jirani

Actihema jirani is a species of moth of the family Tortricidae. It is found in Uganda. The habitat consists of open spaces close to mountainous rainforests.
The wingspan is 12–15 mm. The forewings are bicoloured. The basal half is fuscous intermixed with brown scales and with black marks and the distal half is whitish. The hindwings are light fuscous, with darker transverse striae.

View More On Wikipedia.org
  1. Benson Mramba

    JamiiForums Tanzania Walianza CHADEMA, zikaja nchi jirani halafu kanisa sasa huenda ni zamu ya wasukuma mwisho kabisa ni wanaCCM

    Kuna wimbo wa DMX unaimba move..... get out of my way.... Ole wake aletaye kikwazo ni kulala nae mwendo wa ngiri wanasema R Chugas. Tuendelee kunywa mtori.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Jinsi Iran ilivyoshusha mvua ya mabomu Tel Aviv na miji jirani kujibu mashambulizi ya Israel ndani ya Iran!!

    Iran hajachukua muda mrefu, amejibu mapigo, tusubirie vita kamili kati ya Iran na Israthuku USA akiichagiza Saudia na vibaraka wake wamtulize Iran, safari hii USA atafeli kutumia vibaraka na itambidi aingie front mwenyewe, Houthi na wao nawaona punde wakiungana na Iran kushusha makombora kwa...
  3. dr namugari

    JamiiForums Tanzania Jirani yangu ameninyima maji ya kujengea

    Katika hali ambayo sikutaraji kbsaa ni hiki kitendo cha kunyimwa maji ya kujengea Nimemaliza karibia material karibia zote za kujengea nyumbani kwake na bila wasi wasi, sas ilipowadia kipindi cha kuseti msingi jmaaa akanijeuka mazima wakati nimemuambia nitalipia bill yote itakayo jitokezaa kwa...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Eletisia Mtweve: Wazazi acheni mazoea ya kuacha Watoto kwa jirani

    Wafanyabiashara wa Kijiji cha Ipunga wametakiwa kufanya shughuli za kujitafutia kipato kwaajili ya familia zao bila kusahau malezi ya watoto wao ili kuwawezesha watoto kukua vizuri kutokana na uangalizi wao. Hayo yamesemwa Juni 02, 2025 na Polisi Kata ya Ipunga, Mkaguzi Msaidizi wa Polisi...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Je, wanaharakati wa Kenya na nchi Jirani watakuja tena kwaajili ya Kesi ya Lisu ili kuzidi kuitia ndimu na kuchafua serikali ya Tanzania?

    Habari za Leo! Tunajua kilichowakuta awamu ya Kwanza. Bado tunaendelea kushuhudia vijana wa Kenya wakitoa sumu kwa Mamlaka ya Tanzania hasahasa kumshambulia Rais wetu. Swali, je wanaharakati hao wataendelea kuja kushuhudia kesi ya Lisu ili kuzidi kuiharibu taswira ya nchi yetu kimataifa...
  6. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kenya ndilo Taifa jirani lilo na undugu mkubwa zaidi wa damu na Tanzania kuliko taifa lingine lolote.

    Kwa Tanzania mataifa jirani yanayotunguza taifa ambalo kwa undugu wa damu wa makabila tunao share kwa wingi zaidi na Kenya hivyo kulifanya kuwa taifa ndugu yetu zaidi kuliko wengine, hata kama hatupendani kuliko hao wengine. Makabila yanayopatikana Kenya na Tanzania ni mengi zaidi kuliko ya...
  7. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Marekani Yasikitishwa Na Ukandamizaji Wa Tanzania Dhidi Ya Wanaharakati Wa Kimataifa, Yazitaka Nchi Zote Za Ukanda Kuchukua Hatua Dhidi Ya Tanzania

    Marekani kupitia ukurasa wake wa Mahusiano ya mahusiano ya Nchi za Afrika pale kwenye mtandao wa X ameripoti kusikitishwa na matendo ya Tanzania ya kutowatendea vyema wanaharakati wawili wa Kiafrika kutoka Uganda na Kenya. Na wameitisha Nchi za Ukanda huu wa Afrika Mashariki kuchukua hatua zaidi...
  8. Lighton

    JamiiForums Tanzania Nashindwa kupata usingizi kwasababu ya makelele ya baa jirani

    Hivi Sasa ni saa 2:30am sijalala kwasababu ya hizi kelele. Ni kweli tunatamani nyumba zilizo karibu na barabara kwasababu ya huduma ndogo ndogo za kijamii, lakini Sasa hivi biashara nyingi ni baa, yaani kila baada ya nyumba nne ni baa. Nilipohama ilikuwa ni kelele kuanzia mda ninaorudi...
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Ukiukwaji wa haki za ardhi unaofanywa na Shirika la Maendeleo la Jiji la Dar es Salaam (DDC) katika eneo la Mbopo, Kawe, na maeneo jirani jijini Dar e

    Kumekuwa na madai ya ukiukwaji wa haki za ardhi unaofanywa na Shirika la Maendeleo la Jiji la Dar es Salaam (DDC) katika eneo la Mbopo, Kawe, na maeneo jirani jijini Dar es Salaam. Madai haya yanahusu hatua za DDC kudai umiliki wa maeneo ambayo tayari yameendelezwa na wananchi kwa miaka mingi...
  10. Kasri Homes Tz

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kipawa: 700 Sqm Plot jirani na Nyerere Road Inauzwa - Dar

    • Direction: • Structures: • Facilities: • Ideal: • Plot Area: • Document: • Price: • Site visiting: . #InRealEstateWeConnect ☎💬: Mitandaoni:
  11. M

    JamiiForums Tanzania Jirani yangu kuna kanisa la walokole

    Nifanyeje? Usiku na mchana ni kwaya tu, wakati mwengine wanatia kanda na kuwasha maspika ya nje wao wapo majumbani. Hawana Jumamosi, jumapili au ijumaa , siku zote wao ndio hivyo. Kuna shule karibu nao wanaipata Pata. Tufanyeje? Tuhame mpaka shule nayo tuihamishe?
  12. kiss ov love

    JamiiForums Tanzania Huyu kaka jirani simuelewi kabisa

    Nilipohamia hapa kuna mkaka nimemkuta huyu jirani simuelewi kabisa ananitumia meseji muda wote, nikitoka nje nikimwangalia ananionea aibu, na sijawahi kumuona na mwanamke ila anaonekana ana mambo mengi maana muda wote anaongea na simu tu. Nimewamiss wana jukwaa😍🙂‍↕️😔
  13. Faana

    JamiiForums Tanzania Picha: Pale unapodaiwa na jirani yako halafu hulipi deni

    Nimeiona hii huko kwingine, kuna funzo hapa, haya yanatokea sana, miaka miwili iliyopita kuna jirani yangu mstaafu alimkopesha bwana mmoja aliyekuwa anamsaidia kazi za shambani, akatatulie matatizo ya kifamilia kijijini kwao, ila hivi karibuni kuna nakala ya mstaafu huyo imeonekana kwenye kaya...
  14. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unachokitamani kwa mchepuko wako ndicho jirani yako anakiwaza kwa mke/mpenzi wako and the circle continues

    Ku-prove kuwa mapenzi ni mchakato wa mihemuko ya hisia zenye kihelehele ambazo hufariji matamanio yako pale unapopata au kuona experience mpya au ambayo haujaizoea.
  15. USSR

    JamiiForums Tanzania Ligi za ujenzi mtaani jirani yangu amebomoa nyumba anajenga ghorofa

    Wakuu sisi wakazi wa goba kuna ligi ya nani ana nyumba kali huku vijana ni kupambana nani awe juu sasa kuna dada amejenga ghorofa wanaita losheni sasa akalewa akatamba kuwa wanaume mtaa zima hakuna wa kumuweza hakuna wanaume wote hawana nyumba sasa mtaa umechangamka kil mtu anajipanga ajenge ka...
  16. mdukuzi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usimpe jirani au rafiki yako yako unga,mpe mahindi ,hela au muache afe njaa

    Jirani yako akikuomba unga,mpe mahindi au mpe hela Kama vyote huna,muwache afe njaa Kwa maana ukimpa unga akaumwa tumbo,hautobaki salama,
  17. Bin Kawambwa

    JamiiForums Tanzania Karibuni Jirani zangu wa Kibaha

    1 master bedroom 1 self room 1 single room Sitting room Kitchen Store Public toilet, 3 verandah (entrance). BAJETI yetu ilikua ni 11.2M, Hadi tunamaliza kazi tumetumia 11.4M. GHARAMA zimejumuisha materials pamoja na hela yangu ya Ufundi, maji, ndoo, chepe, Shimo la Choo (Hadi kufunika), pamoja...
  18. Magical power

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mmoja huko Mtwapa amlima makonde Jirani yake kisa ameanika chupi zake karibu na boxer za mmewe

    Mwanamke mmoja huko Mtwapa amlima makonde Jirani yake kisa ameanika chupi zake karibu na boxer za mmewe. Kulingana na taarifa ni kwamba mama huyo alifua boxer za mmewe na kuzianika ila baadae alipoenda kuziondoa alimpata Jirani yake ameanika chupi zake karibu na boxer hizo.
  19. M

    JamiiForums Tanzania Godown langu jirani kaziba njia yakuingilia,je nilifanyie biashara Gani ya uzalishaji mdogo

    Nifanye biashara Gani kwa hili godwn langu ambalo mlango mkuu wakuingil a jorani amejenga ukuta ambao siwezi kuingiza gari kubwa na hata bajaji,nipeni mawazo nilifanyie biashara Gani ambayo haitaruhusu gari kubwa na ndogo zamizigo kuingia Au nifungue kiwanda Gani kidogo
  20. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemwambia binti ambaye ni jirani yangu haina maana "kunyimana" sisi ni kitu kimoja amechukia!

    Wakuu, poleni na pilika Sasa, kuna binti ambaye ni tunaishi nyumba moja, Huwa anavaa khanga moja anapita akaniona tu anapita anatikisa mzigo sio poa, wengine anapita amevaa amejizinga vizuri tu Ila akiniona anavaa "nusu ngozi nusu nguo""🥶 👉Ni mzuri wa maumbiko amejaa haja nyuma sio poa Sasa...
Back
Top Bottom