Lodges/Hotel wekeni jitihada kwenye mapishi.

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
20,643
Reaction score
42,641
Wengi wenu mna mapishi ya hovyo. Kwenye restaurant zenu vyakula ni vya kusubiri upikiwe ila vikiletwa mara nyingi havijaiva na vina ladha ya kukera. Ni lodge moja tu inaitwa Nyati kule Tunduma niliridhika na mapishi yao. Niliagiza chapati 6 na rost nyama zikawa ziko poa sana ikabidi niongeze chapati zingine 3. Ila mara nyingi nikisafiri ninatoka nje kula kwenye migahawa hata mama ntilie. Ajirini watu wanaoweza kupika.
 
aiseeeee
yaani dah umenigisa kwenye hili
unaenda hotel nzuri ila misosi mibovu vibaya mnoooo
 
Wengi wenu mna mapishi ya hovyo. Kwenye restaurant zenu vyakula ni vya kusubiri upikiwe ila vikiletwa mara nyingi havijaiva na vina ladha ya kukera. Ni lodge moja tu inaitwa Nyati kule Tunduma niliridhika na mapishi yao. Niliagiza chapati 6 na rost nyama zikawa ziko poa sana ikabidi niongeze chapati zingine 3. Ila mara nyingi nikisafiri ninatoka nje kula kwenye migahawa hata mama ntilie. Ajirini watu wanaoweza kupika.
Mtu mmoja unakula Chapati 9 + roast ya kitimoto kilo mbili? Hiyo balaa.

Haiyumkini ndiyo maana mnanenepeana kama mbuyu.
 
Hapana haikuwa kitimoto. Ilikuwa rost nyama na chapati 9. Mimi ninafanya sana mazoezi ya kukimbia. Nina urefu wa 180cm na uzito 85kg.
 
Wabongo sio wapenzi wa kupika...
Ndo maana huwa najipikia hata dem wangu hapikagi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom