jinsi ya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Msaada: Jinsi Ya kushare MB Mtandao wa vodacom

    Wakuu habari ,kama kichwa cha habari kinavyosomeka naombeni msaada wa jinsi ya kushare data mtandao wa voda
  2. Jinsi ya Kuedit Text au emoji liyoituma WhatsApp Kimakosa au bila Makosa, Ndani ya dakika 15.

    Rasmi sasa WhatsApp waruhusu kuedit message uliyoituma kimakosa au bila kuwa na makosa lakini ungependa kuedit vitu kama vile emoji n.k Ni uamuzi mzuri japo utaleta hoja kuhusu encryption ya message tutakazokuwa tuna tuma kwasabu WhatsApp ni end to end encrypted. Kumbuka waweza kuedit text Yako...
  3. Jinsi ya kupika ndizi nyama za nazi

    Nafikir mna Weeknd nzuri sana nduguzangu Leo tupike ndiz nyama za Nazi Mahitaji Ndizi mbichi mzuzu Kitunguu nyanya moja(Huwa haipendez kutumia nyanya nyingi) Karot na hoho Nyama iliyochomshwa(usisahau kuchemsha na viungo kitunguu swaumu tangawiz na currypowder) Nazi unaweza tumia ya pakt au ya...
  4. Jinsi ya kusitisha mkopo heslb

    Habarini wakuu kama title hapo juu inavojieleza.... nimepewa mkopo kwa mwaka wa masomo 2024/2025 lakini kuna mambo hayajakaa sawa hivyo sioni kama naweza kusoma this year hivyo basi naombeni msaada kwa anayejua utaratibu wa kusitisha mkopo wa elimu ya juu (HESLB)
  5. Jinsi ya ku Download PC GAMES FIFA, PES, Minecraft, Fortnite, Counter-Strike 2 & GO, Call of Duty: Modern Warfare II/III/Warzone, League of Legends

    Hellow watu wangu wa games. kwawale wanao penda games tu share website mbali mbali za kucheza na ku dawnload PC GAMES Naanza na hizi; https://oceansofgamess.com/ https://store.epicgames.com/en-US/free-games https://store.steampowered.com/ https://www.g2a.com/ https://www.softpedia.com/
  6. Jinsi ya kuzitoa pesa NSSF

    Wakuu habari zenu. Poleni na majukumu ndugu zangu Mimi nilikuwa nafanya kazi katika kampuni ya ujenzi ya Waturuki inaitwa Yapi Merkezi inayojenga reli ya SGR ambayo kwa sasa iko lot 3. Kwa sasa kazi imesimama na hakuna kinachoendelea. Sasa sisi tulipumzishwa kuanzia mwezi wa kwanza kutokana na...
  7. E

    Tatizo la kushindwa kupata Msimbo kutoka NACTE ili kusajiliwa chuoni, tusaidieni jinsi ya kutatua changamoto kama hii

    TATIZO LA WANAFUNZI WA DIPLOMA WALIOENDA KULIPOTI MWAKA WA KWANZA LAKINI WAKAPATA CHANGAMOTO YA KUPATA MSIMBO ILI KUSAJILIWA CHUONI MNATUSAIDIAJE WAKUBWA ZETU
  8. R

    LGE2024 Baada ya kupuuza Ule msemo wa jinsi ya kula na kipofu, Leo wanatafutwa wananchi wa kujiandikisha Kwa tochi ili kura ziibwe!

    Salaam, shalom!! Viongozi tulikuwa tukiwaonya kupunguza viburi, mlikuwa mkitamba Kwa kauli za kejeli kuwa " Hata msipoipigia CCCM kura Bado itaunda Serekali" Wengine wakaenda mbali na kudai kuwa " CCM kamwe haitatoka madarakani Hadi ipende yenyewe kama ambavyo Pascal Mayalla amekuwa akidai...
  9. Jinsi ya kutawala dunia

    1. Uza dawa za meno zenye fluoride, kuua jicho la maono. 2. Fanya sukari na junks food zipatikane kila mahali, wawe vibonge na wapumbavu 3. Wape burudani za bure na pombe ziwepo, kizazi cha ulevi hakina maamuzi 4. Wawekee video za ngono kila mahali, wakishiba wafikirie kujikojolesha 5...
  10. W

    Jinsi ya kukabiliana na msongo wa mawazo

    1. Weka malengo unayoweza kufikia ndani ya muda mfupi Badala ya kuorodhesha majukumu mengi, fikiria kuweka malengo madogo. Kuweka na kutimiza malengo haya kunaweza kukupa hali ya udhibiti na mafanikio, na kusaidia kuongeza motisha. Ukimaliza jambo dogo, elekeza macho yako kwenye jambo dogo...
  11. Jinsi ya Kufanya Uchunguzi (Due Diligence) Kabla ya Kununua Ardhi Isiyopimwa ya Urithi

    Ardhi ya urithi ni ardhi ambayo inamilikiwa na mtu kupitia kurithi kutoka kwa wazazi, ndugu, au jamaa kwa njia ya urithi wa kiasili au kisheria. Hii ina maana kwamba umiliki wa ardhi unapita kutoka kizazi kimoja hadi kingine bila kuhitaji ununuzi wa kibiashara. Mara nyingi, ardhi ya urithi...
  12. Je Kuna Sheria kuhusu jinsi ya kupaki gari kwenye parking lot ya Bank?

    Nimefika bank nikageuza gari na kupaki. Nikashuka na kwenda ATM Mlinzi akaniambia ni kosa kugeuza gari kabla ya kuingia Bank. Kwamba gari ikae mwelekeo wa bank, baada ya kupata huduma ndipo nigeuze gari. Sikuwa na muda wa kuhoji nilikuwa na haraka. Naomba ufafanuzi mwenye kujua.
  13. Jinsi ya kumfurahisha Mwanamke wako

    JINSI YA KUMFANYA MWANAMKE WAKO AWE NA FURAHA! Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Watibeli tunajua kufurahisha Wake zetu. Na Wanawake wa kitibeli hujua kuwapa Raha Waume zào. Ingawaje mapenzi Kwa wengi NI kipengele na wengi husema hayana mjanja lakini kwa Watibeli mambo kidôgo ni tofauti. Kwetu...
  14. Jinsi ya kuangalia size ya tairi ya gari

    Kutambua size ya tairi ya gari yako ni rahisi. Unaweza kupata habari hii kwenye ukuta wa tairi yako, Maelezo haya yanaorodhesha ukubwa na vipimo vya tairi lako, pamoja na kuhakikisha inatii viwango vya usalama. Kila sehemu ya nambari inasimamia nini: Upana(width) - Upana wa tairi katika...
  15. Jinsi ya Kutengeneza Soko lako mtandaoni

    Watu wengi hawaelewi namna ya kuendesha Business Online Kipengele muhimu usifanye kujaribisha Zingatia sana Jifunze mbinu za dominate sphere ulio ichagua Bila kujifunza huwezi kufanya Kwa usahihi labda Messi na wengine kama yeye Jifunze jinsi itakayo kusaidia kupangilia mawazo ya kufanya online...
  16. T

    Kama taifa tuna mwongozo wa jinsi ya kulinufaisha taifa letu kwanza tuwapo nje ya nchi yetu!?

    Mataifa mengi sana yaliyo serious na maendeleo huwa walishawajengea watu wao wote kwamba ukiwa kwenye mataifa ya watu hakikisha kwa namna yoyote uwezavyo nufaisha taifa lako kwanza. Nakumbuka nimewahi kufanya kazi na makampuni kutoka Africa kusini yaani walikuwa kila kitu kinachotumika kwenye...
  17. N

    Je unahitaji kujua jinsi ya kufanya Payroll na tax zake?

    Habari wana JF, Mimi ni Mtanzania mwenye elimu ngazi ya Degree ya biashara katika uhasibu. Natafuta kazi ya kuandaa Payroll na tax zake monthly kama Part time kwa gharama nafuu kabisa. Nina uzoefu wa zaidi ya miaka 8 kwenye sector binafsi.. Napatikana kwa namba 0657940974 Karibuni sana..
  18. Jinsi ya kupata namba za simu

    Msaada: Jinsi ya kupata namba za simu nilizowahi ku save kwenye phonebook yangu kwa njia ya facebook
  19. Msaada wa haraka: Jinsi ya kuangalia fine kwenye gari ama leseni

    Habari za jioni wanajukwaa; Wiki moja iliyopita niliandikiwa fine kwa makosa mawili na traffic ila akaniambia hawezi kunipatia risiti kwa sababu mtandao ulikuwa unasumbua hivyo akaniagiza nikimuona traffic yeyote nimuombe hiyo risiti ili niweze kulipa deni. lakini nikakumbuka siku za nyuma...
  20. Jinsi ya kupika pilau la samaki

    I hope mko poa Wale wasiotumia nyama nyekundu na wapenz wa samaki pitien hapa Sikunyingine tujifunze kupika pilau la samaki 😀😀 Mahitaji Samaki Mchele Unga wa pilau/pilau masala Binzari nyembamba Giligilani ya majani Mafuta ya kupikia Vitunguu swaumu na vitunguu maji Chumvi na viazi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…