" Watu hawana maji Dar miaka 64 baada ya uhuru, Taifa la tatu kuwa na vyanzo vingi vya maji ni vizuri tukawaambia hawa watu kuwa watanzania si wajinga watanzania wanajua nyie ndio mmeingiza taifa kwenye matatizo haya kwa kuteka watu na kuiba rasilimali za nchi, kuiba uchaguzi na kuumiza watu"...
Haaaa! Odera kwahiyo Heche akishikana mikono na Samia, maumivu yote yataisha?
=============
Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mwenyekiti wa Kamati ya Kusukuma Maridhiano Tanzania, Charles Odero, amesema ni muhimu kwa vyama vya siasa pamoja na Serikali kukaa meza moja ya...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Bara, John Heche amewatembelea jana Novemba 29, 2025 kijana Mika Chavala na Niffer gerezani Segerea. Lengo la ziara hiyo, amesema, lilikuwa kuwapa moyo na kuwahakikishia kwamba hawako peke yao katika vita wanavyopitia.
Heche pia aliwatumia ujumbe wa matumaini...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokradsi na Maendeleo (CHADEMA), John Heche akizunguma leo Novemba 19, 2025 amesema Tume ya kufanya uchunguzi wa uvunjifu wa amani wa vurugu zilizotokea Oktoba 29, 2025 iliyoundwa na Rais Samia siyo chombo huru kwani wajumbe wengi wa Tume hiyo waliwahi kuwa...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, anatarajiwa kuzungumza na waandishi wa habari leo majira ya saa 6 mchana.Hadi sasa, taarifa rasmi hazijaeleza agenda au kilichokusudiwa kuzungumzwa katika mkutano huo, na hivyo kuacha nafasi kwa wadau wa siasa na waandishi wa habari kusubiri kwa...
Mnaofanya kazi kwenye mitandao ya simu ama TTCL, Airtel , Yass, Vodacom mnaelewa nachosema
Wanafanya switching codes namba Yako inakuwa hewan Lakin simu unashangaa hupigiwi kumbe frequent calble ziko barged into another receiver ! Wote wanaokupigia zinapita Ila wewe hufikiwi wanapokea...
Nimetoka Ukonga kumuona Mwenyekiti, Yuko imara na anawasalimia wote.
Anatoa pole kwa Watanzania wote waliopoteza maisha, familia ndugu na marafiki.
Anatambua watu waliopoteza viungo na kubaki na ulemavu.
Ametoa pole kwa wote waliopoteza mali pia.
Damu ya wenzetu haijamwagika bure na hakuna...
Ameandika Makamu Mwenyekiti CHADEMA, John Heche;
Huwezi kufanya uhalifu alafu ukajichunguza wewe mwenyewe… Uchunguzi wa Kimataifa kutoka chombo huru ndio unaweza kuaminika na Watanzania.
Tunataka kujua wakina nani wamehusika, kuua , kuteka na kuacha Watanzania na ulemavu wa kudumu.
Hili sio...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amemjibu mtangazaji aliyeuliza kuhusu matarajio yake kwa hotuba ya Rais atakayefungua Bunge kesho. Akijibu kwa kifupi, Heche alisema, “Hakukuwa na uchaguzi nchi hii,” kauli iliyozua mijadala mitandaoni huku ikionekana...
Makamu mwenyekiti wa Chama cha Demokrasiia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche akizungumza leo Novemba 12, 2025 baada ya kuisha kusikilizwa kwa kesi ya Uhaini ya mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu, amesema kuwa Kuhusu jambo la watanzania kuuawa Oktoba 29 haitafichwa bali litazungumziwa
Pia...
Makamu Mwenyekiti Bara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) John Heche ametaka uchunguzi ufanyike na vyombo vya kimataifa kuhusu kilichotokea nchini tarehe 29 Oktoba 2025 siku ya uchaguzi Mkuu na sio vyombo kutoka ndani ya nchi kwa kuwa ndivyo vinavyotuhumiwa.
Heche ameyasema hayo hii...
Makamu Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Wegesa Heche amesema yeye na viongozi wote hawakuachiwa kwa makubaliano maalum wala hakuna mazungumzo waliyofanya wakati alipokamatwa kama ambavyo imekuwa ikidaiwa.
Heche ameyasema hayo leo Novemba 11, 2025 baada ya...
Jopo la mawakili linalomuwakilisha Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche linaolongozwa na Wakili Selemani Matauka limeomba ahirisho kuhusu pingamizi lililowekwa na upande wa Jamhuri juu ya maombi ya Mwenyekiti huyo dhidi ya Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini.
Hatahivyo Jopo la mawakili wa...
MAKAMU mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche, amekimbizwa katika hospitali ya taifa ya Muhimbili, jijini Dar es Salaam, baada ya hali yake ya kiafya kuripotiwa kudorora.
Taarifa hizi, zimethibitishwa na mmoja wa wanafamilia wa mwanasiasa huyo. Anasema, Heche...
Mungu anaweza kukunusuru kutoka kwenye janga fulani bila wewe kujua.
Kwa tulichokiona kuanzia Oktoba 29, 2025, bila shaka Tundu Lissu na John Heche wangekuwa uraiani sasa hivi tusingekuwa nao.
Ni dhahiri, serikali hii dhalimu ingewaua wakiwa makazini kwao, hata kama wasingeandamana.
Kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.