jitihada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kanuni 'auaye kwa upanga, atakufa kwa upanga' imebuniwa na wayahudi na wanaitumia. Hivyo usitegemee ifanye kazi kwako kama hufanyi jitihada

    KANUNI YA AUAYE KWA UPANGA ATAKUFA KWA UPANGA IMEBUNIWA NA WAYAHUDI NA WANAITUMIA. HIVYO USITEGEMEE IFANYE KAZI KWAKO KAMA HUFANYI JITIHADA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Siwakatishi tamaa wala siwavunji moyo. Nipo hapa kusema Ukweli ili utuweke wote huru. Kuna msemo maarufu ambao watu...
  2. JamiiForums Tanzania Lodges/Hotel wekeni jitihada kwenye mapishi.

    Wengi wenu mna mapishi ya hovyo. Kwenye restaurant zenu vyakula ni vya kusubiri upikiwe ila vikiletwa mara nyingi havijaiva na vina ladha ya kukera. Ni lodge moja tu inaitwa Nyati kule Tunduma niliridhika na mapishi yao. Niliagiza chapati 6 na rost nyama zikawa ziko poa sana ikabidi niongeze...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Karia ni familia, Pongezi kwake, Zifanyike kila jitihada Yanga asiingie kwenye vyumba vya kubadilishia nguo akatwe hadi points 20

    Sasa ni muda Yanga atupishe kidogo, na wengine nao waonje utamu wa ubingwa. 😄 Mkakati ni rahisi tu. Kila Yanga akicheza na Simba, Azam, Coastal Union au timu nyingine, pawe na tetesi za "dawa" dressing room au kama vipi wawekewe kabisa hizo dawa. Lengo liwe ni kuwafanya wasiingie vyumbani Si...
  4. JamiiForums Tanzania Mtu kufanya jitihada hadi kuwa Dr au Profesa halazimiki kuwajibika kukusaidia kiuchumi au kukutatulia shida zako.

    Kwanza kabisa niwakumbushe kuwa ELIMU haifananishwi na haina mbadala. Hata Fedha sio mbadala wa elimu. Unaweza cheza kamari ukapata hela ila hakuna kamari ya kupata elimu. Mtu hadi kuwa profesa wa chuo kikuu kajitoa na kupambana sana. Sio rahisi. Ni safari yenye machungu mengi. Kama fedha...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa Ufupi: Jitihada za Kuikwepa ICC zinaendelea....

    Ili kukwepa mkono wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) viongozi wa Tanzania walitakiwa waanzishe na kuleta mashtaka dhidi ya wahusika wa mauaji ya mamia ya Watanzania Octoba 29 mwaka jana. Ili ICC isilete mashtaka dhidi ya watu fulani fulani ni lazima mchakato wa uchunguzi utosheleze...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Bila shaka, jitihada za vyombo kudhibiti ghasia na vurugu zile ndiyo imefanya Tanzania iwe leo ilivyo

  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Jitihada za vyombo kudhibiti ghasia ndiyo imefanya Tanzania iwe ilivyo vinginevyo tungekuwa tunazungumza hadithi nyingine

    "Jitihada za vyombo kudhibiti ghasia na vurugu zile ndio zimefanya Tanzania iwe leo ilivyo. Vyenginevyo tungelikuwa tunazungumza hadithi nyingine. Lakini hapa mwenyekiti haimaanishi kuwa kwa wale ambao tutabaini wamekiuka sheria na taratibu za kazi zao kwamba hatutawajibisha, tutawajibishana." -...
  8. JamiiForums Tanzania T Group waunga mkono jitihada za MOI kuhudumia wagonjwa

    Kikundi cha T Group waunga mkono jitihada za utoaji wa huduma za afya katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) kwa kukabidhi msaada wa mashine 10 za kupimia shinikizo la damu. Hafla ya makabidhiano hayo imefanyika leo, Septemba 6, 2025, ambapo Kiongozi wa Wodi 4B, Bi. Sada...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Ujio wa Polepole kuongeza nguvu kwenye jitihada zilizokuwapo, ukombozi unakuja, saa imefika, Mungu ameruhusu!

    Ashukuriwe Mungu wa mbinguni bwana wa majeshi kwa kutupenda mno sisi hata ikampendeza machungu yetu hatimaye kufikia mwisho labda tena kwa salama. Tulipo hatuko mbali na tunakopahitaji yaani kwenye Tanzania ya haki. Haipo siri Tena, adui zetu wànajulikana vyema zaidi. "Wapumzike kwa amani...
  10. JamiiForums Tanzania FAIDA⏭️AKIBA⏭️ZIADA. Ziada ndio ilipaswa itujengee nyumba, ka-usafiri, etc ila wengi wetu hatutakuja kuiona hio ziada na sio kwamba hatuna jitihada.

    Tunachoambulia ni kuinunua hio ziada kwa kukopa juu ya kukopa, tukitegemea tutachukuliapo kidogo kutoka kwenye akiba ila kiuhalisia tunajikuta tunaanza kuimega na faida pia maana ziada ya kuinunua ni tamu ina gharamas sana. Kinachoendelea ni sisi kubaki katika rotation ya mzunguko wa pesa ambao...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Kuondoka kwa mamluki ni faraja kubwa kwa CHADEMA. Zifanyike jitihada waondoke wote

    Siku zote, mamluki au wasaliti ndani ya taasisi yoyote ile ni ufa mbaya, na ni sumu kwa maendeleo ya taasisi hiyo. Bila shaka, waliofuatilia kikao cha Kigaila na wenzake, na wanahabari tarehe 7 May 2025, alisikia hoja za ajabu za watu hao. Watu hao waliongea uwongo mwingi kama vile hakuna watu...
  12. JamiiForums Tanzania Juliana Shonza na Jitihada za Kuinua Uchumi wa Wanawake Wilaya ya Songwe

    JULIANA SHONZA NA JITIHADA ZA KUINUA UCHUMI WA WANAWAKE WILAYA YA SONGWE Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Songwe, Mhe. Juliana Daniel Shonza ametembelea vikundi vya ujasiriamali vya Wanawake alivyovianzisha na kuvipa mitaji ili kuwainua kiuchumi kwa shughuli za kujiajiri wanazozifanya Juliana...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Jitihada za Vyama vya Siasa wanazozifanya kwa wanaume, juu ya uongozi kwa mwanamke

    Suala la uongozi ni hakiya raia wote na sio kwa wanaumme pekeo . Kwani Haki ya uongozi imetajwa katika Kifungu cha 21 (3) cha Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984 kinasema kila Mzanzibari anayohaki ya kushika nafasi yoyote ya kazi na shughuli yoyote iliyoko chini ya Mamlaka ya...
  14. JamiiForums Tanzania Hivi AU na UN wanafanya jitihada zipi kuushinda utumwa wa binadamu unaofanyika Libya? Au hadi Israel ihusike ndiyo tuone mabango kila kona?

    Unaweza kudhania hivi ni vipande vya filamu ila hizi ni picha za ukweli. Huyo binti hapo juu, mwenye asili ya Kihabeshi anaripotiwa kutekwa na kuteswa. Watekaji wanahitaji dollar 6000 ili aachiwe huru. Yupo katika mateso tangu may 2024. Hao wengine nyuma yake ni wahanga wa utumwa. Nina...
  15. JamiiForums Tanzania Wanawake huwa hawachoki kuvaa nguo zisizowakaa vizuri na kuhangaika nazo muda wote ?!

    Katika mambo sijawahi kuyaelewa kwa wanawake ni hili la wanawake wanaovaa nguo zisizowakaa vizuri. Inakuaje mtu anasikia raha kuvaa nguo isiyomfiti, inayomshughulisha muda wote akiwa ameivaa?! Nini huwa kinawafanya wanawake wavae sketi fupi halafu waanze kuivuta vuta chini kila mara au wengine...
  16. JamiiForums Tanzania Dkt. Biteko Ataja Jitihada za Serikali Kuboresha Ajenda ya Mpango wa Kimataifa wa Usalama wa Afya

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa mwaka 2015, Tanzania iliunga mkono Ajenda ya Mpango wa Kimataifa wa Usalama wa Afya na kuharakisha utekelezaji wa Sheria za Afya za Kimataifa ili kuzuia magonjwa ya kuambukiza kusambaa kimataifa. Kupitia tathimini ya pamoja...
  17. JamiiForums Tanzania Wataalam wa Afya waingia mtaani kufanya jitihada za kudhibiti magonjwa ya kuhara Mkoani Simiyu

    Timu ya Wataalamu wa Afya ngazi ya Wizara, Mkoa, Wilaya na Shirika la Afya Duniani (WHO) imeingia mtaani na kufanya zoezi la upimaji sampuli za maji katika Visima, Mabwawa na Kaya pamoja na utoaji wa Elimu Wilayani Itilima Mkoani Simiyu. Taarifa ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Simiyu imesema Elimu...
  18. JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz ni Msanii mkubwa duniani, BASATA pamoja TASUBA kuna haja ya kumpongeza kwa jitihada zake za kukuza lugha ya Kiswahili

    Diamond Platnumz ni Msanii mkubwa duniani, BASATA pamoja TASUBA kuna haja ya kumpongeza kwa jitihada zake za kukuza lugha ya Kiswahili Diamond ni kijana wa Tanzania mwenye kiu ya kufikisha mbali Muziki wa Tanzania kuna ulazima wa kila mtanzania kuunga mkono jitihada zake za kukuza muziki wa...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia Aeleza Jitihada za Kufungua Mkoa wa Katavi kwa Miundombinu ya Barabara

    RAIS SAMIA AELEZA JITIHADA ZA KUFUNGUA MKOA KATAVI KWA MIUNDOMBINU YA BARABARA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ameeleza kuwa Serikali inaendelea na jitihada mbalimbali za kufungua Mkoa wa Katavi kwa kuboresha miundombinu ikiwa ni pamoja na ujenzi wa...
  20. L

    JamiiForums Tanzania SoC04 Jitihada ziongezeke katika kuboresha sekta ya afya nchini Tanzania

    Afya ni ile hali ya mwili, akili, na kijamii kuwa sawa. Ni muhimu kujali afya kwa kula vizuri, kufanya mazoezi, na kupata muda wa kutosha wa kupumzika ili mtu aweze kuwa na afya njema. Hili mtu aweze kutunza afya yake Vyakula vyenye afya vinaweza kusaidia kuboresha afya yako. Kula matunda na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…