeye pamoja na na wenzake hawatojificha na kwamba Watashinda dhidi ya uovu unaopangwa dhidi yao. Heche ameandika hayo leo baada ya kupokea taarifa kwamba Mahakama ya Tanzania imeombwa kutoa kibali cha kukamatwa...
  13. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania GE2025 Said Mohamed na wenzake wataka viongozi CHADEMA kukamatwa kwa kukiuka amri ya mahakama

    Ameandika Hilda Newton kupitia mtandao wa X TAARIFA KWA UMMA Kuna Maombi Madogo ya kesi ambayo Said Issa Mohamed na Wenzake wamefungua kwa hati ya dharula dhidi ya 1. Mhe. John Heche 2. ⁠Mhe. John Mnyika 3. ⁠Hilda Newton 4. ⁠Twaha Mwaipaya 5. ⁠Board ya Wadhamini ya Chadema. Maombi hayo...
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 John Heche: Tumewekewa mazingira magumu sana hatutakiwi hata kukutana

    Makamu mwenyekiti wa Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA John Heche akizungumza katika maadhimisho ya siku ya wazee duniani yaliyofanyika kwa njia ya Mtandao.
  15. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Heche: Ukiongelea kuhusu watu kupotea unaweza na wewe ukapotea

    Makamu mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA John Heche akitoa salamu za rambirambi kwenye msiba wa baba yake Askofu Benson Bagonza.
  16. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Heche: Kenya ni Nchi kiongozi kwa Demokrasia na mahakama huru

    Makamu mwenyekiti wa CHADEMA John Heche amesema kuwa Kenya ni miongoni mwa mataifa yenye demokrasia nzuri na mahakama huru akieleza kuwa nchi hiyo haipo tena kwenye vita ya kuteka na kuua raia bali wapo kwenye vita ya kiuchumi. Ameyasema hayo leo Septemba 19,2025 wakati akizungumza kwa njia ya...
  17. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Heche: Viongozi wote wa CHADEMA tumezuiwa kutoka nje ya Tanzania

    John Heche, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, amekuwa mstari wa mbele katika mijadala ya kisiasa kwa njia ya mtandao, akizungumza kwa uwazi kuhusu masuala ya demokrasia, haki za binadamu, na mustakabali wa vyama vya upinzani nchini Tanzania. Akizungumza kwa njia ya mtandao leo Septemba 19...
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Heche: Vyombo vya ulinzi, Mahakama msiondoe imani yenu kwa umma

    Kwa matukio ambayo wanayoyafanya polisi hakika wananchi wameishiwa pawa ya kuwaamini tena na wameshatengeneza uadui mkubwa katika siku za usoni, mahakama nayo dalili zote zinaonyesha wanafanya mambo yao kwa maagizo! =================== Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara John Heche...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Heche: Kesi ya uhaini ya Lissu ni ya uongo, haipaswi kuwa Mahakamani, amfananisha Lissu na Messi

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche akiznungumza nje ya Ukumbi wa Mahakama Kuu baada ya kusikilizwa Kesi ya Uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama hicho Taifa, Tundu Lissu amesema; "Hii Kesi haisitahili kuwepo Mahakamani kwa sababu ni Kesi ya Uongo".
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 John Heche alalamikia polisi 'kujazana' Mahakamani kabla Kesi ya Lissu kuanza

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimelalamikia kile ilichodai kuwa uwepo wa askari wanaovaa kiraia wanaojazana kwenye chumba cha Mahakama huku wananchi (makada wa CHADEMA) waliojitokeza kusikiliza kesi inayomkabili Mwenyekiti wa chama hicho Taifa Tundu Lissu anayekabiliwa na kesi ya...
Back
Top Bottom