Salaam,
Leo Makamu Mwenyekiti akiwa kwenye Mkutano wa Ndani ya chama huko Kibamba Shule Dar Es Salaam, amesema Huyu mama anayeongoza Nchi, alitoa ndege ifuate ndugu zake na Familia yake huko Dubai kwa gia ya kwamba wanawafuata Watanzania Wasidhuriwe na Mabomu ya Iran.
Kama alitoa ndege...
📍HECHE AITAKA SERIKALI KUHARAKISHA MCHAKATO WA MARIDHIANO NCHINI
Na Mwandishi Wetu
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Heche, ameitaka serikali kuharakisha mchakato wa maridhiano nchini, akisisitiza kuwa hatua hiyo ndiyo njia sahihi ya kudumisha amani...
Anaandika John Heche kwenye ukurasa wake wa X:
Kama kuna mtu alikua hajui kwanini serikali hii haiwajali Watanzania, Kama kuna mtu alikua hajui kwanini watu wanatekwa, wanauwawa, kama kuna mtu alikua hajui kwanini watu hawana maji, hawana barabara, hawana shule bora, kama kuna mtu alikua hajui...
Hizi ni kodi na ushuru wa serikali kwa gari ndogo tu Crown.
Fikiria kijana ambae ameanza maisha hapa Dar, kutokana na adha ya usafiri anajibana ananunua kagari ka usd 6,000 ambazo ni sawa na 14 m.
Hiyo gari ikifika inatozwa ushuru mwingine wa 14 m, yaani fikiria ushuru unalingana na ununuzi wa...
Aiseeh!
Haji Manara ni muongeaji mzuri Sana. Na mwenye uwezo mkubwa hasa akikutana na watu wajingawajinga, wenye uelewa Mdogo.
Umaarufu na nguvu yake kuu ya kuongea ipo kwenye udhaifu wa wanaomsikiliza na anaokutana nao head by head. Wengi amewatoa nishai kwa sababu zifuatazo;
1. Haji Manara...
Katika mahojiano yake na Wasafi FM, John Heche alitoa mtazamo wake kuhusu hali ya kisiasa, kuhama vyama, na msimamo wa Chadema kwa waliohama CHADEMA na kwenda Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA)
"Watu waliotoka kwa wingi ambao wamewahi kuwa viongozi kwenye chama hiki ni watu walioenda chama...
Makam Mwenyekiti wa CHadema John Heche wakati akijibu moja ya swali aliloulizwa kupitia kipindi cha Jana na Leo kuhusu kampeni ya Tone Tone hadi sasa CHadema wamekusanya kiasi gani amesema bado yeye ajui hii ni kutokana na kufungiwa kufanya shughuli zozote zile za kichama.
Soma Pia: John...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa John Heche amesema wao kama CHADEMA wapo tayari kupokea Halima Mdee
Heche ameyasema hayo kwenye kipindi cha Jana Na Leo kupitia Wasafi Fm Aprili 15, 2026
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, John Heche amezungumzia kurejea kwa Halima Mdee ndani ya chama hicho wakati wa mahojiano kupitia Wasafi FM;
"Kwanza niseme Halima ni rafiki yangu, na mimi nampenda na anajua. Tumekuwa naye kwenye chama... ni mtu nampenda, anajua...
Kesi ya madai ilipaswa kutupiliwa mbali kabisa haikupaswa hata kusajiliwa, tukiipa jina sahihi ni takataka ililenga watu kushindwa kufanya wajibu wao
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa John Heche ameyasema hayo leo katika kipindi cha Jana na Leo kupitia Wasafi Fm
Soma Pia: Heche...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Heche, ametoa wito mzito kwa vijana na wanaharakati nchini kuanzisha kampeni kabambe ya kudai uhuru wa Tundu Lissu.
Akizungumza leo Aprili 9, 2026, kupitia baraza la kidijitali, John Heche amesisitiza kuwa muda wa kulalamika...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amesema hali ya kiafya ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu na mazingira yanayomkabili, ambaye amekuwa akishikiliwa kwa kile alichokiita "kesi ya uongo," amekosa vipindi muhimu vya uchunguzi wa afya yake (check-up) ambavyo vilipaswa kufanyika kila baada...
Kumekuwepo na machapisho kadhaa yanayosambazwa kwenye kurasa mbalimbali za mitandao ya kijamii hususani facebook kufuatia kauli ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, John Heche, alipozungumza na vyombo vya habari. Mojawapo ya machapisho hayo linadai kuwa amesema:
Ndugu zangu Watanzania,
Ni lazma kama Taifa Tujijengee Heshima ,utaratibu ,nidhamu ,adabu ya maneno na kauli za kuzungumza Hadharani. Siyo mtu anajitokea zake huko anaanza kuropoka ropoka Bila Breki vitu Hovyo hovyo bila ushahidi wala vielelezo vya aina yoyote ile ilimradi tu Ameona kamera...
Ndugu zangu Watanzania,
John Heche Amedhihirisha ni kwanini CHADEMA imekosa Muelekeo kipindi hiki cha uongozi wake, Amethibitisha ni kwanini CHADEMA imepuuzwa na yeye kudharauliwa hadi na wale anaowaongoza, imedhihirika ni kwanini wenye akili Timamu walikataa kuongozwa naye na kuamua kuondoka...
John Heche ni moja ya viongozi ambao wapo loyal na harakati za upinzani na amekulia humo tangu akiwa kijana mdogo.
Na alikuwa chaguo zuri sana la kuwa Makamu Mwenyekiti ila tu katika mazingira ambayo Lissu angekuwepo around au asingekuwepo kwa muda mchache.
Heche kukiongoza chama kwa muda...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, ameiomba Mahakama iitishe na kusikiliza kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chama hicho, Tundu Lissu ili kesi iishe na Lissu akafanyiwe matibabu ambapo amesema kama Lissu atapatwa na lolote akiwa gerezani kuna Watu watalazimika kujibu ni nini kimempata...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche, amesisitiza kupitia mitandao ya kijamii kwamba maendeleo hayawezi kuwa kisingizio cha kutofuata sheria, kuharibu demokrasia au kuendeleza uchawa.
Kupitia chapisho la leo Machi 18, 2026, Heche amesema kuwa vitendo...
Nchi hii hakuna sheria wala utaratibu wa polisi kupangia mtu aende wapi, au asiende wapi..
Polisi Tanzania hawana mamlaka kisheria wala kikatiba kuingilia uhuru wa watu kwenda wanapotaka wao wenyewe..
Polisi Nchi nzima wameweka barriers wanakamata viongozi na wanachama wa Bawacha waliokua...
Kupitia ukurasa wa Instagram na (X) zamani Twitter anaandika John Heche ambaye ni makamu Mwenyekiti CHADEMA
"Nimetoka Gereza la Ukonga kumuona Mwenyekiti…
Nimefanya kila jitihada kuweza kumuona nimezuiliwa kinyume cha sheria na utaratibu uliopo.
Mfungwa au mahabusu anaweza kutembelewa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.