Kama umewahi kujiuliza, “Nawezaje kupata kipato cha uhakika mtandaoni?” — basi makala hii ni kwa ajili yako.
Watu wengi hufikiri lazima uwe na kompyuta kubwa, ujuzi mgumu au uwe na mtaji wa mamilioni ili kupata pesa mtandaoni.
Sio kweli.
Leo nakufundisha njia rahisi kabisa utakayoweza kutumia...
Jinsi ya kusajili biashara yako ya Mtandaoni (Online Business)
Kama huwezi kuanza moja kwa moja na kampuni, usiogope anza na jina la biashara na mengine utamalizia kwa badae. Hapa chini kuna hatua kuu ambazo zitakuongoza ili usajili wako uwe rahisi, wa haraka na wa kisheria kabisa.
Hatua ya...
Hivi karibuni ulaya itasambaratika na kuwa eneo jipya la mapigano ya kivita, ulaya haifahamu kuwa Israel ambayo imekuwa ni uzio kwao wa kuwazuia itikadi kali na magaidi ambao ndio wapangaji wa machafuko ya dunia
Leo hii ulaya inajifanya kuwa "politicall correct" kwa kuwapa fursa na nafasi...
Jinsi ya Kutunza Betri ya Gari Ili Iweze Kudumu Muda Mrefu
Betri ni moyo wa gari lako – bila betri yenye nguvu, gari halitaweza kuwaka wala kuendesha mfumo wake wa umeme. Kutunza betri vizuri ni muhimu sana ili iweze kudumu muda mrefu na kuepuka matatizo yasiyotegemewa barabarani.
1. Angalia...
Kuna wakati unafika kwa sababu fulani unaona ubadili Jina la Biashara Yako au Kampuni yako, kwa sababu zozote zile hizi ni hatua za kufuata;
1. Sababu za kubadili Jina la Biashara
Either unafanya
-Rebranding
-unataka jina linaloendana na huduma zako za sasa
Etc
2. Angalia kama jina...
Wakuu mamboz!
Mimi ni kijana wa kiume sijui kitu chochote namna ya kufanya tendo , nifundisheni kuanzia mwanzo mpaka mwisho na jinsi ya kumcare demu, n.b ikiwezekana nifundisheni na style
Jinsi ya Kurejesha Nguvu ya Kiroho
Urejesho ni nini
Urejesho ni kitendo au mchakato wa kurudisha kitu katika hali yake ya kwanza kwa kufanyia ukarabati au kwa kukisafisha. Ni kitendo cha kurudishia, kufanya upya, kufufua au kuimarisha. Kitabu cha Yeremia 30:17 kinasema: “Maana nitakurudishia...
Njia rahisi za Kuomba Leseni ya Biashara Tanzania
Je, unataka kuendesha biashara halali Tanzania? Kupata leseni ya biashara ni hatua ya lazima na sasa mchakato ni rahisi kuliko unavyofikiri. Fuata hatua hizi:
Tembelea tovuti rasmi: www.business.go.tz
Bonyeza sehemu iliyoandikwa “Huduma”
Chagua...
Natamani Ujumbe Huu, AUONE RAIS SAMIA, na Mungu amsaidie asikie saauti yake !!.
Machawa wamempoteza Rais SAMIA !!.
https://www.facebook.com/share/r/16rjwu6mHy/
Umuhimu wa Leseni ya Biashara kwa Duka la Rejareja
Inatambulisha biashara yako kama halali.
2. Inakusaidia kuepuka kufungiwa biashara na mamlaka husika.
3. Inakupa nafasi ya kupata mikopo, zabuni, na tenda mbalimbali.
4. Ni nyaraka muhimu ya kuanzisha akaunti ya biashara na kufanikisha...
Habari za mchana wakubwa,
Naomba kama kuna mtu ambae amesha Wahi kupata changamoto kama niliyo kutana nayo mimi anisaidie, kwa kifupi ni kwamba mimi Niko nchii jirani ya Zambia. Sasa kuna mdogo wangu alitaka kuja kunitembelea
Baada ya kukamilisha taratibu zote za kupata hati ya kusafiria...
🔥Ifanye porno kuwa bure
🔥Wafanye watoto wasahau mababu zao (ancestors)
🔥Mfanye mwanamke ashindane na mwanaume katika ndoa
🔥Mfanye mwanadamu azame katika itikadi alioletewa na kusahau utu na utashi aliozaliwa nao
🔥Kufanya vyakula kuwa na vimelea vingi vya kemikali
🔥Mfanye mwanasiasa awe...
Katika maisha yetu, Kuna mambo ambayo yakikutokea either kwa kupenda au kutopenda basi tambua maisha Yako yote yanakwenda kuwa ya shida, hata kama sio shida basi tambua utakuwa mtu wa msongo wa mawazo maisha Yote.
Yafuatayo ni mambo hayo na namna ya kuyaepuka.
01.Ulevi wowote...
Juzi Jumapili nilipigiwa simu na Dada mmoja anaitwa Jennifer akasema "Hellow Luhamba nimesajili jina la biashara lakini limekataliwa, naambiwa linalofanana na jina lililosajiliwa, hata sielewi nafanyaje"
Nikamwambia "Jennifer ulikosea"
Akashangaa sana, lakini nilichomwambia bad ya hapo...
Wafanyabiashara wengi wanaingia sokoni wakiwa na matumaini makubwa ya kuuza, lakini wanashindwa kuelewa kwamba wateja hawapo tayari kununua kwa sababu tu bidhaa ni nzuri au bei ni rafiki. Ukweli ni kwamba, mteja hanunui tu bidhaa ananunua uaminifu, ananunua uhakika, ananunua hisia ya kuwa...
01.Ingia jikoni,angalia kushoto na kulia Kama Kuna mtu anakuja
02.Angalia mkao wa mwiko / kijiko umekaaje ili mda wakuondoka uache vile vile usigeuze, usifanye kosa kizembe
03. Fungua hot pot pole pole ,usiache mfuniko upige kelele au uanguke(utashtukiwa)
04.Hesabu vipande vya nyama hakikisha...
Watu hawasomi copy zako kwa sababu ni nzuri — wanasoma kwa sababu wanajihisi kama wewe unajua tatizo lao. Copy nzuri haizungumzii bidhaa. Inaingia kichwani kwa mteja, inamgusa rohoni, kisha inamsukuma kuchukua hatua kama mtu aliyelogwa.
🧩 Subtopic 1: Fahamu Unamwandikia Nani
Maswali ya...
Usajili wa Kampuni unahitaji documents nyingi, moja ya document muhimu ambayo kama ikikosewa utakataliwa usajili ni "Katiba ya Kampuni"
Ili katika yako iwe imekamilika inahitaji kua na vipengele kadhaa, hivi ni baadhi na vya muhimu zaidi;
1. Jina la Kampuni
Jina la Kampuni linatakiwa kuonekana...
Kwema?
Likizo yangu inakuja mwezi wa nane. Nilipenda nitembelee Morogoro, Milima ya Udzungwa.
Nilishawahi kupaona nilivyokua naenda Ifakara, lakini sina taarifa za taratibu na gharama za kuingia izo Hifadhi.
Mwenye msaada zaidi itapendeza.
Itakua ni day trip, sitalala.
Hellow mmesema nimetelekeza jukwaa haya twendee sasa na hii
Andaa nyama yako na kata vipande vipande size unayotaka kata na kitunguu pia tangawizi na kitunguu swaum mimi sipendi kitunguu swaum kisha weka kwenye foil
Baada ya hapo ifunge vzr kabisa zungua foil ya kutosha kisha weka jikoni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.