jkci

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. I

    JamiiForums Tanzania Wadau zaidi ya 1000 kukutana Zanzibar kujadili namna matibabu ya matatizo ya moyo yanavyoweza kupatikana kwa urahisi Afrika

    Wadau zaidi ya 1000 kutokea mataifa takribani 40 hususani ya Afrika wanatarajiwa kukutanishwa Zanzibar na Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), April 2025 katika mkutano wa tatu ambao utalenga kujadili masuala mbalimbali ikiwemo namna ya kufanikisha urahisi wa matibabu yanayohusisha matatizo...
  2. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania JKCI kuanzisha matawi Zambia, DRC na Malawi. Mbona nchi bingwa kwa tiba kama Tunisia na India hazina matawi nje? Medical Tourism imepata tafsiri mpya?

    Taasisi ya Jakaya Kikwete ya Magonjwa ya Moyo JKCI imesema inatarajia kuanzisha Matawi ya Tiba Kwenye Nchi jirani zikiwemo Zambia, DRC na Malawi Ili kufikisha Huduma zake za kibingwa huko. Aidha wamedai wataanzisha Matawi ya Kanda ya Arusha na Chato Kwa minajiri hiyo hiyo. Kwa kuutazama Kwa...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais wa Somalia, Hassan Sheikh Mohamud atembelea Taasisi ya JKCI, apongeza utendaji

    Rais wa Jamhuri ya Somalia, Hassan Sheikh Mohamud amewapongeza wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa huduma nzuri wanayoitoa ya kuokoa maisha ya watu wenye matatizo ya moyo. Rais Hassan Sheikh Mohamud alizitoa pongezi hizo Aprili 27, 2024 Jijini Dar es Salaam alipotembelea...
  4. N

    JamiiForums Tanzania JKCI yatambulisha huduma maalum itakayowezesha baadhi ya wenye matatizo ya moyo kutibiwa wakiwa nyumbani

    Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imetambulisha rasimi huduma maalumu inayotambulika kama 'home-based care' ambayo itawawezesha wagonjwa wenye changamoto mbalimbali ambazo wamekuwa wakishughulika nazo kupatiwa huduma wakiwa majumbani kwao. Akizungumza wakati akitambulisha huduma hiyo...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji Captain G. Habash alazwa JKCI kwa tatizo la Shinikizo la Damu

    Mtangazaji nguli wa show za jioni kutoka Kituo cha Redio cha Clouds FM, Gadner G. Habash amelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) kutokana na kusumbuliwa na tatizo la Pressure (Shinikizo la Damu). Kwa mujibu wa taarifa aliyoitoa mwenyewe kupitia mahojiano yake na kipindi cha...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya Moyo (JKCI) yafafanuzi madai ya kuchezea mifumo ya NHIF ili baadhi ya Dawa ionekane hazipo

    Awali Member wa JamiiForums.com anadai baadhi ya Maafisa wa Afya wamekuwa wakichezea mifumo ili ionekane baadhi ya Dawa na Huduma hazipo kwenye vituo vyao wakati Wanufaika wa Bima ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) wanapohitaji, akitoa mfano hali hiyo imetokea katika Taasisi ya Moyo Jakaya...
  7. Influenza

    JamiiForums Tanzania Ufafanuzi wa JKCI: Ni kweli kulikuwa na upungufu wa Peacemaker ila hakuna mgonjwa aliyekufa kwa kutowekewa kifaa hicho

    Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) inapenda kutoa ufafanuzi wa Habari iliyosambaa katika mitandaoni ya kijamii kuwa “Huduma ya Pacemaker haipo Muhimbili, Wagonjwa wanakufa” taarifa hiyo siyo ya kweli na ipuuzwe, kwani hakuna mgonjwa aliyekufa kutokana na tatizo la kutokuwekewa kifaa cha...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Upasuaji wa kwanza bila kufungua kifua wafanyika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete

    JKCI yaanza kutoa huduma ya kibingwa kuweka 'valve' kwenye moyo bila kufanya upasuaji wa kifua Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imeanza rasmi kutoa huduma ya kibingwa ya Uwekaji wa mlango wa moyo (valve) kupitia tundu dogo bila upasuaji wa kifua (Transcatheter aortic valve implantation-...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania JKCI kutibu wenye mishipa ya moyo iliyopasuka

    Unaweza kuiita ni habari njema kwa watu wenye matatizo ya moyo, baada ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kuanza kutibu wagonjwa wenye mishipa ya moyo iliyopasuka. Mkurugenzi Mtendaji wa JKCI, Dk Peter Kisenge ameeleza hayo leo, Novemba 23, 2023 jijini Dar es Salaam wakati akifungua...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania JKCI yapewa tuzo ya umahiri wa kupambana na magonjwa yasiyoambukiza

    Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imepokea tuzo ya umahiri kutokana na jitihada zake na kuelimisha jamii jinsi ya kujiepusha na magonjwa yasiyoambukiza pamoja na kutoa huduma ya upimaji na matibabu ya magonjwa ya moyo kwa kuwafuata wananchi mahali walipo. Tuzo hiyo imetolewa Novemba 1...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wenye betri ya moyo wana hatari kupata changamoto ya akili

    Utafiti mpya uliochapishwa Oktoba 17, 2023 katika Jarida la Kisayansi la Kimataifa la Sage, umeonesha kuwa wagonjwa wa moyo waliowekewa betri ya moyo wamepata hatari ya kukumbwa na changamoto ya akili. Utafiti huo uliofanywa na Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), ulihusisha wagonjwa sita...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Geita: Watu 500 wafanyiwa vipimo vya magonjwa ya moyo, kati yao 290 wagundulika kuwa na changamoto

    Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) tayari wamewapima watu 500 ambapo kati ya hao 290 wamegundulika kuwa na changamoto mbalimbali za magonjwa ya moyo. Takwimu hiyo ikiwa ni siku ya sita toka kuanza kwa maonesho ya madini ya Teknolojia yanayofanyika katika viwanja vya Bombambili mkoani Geita...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania JKCI kutumia Maadhimisho ya Siku ya Moyo Duniani kufanya vipimo vya moyo kwa Wananchi wa Dar

    Katika kuadhimisha siku ya Moyo Duniani tarehe 29/09/2023 yenye kauli mbiu "Tumia Moyo, Kulinda Moyo wako" wataalamu wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na Chama cha Madaktari Bingwa wa Moyo Tanzania (TCS) watatoa huduma ya upimaji na matibabu ya magonjwa ya moyo kwa...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Watu 335 wafanyiwa uchunguzi na matibabu ya moyo kwa siku mbili katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)

    Watu 335 wamepata huduma za uchunguzi na matibabu ya moyo kwenye kambi maalumu ya matibabu ya siku mbili iliyomalizika jana katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Hospitali ya Dar Group. Kaimu Mkurugenzi wa hospitali hiyo Dkt.Tulizo Shemu alisema matibabu hayo ya tiba mkoba yajulikanayo...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania JKCI: Wananchi zaidi ya 7000 wafikiwa na huduma za uchunguzi na matibabu ya moyo

    Wananchi zaidi ya 7000 wafikiwa na huduma za uchunguzi na matibabu ya moyo kupitia huduma ya tiba mkoba ijulikanayo kama Dkt. Samia Suluhu Hassan Outreach Services inayofanywa na Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI). Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania JKCI kushiriki Kongamano la 8 la Dunia la wataalam wa magonjwa ya moyo kwa watoto nchini Marekani

    Madaktari bingwa wa magonjwa ya moyo kwa watoto watano kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kushiriki Kongamano la nane la dunia la watoa huduma za matibabu ya magonjwa ya moyo kwa watoto linalofanyika nchini Marekani. Kongamano hilo linatarajiwa kuanza tarehe 28 agosti hadi 3 septemba...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Raia wa Malawi aliyetibiwa Magonjwa ya Moyo, asimulia JKCI ilivyorejesha furaha yake

    Jane Chimuyaka, raia wa Nchini Malawi aliyekuwa akisumbuliwa na Magonjwa ya Moyo ameipongeza Serikali ya Jamhuri ya Tanzania kwa kuanzisha matibabu ya moyo nchini kusaidia wagonjwa wa moyo waliopo Tanzania na nchi za jirani. Jane aligundulika kuwa na matatizo ya moyo kupitia kambi maalum ya...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wananchi Kilimanjaro waombwa kujitokeza katika vipimo wakati JKCI itakapofanya vipimo vya magonjwa ya Moyo

  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Iringa: Ahukumiwa kunyongwa baada ya kumbaka na kumuua Mke wa Mtu

    Mahakama Kuu Kanda ya Iringa imemuhukumu kunyongwa hadi kufa Mwanaume aitwaye Mohamed Njali kwa kosa la kumbaka na kumuua kwa kumkaba Atika Chesco Kivanule (24) September 25, 2022 saa saba usiku wakati Mumewe akiwa kwenye banda la video kutazama pambano la ngumi la Mandonga vs Salim Abeid...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa magonjwa ya moyo 100 wa JKCI wapigwa msasa wa kuwahudumia wagonjwa wa dharura na mahututi

    Wataalamu wa magonjwa ya moyo 100 kutoka Kurugenzi ya Upasuaji ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wamepatiwa mafunzo ya kuongeza ujuzi wa jinsi ya kuwahudumia wagonjwa wa dharura na mahututi. Akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya...
Back
Top Bottom