john heche

John Heche is a Tanzanian politician. He serves as a member of the Parliament of Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. Heparin

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwanzoni nililaumu Lissu na Heche kuwa mikononi mwa dola, kwa kilichotokea Oktoba 29, hawa watu kwasasa wangekuwa marehemu

    Mungu anaweza kukunusuru kutoka kwenye janga fulani bila wewe kujua. Kwa tulichokiona kuanzia Oktoba 29, 2025, bila shaka Tundu Lissu na John Heche wangekuwa uraiani sasa hivi tusingekuwa nao. Ni dhahiri, serikali hii dhalimu ingewaua wakiwa makazini kwao, hata kama wasingeandamana. Kama...
  2. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tito Magoti: John Heche anashikiliwa na Polisi Osterbay anahojiwa kwa UGAIDI

    Bado tunaomboleza. Na tunatafuta miili ya ndugu zetu waliouwawa kwa risasi. Illegitimate President yuko ofisini siku ya pili. Hajajutia mauwaji aliyoyafanya. Wala kuomba msamaha. Au kuwafariji wafiwa na Taifa. Ameona ampe kesi ya UGAIDI John Heche. Heche ameshikiliwa kwa siku 11 kwa tuhuma za...
  3. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania John Heche kusitisha kula kuanzia leo akiwa mahabusu

    Katibu wa familia na Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Mara, Mwalimu Chacha Heche, ametoa taarifa kuhusu hali ya kaka yake, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara, John Heche, ambaye kwa siku 13 sasa amekuwa mikononi mwa Jeshi la Polisi, katika mahabusu ya Mtumba, Dodoma. Kupitia taarifa hiyo...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Day 14: John Heche ahamishwa kituo cha Polisi, haijulikani anapelekwa wapi

    Leo, 04 Novemba 2025, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche alichukuliwa mahabusu ya Polisi kuwa anahitajika kwa RPC Dodoma. Heche amechukuliwa huku mke wake akishuhudia akiwa na Katibu wa Kanda ya Kati (CHADEMA) Bi ashura Masoud. Walijaribu kuongozana na gari la Polisi lakini magari hayo...
  5. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hali ya kiafya ya John Heche yazidi kuzorota huko Mtumba, anyimwa haki ya dhamana na matibabu

    Siku ya 13 katika mikono ya polisi Ndugu WATANZANIA na wapenda Haki wote Ninasikitika kuwajulisha kuwa Ndugu na kiongozi wetu John Heche amenitumia taarifa ya masikitiko kuhusu hali yake ya kiafya kuwa inaendelea kuzorota na hakuna dalili zozote za yeye kupata Haki ya dhamana ama ya matibabu...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tarime wananchi wanaandamana wakitaka John Heche aachiliwe huru

    Mambo kama yameanza kunoga hivi! Huko Tarime watu wanapia tizi la nguvu kuelekea Oktoba 29. Leo wameanza kumtaka Heche achiliwe uhuru. Polisi na vyombo vya ulinzi na usalama salamu ziwafike sasa! ================ Muda huu Tarime wananchi wanaandamana wakitaka John Heche aachiliwe huru na watu...
  7. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania GE2025 John Heche: Hapa Jela kwangu ni kama wananipaka manukato tu, sitarudi nyuma kwa makosa ya kutungiwa

    Ameandika Twaha Mwaipaya kupitia mitandao yake ya kijamii Wambieni watu wetu Mimi inajulikana kwa Mungu na malaika sina ubaya na nchi yangu naipenda Sana ! Kosa langu hata sasa ni kukataa kuwa msaliti wa mageuzi ili sote katika nchi tuishi utawala wa sheria na kulinda rasilimali zetu , ...
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: John Heche anashikiliwa kwenye mahabusu ya Jeshi la Polisi Mtumba, jijini Dodoma

    Ila Jeshi letu la Polisi wanafanya mambo yao nje kabisa na maadali kabisa! Mlimchukua mkasema mnampeleka Tarime, lakini mkapelekea sehemu nyingine na mkakaa kimya kama hamjui chochote. Kelele zimekuwa nyingi ndio mnakiambia chama alipo kiongozi wao! Acheni huo ushamba wenu mnaendelea...
  9. figganigga

    JamiiForums Tanzania Jinsi Wananchi wa Tarime Walivyomuokoa John Heche Mikononi mwa Polisi na kutokomea naye

    Hii ni story ya Jinsi Wananchi wa Tarime Walivyomuokoa John Heche Mikoni mwa Polisi na kutokomea naye
  10. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mama wa John Heche aenda police central. "Mrudisheni Mtoto wangu”

    Mama Mzazi wa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Weisiko Heche, jioni ya leo amefika katika Kituo cha Polisi Kati Jijini Dar es salaam ili kuomba kuelezwa alipo Mtoto wake huyo ambaye alikamatwa na Polisi jana October 22 2025 akiwa anaingia Mahakama Kuu Masijala...
  11. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Familia John Heche yasema, haiko tayari kuona ndugu yao akipoteza maisha bila sababu ya msingi kwa sababu ndugu yao hana makosa

    Polisi polisi na Serikali ya Samia mbona mnazidi kutengeneza chuki zaidi kwa Watanzania, Hivi hivi utasikia Heche haonekani tena au kafungulia kesi nzito ilimradi tu wahodhfishe CHADEMA. Hii si sawa. ================== Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kikihoji alipo Makamu...
  12. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wakili Mahinyila: Mpaka sasa hatufahamu John Heche yupo wapi na kwa kifupi hajafikishwa huko Tarime wala Mara

    Sasa hawa polisi mbona wanaleta michezo ya kishamba. Mnamchukua mtu kwa madai ya kumpeleka kwenye mahojiano, lakini ampeleki kunakohusika mliposema. Hivi mkiendelea kuambiwa kwamba mnateka mtakataa kweli? Embu muachie Heche mnazidisha hasira zaidi kwa wananchi. ================= Soma Pia...
  13. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 CHADEMA: Polisi wilaya ya Tarime na uhamiaji hawajui alipo John Heche, bado hajafikishwa kituoni hapo

    Chama Cha Demokrasia na Maendeleo chadema kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii kimesema kuwa wamefika katika kutuo cha Polisi Sirari ambapo hapo jana Jeshi la Polisi ilisema kuwa Heche amesafirishwa Kutoka Da es Salaam hadi hadi kituo hapo lakini mpaka leo Makamu mwenyekiti hajafikishwa...
  14. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wakili Gaston Shundo: Polisi wamesema Heche hayupo DAR amesafirishwa kupelekwa Tarime

    Mkurugenzi wa sheria na haki za binadamu Chadema wakili Gaston Shundo amesema kuwa kwa mujibu wa taarifa walizopewa na jeshi la polisi kupitia kwa DZCO George Bagyemu kuwa, makamu Mwenyekiti wa chama hicho ambaye alikamatwa leo asubuhi Mahakama kuu masjala ndogo ya Dar es Salaam John Heche...
  15. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania John Heche akamatwa akiwa Mahakama Kuu akijiandaa kuhudhuria kesi ya Tundu Lissu

    Makamu Mwenyekiti Bara wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) John Heche mapema leo asubuhi amekamatwa na jeshi la Polisi Mahakama Kuu Masjala ndogo ya Dar es Salaam, alipofika kwa ajili ya kufuatilia shauri la uhaini linalomkabili Mwenyekiti wa Chama hicho Tundu Lissu. Pia soma > John...
  16. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Heche bado yupo nchini. Taarifa ya idara ya Uhamiaji inapotosha umma

    Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA kitazungumza na waandishi wa habari saa nane kamili mchana. Pia Soma >> CHADEMA: Gari la Makamu Mwenyekiti limeshambuliwa kwa risasi za moto Oktoba 18 https://www.youtube.com/watch?v=ZtFOeA1qkhk Updates Akizungumza na waandishi wa habari mkurugenzi...
  17. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Tarime wamchukua Makamu Mwenyekiti John Heche kwa usalama zaidi

    Wananchi wa Tarime wamemchukua Makamu Mwenyekiti CHADEMA John Heche na sasa wanaondoka naye baada ya kuwepo watu ambao walitaka kumkamata baada ya kuzuiwa kusafiri kwenda Kenya kwenye Msiba wa Raila Odinga (BABA) akiwa Sirari One-Stop Border Post (OSBP). Hii sasa ndiyo nguvu ya umma watu wa...
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Watanzania na Wakenya waungana mpaka wa Sirari kuhakikisha John Heche anaelekea Kenya kutoa pole kufutia kifo cha Raila Odinga

    Hakika hii ndio dawa yao! Uonevu umezidi sana yani kweli kabisa mnamzuie mtu kwenda hadi kwenda kwenye msiba! This Is toomuch! Watanzania tumekuwa kama watumwa =============== Watanzania na Wakenya waungana mpaka wa Sirari kuhakikisha John Heche anaelekea Kenya kutoa pole kufutia kifo cha...
  19. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 John Heche: Mimi nimekataa kuwa mtumwa, nimekuwa mbunge na sio kibaka

    "Mimi nimekataa kuwa mtumwa, najua madhara ya machaguo ninayoyafanya, nimekuwa mbunge mimi sio kibaka nimekuja hapa kwakuwa mimi ni mtu wa utaratibu" "Ningetaka kupita huko (porini) msingeniona, nimekuja hapa kwa kuwa mimi ni mtu wa utaratibu ninaenda kuzika, tumeitaarifu dunia kwamba mimi...
  20. figganigga

    JamiiForums Tanzania Video: John Heche awafokea uhamiaji Sirari, adai alipita kwao ili kuonyesha dunia utendaji kazi wa Serikali ya Tanzania

    Baada ya Uongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo kutoa Taarifa kuwa Makamu Mwenyekiti wa wa chama hicho, John Wegese Heche amezuiliwa kusafiri Kwenda nchini Kenya kuhudhuria Mazishi ya Raila Amolo Odinga, amezuiliwa Mpaka wa Tanzania na kenya (Sirari) Wilaya ya Tarime, hii ni video...
Back
Top Bottom