jinsi ya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Aina 5 muhimu za wateja (Five main types of customers) na jinsi ya kuwaleta

    1. Mteja Mwaminifu (Loyal customers). Hawa ni wateja ambao wanachukua asilia chache sana ya wateja wako wote wa kilasiku. Lakini ndio wanao fanya manunuzi kwa wingi Zaidi katika biashara yako. Mteja huyu ni wa muhimu sana na anatakiwa kumpa kipaumbele katika biashara yako. Utafiti...
  2. JamiiForums Tanzania MSAADA : Jinsi ya Kuingiza Piano Kwenye Beat kwa Kutumia Fruit Loops (FL Studio)

    Heshima kwenu wakuu. Well, naomba msaada kwenu wakuu. Kwa mfano nina beat, halafu niko na program ya FL Studio, sasa nahitaji kupiga au kuongeza some instruments kwenye hiyo beat kwa Kutumia FL Studio nafanyaje wakuu? Naombeni muongozo wadau. Natanguliza shukran kwenu wakuu. Thanks a lot.
  3. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa jinsi ya kutengeneza Bio Gas digester at home

    Naomba msaada jinsi ninavyoweza tengeneza bio gas digest ndogo nyumbani, nataka tengeneza kwa kutumia tank ya lita 100 kwa kutumia malighafi(materials) ninayoweza kupata kwa urahisi ni garama nafuu. Nashukuru kwa msaada nitakaopata
  4. JamiiForums Tanzania Jinsi gani ya Kuanzisha kiwanda kidogo cha Sukari?

    Wadau Habari Za wakati huu! Niende moja kwa moja kwenye maada, nimekuwa nikifanya survey katika maeneo flani huko mikoa ya nyanda za juu kusini na kugundua kuwa kuna malighafi nyingi ya miwa. Hivyo nimepata wazo la kuanzisha kiwanda kidogo cha sukari. Hivyo naomba wenye ujuzi na hatua za...
  5. JamiiForums Tanzania SoC01 Jinsi ya kuacha Tabia usiyoipenda na kujenga tabia unayoitaka

    Je umewahi kutamani kuacha au kupenda kuwa na tabia zifuatazo? Unachukia sana kunywa pombe lakini hujui jinsi ya kuacha kunywa pombe Unachukia sana tabia ya kuvuta sigara lakini hujui utaachaje Unataka uwe msomaji wa vitabu lakini unashindwa unaona uvivu kila unapojaribu Hupendi somo flani...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Anayejua Channel au Kisimbuzi kinachoonesha ligi ya Ufaransa

    Naulizia kwa yeyote anaejua ni kisimbuzi gani kinaonesha ligi ya ufaransa naomba anisaidie please pamoja na details za hicho kisimbuzi including malipo yake ya bundle na gharama ya kisimbuzi plus installation charges.
  7. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kujua kama mawasiliano yako yanaenda kwa mtu mwingine

    Hakuna anayependa mawasiliano yake yaingiliwe au kutumiwa mtu mwingine bila ridhaa. piga *#61# kisha ok , kwa mtandao wako wasimu kuhakikiki. ukiona call au text fowarding iondoe kwa kupiga ##002# ok
  8. JamiiForums Tanzania SoC01 Jinsi ya kutibu tatizo la upungufu wa nguvu kwa wanaume kwa kutumia nguvu za kiroho

    Utangulizi Upungufu wa nguvu za kiume kwa wanaume/vijana ni tatizo ambalo limekua likizidi kukua hasa kwa watu walizaliwa miaka ya 80, 90 na 2000. Wahenga wanasema kwamba vita vingi tunavyovipigana ndani ya vichwa vyetu hua sio halisi, Kwamba mambo tunayoyafikiria na kuyahofu kwenye maisha...
  9. JamiiForums Tanzania SoC01 Afya ya akili: Jinsi ya kutambua na kujikinga na magonjwa ya akili

    Katika mada iliyopita tulijaribu kuangalia ni jinsi gani jamii ina mchango mkubwa katika kuwasaidia watu wenye matatizo ya ugonjwa wa akili , pia tulijaribu kuonyesha ni kwa namna gani magonjwa ya akili hutokea na mwisho tuliona kwamba magonjwa ya akili sio ukichaa uliopitiliza tu bali magonjwa...
  10. JamiiForums Tanzania SoC01 Jinsi ya kuanza kujiajiri kwa kutumia internet na mitandao ya kijamii

    Internet ni mfumo wa dunia wa kielektroniki unaounganisha kompyuta na vifaa vyengine vya kielektroniki vinavyokubali mfumo huo. Mitandao ya kijamii ni teknolojia inayohusisha kompyuta ambayo hurahisisha kugawana na kusambaza mawazo na taarifa mbalimbali katika kujenga mtandao na jamii halisi...
  11. JamiiForums Tanzania SoC01 Jinsi ya kuanzisha duka mtandaoni

    Kwa mana rahisi tunaweza kufasili duka la mtandaoni kuwa ni jukwaa maalumu kwaajili ya kuuzia bidha au huduma mtandaoni. Mfano wa maduka ya mtandaoni ni Amazon, Ebay, Jumia market, na Kikuu .Bidhaa unazoweza kuzifungulia duka mtandao ni, vitabu, vifaa umeme, mavazi na kadhalika. Zipo faida...
  12. JamiiForums Tanzania SoC01 Jinsi ya kukuza Uchumi wa Tanzania kupitia Elimu Endelevu

    Naitwa Dickson Hynes natamani kusimulia safari yangu ya usomaji mpaka kufikia chuo kikuu. Nimezaliwa Tanzania mkoa wa Kagera halmashauri ya wilaya ya Bukoba tarafa Bugabo kata Kaagya. Nimesomea Kaagya Shule ya msingi kipindi ambapo Shule za kata zilianza kufanya kazi mikoa yote Tanzania...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Msaada; Jinsi ya kuapply mkopo

    Habari zenu wadau. Naomba kuuliza kwa Waliomaliza Diploma wanatakiwa kuambatanisha nini katika kuapply mkopo.
  14. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumjua mwanaume mwenye pesa

    Ukitaka kujua mwanaume mwenye pesa angalia mavazi yke. Wanaume wengi wenye pesa huwa hawapendi kuvaa nguo nyingi huwa wanavaa simple na wengi wao wanapendelea sportswear. Sio sportswear za mitumba au fake namanisha zile original kama Nike, Adidas, Reebok, puma, fila, champion, kappa, asics...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Hakuna taifa linaloweza endelea kwa kuongeza tozo bali kwa kuchochea uzalishaji

    Hili jambo limetufika wote na linatuathiri sote hawa watu wamedhamiria kutufanya tuzidi kuwa masikini huku wao wakineema. Dunia nzima Hakuna tozo kama hizi,tupeana maujuzi zaidi jinsi ya kukwepa dhuluma hizi tutumie nini sasa kufikisha pesa tutumie uber, bodaboda, parcel,mtu,konda, haingilii...
  16. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa jinsi ya kulipia elfu 30 kama ada ya kuombea mkopo bodi ya mikopo

    Wakuu, Naomba kujuzwa jinsi ya kulipia elfu 30 kama ada ya kuombea mkopo bodi ya mikopo. Kwa njia ya MPESA.
  17. JamiiForums Tanzania SoC01 Kodi ya Uzalendo: Ushauri wangu kwa Serikali jinsi ya kuthibiti na kujenga imani kwa walipaji

    Kutokana na makusanyo mapya ya kodi ya uzalendo kupitia miamala ya simu,serikali iandae system ya wazi kutrack hizi tozo na kuonyesha kila mchangiaji. Itapendeza sana kama watanzania tutaona wenyewe kupitia system itakayoandaliwa iwe ni website au app. Kama walivyofanya CDM mwaka fulani kuona...
  18. JamiiForums Tanzania SoC01 Njia zinazotumiwa na wezi wa mitandaoni (cyber criminals) na jinsi ya kuzuia

    Miaka kadhaa nyuma wahalifu wa mitandaoni walilenga sana Computers aina ya desktop na laptops kwani shughuli nyingi za kifedha zilizohusisha internet zilitegemea sana vifaa hivyo. Lakini kwa sasa hivi wamelenga sana watumiaji smartphone na kwa mujibu wa mtandao wa Statista watu zaidi ya Bilion...
  19. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa jinsi ya kupata hati ya kiwanja

    Habari, Mimi ni mgeni sekta hii ya ardhi maana nimeishi miaka bila kubahatika kujenga wala kununua nyumba.. Sasa kilichonipelekea kufungua Uzi huu nimefiwa na mama yangu mzazi na alikuwa ana nyumba Temeke...hakuwa na hati ya eneo maana aliipangisha tu...document zilizopo ni za kulipia Kodi ya...
  20. JamiiForums Tanzania Mind Illusion Projection: Jinsi ya kuidanganya mind ione vitu visivyo halisi kua ni halisi

    Salute mate; Wanasemaga kwamba many of our battles we fight don’t exist, we make them exist because we create our own Demons. Kwamba mambo mengi yasiyo kawaida tunayoyaona hua sio halisi ila ni sisi tunayafanya yawe halisi, mfano unaweza kua unatembea njiani usiku ukaanza kuona mti Fulani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…