bless on
JF-Expert Member
- May 22, 2026
- 883
- 2,137
Hii Dunia Kuna watu wanapitia matatizo makubwa sana hasa wanawake. Kuna jirani yangu mmoja aliwahi kunihadithia mkasa mmoja hivi..
Yeye alikutana na mwanaume wa kiarabu akatongozwa akamkubali, Sasa Yule mwanaume akamwambia atakuwa anakwenda kumtembelea kwake Ila asimwambie mtu yeyote yule dada akamkubali, basi huyo mwanaume akawa anaenda mpaka nje ya nyumba anapaki gari anaingia ndani wanafanya mapenzi weee, wakimaliza anaondoka zake.
Sasa Kitu cha kushangaza ni kwamba sisi majirani hatukuwahi kuiona hata iyo gari si gari tu hata huyo mwanaume hatukuwahi kumuona.
Kilichoniogopesha zaidi Kuna ustadh aliniambia pale kariakoo Kuna watu wengi sana mchana huwa wanatembea uchi Ila huwezi kuwaona.
Unamuona dada ana nyashi na dela lake kumbe yupo uchi wa mnyama kabisa. Njiani tunapishana na vitu vya ajabu sana.