jogoo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Damaso

    Siri nyuma ya Vita vya Paka mweupe na Jogoo mweusi

    Vita vya paka mweusi na jogoo mweusi vinapata watazamaji chini ya milioni moja, pambano la paka mweusi na jogoo mweupe hupaa hadi watazamaji milioni tano. Hata hivyo, pambano la paka mweupe na jogoo mweupe hufikia watazamaji milioni 20, lakini ajabu kuu ni vita kati ya paka mweupe na jogoo...
  2. Pascal Mayalla

    Leo ni leo asemaye kesho muongo. Polepole kuongea na Watanzania saa mbili kamili usiku! Usikose!

    Wanabodi, Saa hizi ni saa 12 :00 asubuhi, kumekucha na makucha yake! Siku ya leo, tarehe 21,leo ndio siku ya siku, imebatizwa jina la ”The Twenty First to remember!”, yaani ni ”Ishirini na moja ya kukumbukwa!”。 Saa mbili kamili usiku,yule Mwamba Humphey Polepole anapanda live kupitia...
  3. U

    Putin: Tulitaka kuisaidia Iran katika ulinzi wa anga yao lakini ikapuuza

    Vladimir Putin amesema kuwa Iran haijaonyesha nia ya kushirikiana na Urusi katika mifumo ya ulinzi wa anga. Siku ya Jumatano tarehe 18 mwezi Juni 2025 , Rais wa Urusi aliandaa kikao na wahariri wakuu wa mashirika ya habari, ambapo suala la vita vya Israel na Iran lilijadiliwa. Kuhusu usaidizi...
  4. Dr. Mariposa

    Wanaume mmepitwa mapenzi na mahaba na Jogoo

    Najua haiwahusu ila nimeanza ufugaji wa kuku wa kienyeji sasa basi nina majike wanne na jogoo moja, nimeshtushwa sana jinsi jogoo anavyowajali wake zake, Kwanza, jogoo hali mpaka majike wale, anawaitia chakula yeye anasimama pembeni, Pili, anawapeleka sehemu ya kutagia yaani anatengeneza sehemu...
  5. Yoda

    Kumuona Xi Jinping akizungumza tofauti na kuhutubia ni sawa na jogoo kutaga

    Huyu mtawala wa China huwa ni kama roboti fulani, sijawahi kumuona akizungumza na viongozi wenzake au akifanya mazungumzo na waandishi wa habari. Huko Kremlin, Moscow ameonekana kama anazungumza na Putin japo camera bado imeficha kiupande na sauti yake kufigishwa
  6. Waufukweni

    Newcastle United wamfunga Liverpool na kutwaa Kombe baada ya miaka 70!

    Newcastle United wamefanikiwa kutwaa taji lao la kwanza kubwa baada ya miaka 70 baada ya kuwalaza Liverpool bao 2-1 katika fainali ya Kombe la Carabao iliyochezwa leo, Machi 16, kwenye Uwanja wa Wembley. Kwa upande mwingine, wiki imekuwa mbaya kwa Liverpool baada ya kutolewa kwenye Ligi ya...
  7. N

    Moto unawaka ndani ya Kiwanda cha Cotex cha Africana (Dar es Salaam)

    Sehemu ya majengo ya Kiwanda cha Chemicotex kilichopo Mbezi Beach Africana, Dar es Salaam yanaungua na moto muda huu. Kiwanda hicho kinashughulika na uzalishaji wa bidhaa mbalimbali ikiwemo vifungashio vya bidhaa mbalimbali kwa kutumia plastic pamoja na bidhaa nyingine.
  8. jonas255

    Jogoo kashindwa kuwika mara mbili, nitumie Viagra?

    Ndugu wapendwa habari za jioni hiii, nimekuja kwenu kutafuta kujuzwa kuhusu utumiaji wa dawa za kuongeza nguvu za kiume (viagra). JUMANNE NA Jana nilipatwa na mshituko kwani nilikwenda kwenye mambos na mpenzi wangu wa siku zote na katika kuhitimisha mambo yetu kila kitu kilienda sawa kwenye...
  9. Kaka yake shetani

    Hivi unakuta Jogoo wako kampanda mbwa utarajie nini

    Hawa wanyama mkiacha wajichanganye unaweza kukuta kambale kazaa na mbuzi. nimekuta kwenye mitandao jogoo kampanda mbwa.
  10. T

    KABLA YA JOGOO KUWIKA PETRO UTAMKANA MASIHI MARA 3

    nimetoka kusema hata dakika 5 hazijaisha, huyo hapo kachagua lumande ya mpaka siku ya kuzaliwa yesu mwezi wa 12 trh 25. Kabla ya jogoo hajawika na kweli!!! Usiku mwema ndugu zangu
  11. Pfizer

    Aliyempa Hayati Rais Magufuli zawadi ya jogoo atua na jogoo wa Waziri Bashungwa bungeni

    Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa amekabidhiwa jogoo ikiwa ni ishara ya kumpongeza kwa juhudi kubwa za urejeshaji wa mawasiliano ya Barabara katika eneo la Tingi – Kipatimo na Barabara Kuu inayounganisha mikoa ya Dar es Salaam, Pwani, Lindi na Mtwara. Zawadi hiyo imetolewa leo Mei 29, 2024 na...
  12. Chachu Ombara

    KERO Barabara ya Kerai, Mbezi Jogoo ni korofi miaka na mikaka. TARURA kwanini hamuiboreshi?

    Barabara hii inayoanzia Mbezi Jogoo karibu na kituo cha daladala na kwenda kuungana na ya Mbezi Makonde ina umuhimu sana kwa sasa kwa sababu inapita maeneo yenye huduma za kijamii kama Zahanati ya Ndumbwi ambapo sasa imepanda hadhi hadi kutoa huduma ya kujifungua kwa wajawazito. Pia kuna shule...
  13. iamdastani

    Jogoo hapandi majike, nifanyeje?

    Nimeanza ufugaji wakuku wa kienyeji, nimeanza na kuku jike 3, jogoo 1 ila saizi ni mwezi wa pili sioni Jogoo hata akikimbiza kuku wa kike nifanyaje?
  14. Stuxnet

    Masaa takriban 21 Mbezi Jogoo hadi Tangi Bovu hakuna umeme

    Ni nini kinaendelea kwenye eneo hili? Tangu jana saa 10:00 jioni umeme ulikatika na TANESCO hawasemi lolote hata kwenye magroup ya WhatsApp!
  15. G

    Wanaume siku hizi tumekuwa kama Jogoo

    Wasaalam. Jogoo humpanda tetea ndani ya sekunde mbili anakuwa ashamaliza kazi. Asilimia kubwa ya sisi wanaume naona tushakuwa kama Jogoo ndani ya sekunde Tano tunakuwa tushamaliza. Wale tunaotumia sekunde chache kama kuku tukutane hapa tupeane mbinu za kuondoa hili tatizo. Nawasilisha.
  16. Brox

    Je, jogoo la sasso likipanda kuku wa kienyeji nitapata vifaranga vya sasso?

    Habar wakuu. Swali langu ni kwamba endapo nkichanganya jogoo la sasso na tetea wa kienyeji breed itakayo toka hapo ni ya sasso au laa.
  17. Burhani Khaled

    Nikitumia Jogoo la kuroiler kupandisha kwa tetea wa kienyeji mayai yatatamiwa na kutotolewa?

    Habari za kazi waungwana. Samahani naomba kufahamu jambo hili linanitatiza kidogo. Hivi endapo nitatumia majogoo ya kuku chotara aina ya kuroilers kupandisha mitetea wangu wa kienyeji, majike ya kizazi kitachopatikana yatakuwa na uwezo wa kuatamia hadi kuangua mayai? Shukrani za awali.
  18. Joannah

    Binadamu mnashindwaje hata na jogoo?

    Jamani ndiyo tunamalizia wikiendi natumai mko poa. Basi wikiendi ilivyoanza nikaona ni busara kwenda mtembelea bibi huko kijijini kwake Mwanzo Mgumu, nikapokelewa kwa kishindo. Basi bwana, bibi ni mfugaji wa kuku wa kienyeji, nilipokuwa napumzika chini ya mwembe nikagundua jambo la kipekee...
  19. TATACHACHA

    Ushuhuda wangu kuhusu RADI (my own testimonial)Nimeshuhudia RADI! Mara mbili, Ni kweli RADI ni kuku kabisa! Tena jogoo anaevutia haswa!

    Naam, Kumekuweko na speculation nyingi kuhusu RADI. Nyingi zikihusisha radi katika makundi mawili, ambayo ni radi kisayansi,kama umeme asilia na Radi kiimani. Wengi wakiihusisha na ushirikina. Binafsi ziko katika upande wowote Kati ya hizo pande mbili hapo juu, bali naeleza kile nilichopata...
  20. Lole Gwakisa

    Mbunge Gwajima, Waziri Nape na Naibu Waziri Ridhiwani, wananchi wa Mbezi Jogoo tunasema asanteni!

    Mbunge wetu Kawe Nd Gwajima sasa anafanya kazi ya wananchi. Kwa muda mrefu sana wananchi wa eneo la Mbezi Jogoo, nyuma ya viwanda vya COTEX, tume,uwa tukisumbuliwa na matapeli kwa miaka mingi. Watu wako eneo hili toka miaka ya 70 au 80, mimi nipo hapo toka mwanzoni mwa miaka ya 90. Eneo letu ni...
Back
Top Bottom