jinsi ya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. V

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kurudosha email au username ajira portal

    1. Wapigie utumishi au fika kwenye ofisi zao 2.Jaribu kureset password kwa email unayoikumbuka kwa kuiedit 3.hii ya tatu ni mwisho na wengi hamuijui lakini ukitaka nikwambie tuwasiliane personally kwasababu siyo wote mtaitumia vizuri.Naandika ivi kwasababu kuna watu wenye biashara zao huwa...
  2. V

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufuta qualifications ajira portal

    KWENYE mfumo kwa upande wa elimu ya chuo NK hasa kuna sehemu imeandkwa REQUEST REMOVAL use it kama uliweka qualifications wrongly
  3. B

    JamiiForums Tanzania Stori za Wanawake wanaojiita High Class Pisi Kali, ni kujadili Jinsi ya kupata waume za watu wenye hela.

    Huu umekuwa kama ulemavu sasa. Kwa kazi yangu ya kukutana na Jamii moja Kwa moja nimekuwa mtu wa kajichanganye kwa watu wa rika zote, jinsia zote, levels zote, maskini, Hali ya Kati na matajiri, pia nimeweza kukutana na socialites, influencers, famous na cerebrilities. Mada zao ni kula bata...
  4. W

    JamiiForums Tanzania MASTERCLASS: Jinsi ya Kutumia Samsung Modes & Routines Kuimarisha Ulinzi wa Simu Yako

    Modes and Routines (Zamani zikiitwa Bixby Routines kwenye simu za Samsung) ni kipengele kinachowezesha simu yako kujiongoza yenyewe (automation) kufanya mambo mbalimbali kulingana na wakati, eneo, au kile unachofanya. Wazo kuu la kipengele hiki linategemea "Kama (If) ... Basi (Then)": Modes &...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Miongozo mipya jinsi ya kupima Tezi Dume

    Mimi kama mhanga, nimefarijika na miongozo mipya ya kupima matatizo ya Tezi Dume na kuacha kudhalilisha wagonjwa kwa kuwaingiza kidole katika D2. ## Miongozo Mipya ya Tezi Dume Yafungua Milango ya Kuwapima Wanaume Chini ya Miaka 50 na Zaidi ya 70 Imeandikwa na Paige Cockburn (Timu ya Uandishi...
  6. JamiiForums Tanzania Falsafa ya 'Mvuli wa Giza': Jinsi ya Kuishi Kijasusi Katika Ulimwengu Unaoabudu Kelele

    Wana-JamiiForums,Tunaishi kwenye kizazi cha "Angalia nini ninafanya." Kila mtu anataka kuonekana. Watu wanapost mafanikio, safari, hadi migogoro ya kifamilia. Lakini leo nataka tuongelee Usiri wa Kiwango cha Juu (Strategic Secrecy)—sio kama tabia tu, bali kama silaha ya kiakili na kiulinzi...
  7. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kutengeneza Picha Kuwa Video kwa Kutumia AI ya Grok Imagine

    18 Julai 2026 Teknolojia ya akili bandia imefanya kazi ya kutengeneza video kuwa rahisi zaidi kuliko ilivyokuwa miaka michache iliyopita. Sasa hauhitaji kamera ya gharama kubwa, mwigizaji, studio au ujuzi mkubwa wa ku-edit video ili kutengeneza video fupi zinazovutia. Kwa kutumia Grok Imagine...
  8. JamiiForums Tanzania Unatamani kuanza biashara ya viatu lakini hujui pa kuanzia? Huu ndio mwongozo muhimu unaohitaji kabla ya kuwekeza fedha zako

    Biashara ya viatu kwa rejareja ni miongoni mwa biashara zenye soko kubwa kwa sababu viatu ni hitaji la kila siku. Watu hununua viatu kwa ajili ya kazi, shule, michezo, sherehe, safari na matumizi ya kawaida. Hata hivyo, mafanikio hayategemei kuwa na viatu vingi pekee. Unahitaji kuelewa wateja...
  9. JamiiForums Tanzania Nielekeze jinsi ya kupost kwa anonymous post hapa JF

    Nielekeze jinsi ya kupost kwa anonymous post hapa JF
  10. JamiiForums Tanzania Jina la Biashara ni Mali Yako. Je, Limeshasajiliwa?

    Jina la Biashara ni Mali Yako. Je, Limeshasajiliwa? Watu wengi huwekeza muda, fedha na ubunifu kujenga biashara zao, lakini husahau kulinda kitu cha kwanza kinachowatambulisha, ambacho ni jina la biashara. Fikiria hali hii. Umeanzisha biashara, umetengeneza nembo, mabango, kurasa za mitandao...
  11. JamiiForums Tanzania Kozi ya Jinsi ya Kutengeneza Simu (Mobile Repair Full Course)

    Je, unatamani kuwa fundi wa simu mwenye ujuzi wa kitaalamu au kuanzisha biashara ya ukarabati wa simu? Kozi ya Jinsi ya Kutengeneza Simu (Mobile Repair Full Course) ya ChuoSmart imeandaliwa kwa lugha rahisi ya Kiswahili ili kukufundisha hatua kwa hatua jinsi ya kutambua hitilafu za simu...
  12. JamiiForums Tanzania Wakongwe tumekuja kuwaonyesha madogo jinsi ya kufanya

    Ngoma zetu zimebaki kuwa kama nyimbo za ukombozi, zimekuwa ngumu kufutika kabisa.. Tofauti na hizi zetu kama pipi tofi, zinayeyuka hata bila kumumunya
  13. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kulifanya Jokofu (fridge)Lako Lidumu Miaka 10+

    JINSI YA KULIFANYA JOKOFU (FRIDGE) LAKO LIDUMU MIAKA 10+ Watu wengi hununua friji na kuliacha tu jikoni hadi pale linapoacha kupoza. Ukweli ni kwamba, friji ni kama gari; lisipopata "service" ndogo ndogo, litakula umeme mwingi na kufa kabla ya muda wake. Hapa kuna siri 5 za kitaalamu za...
  14. JamiiForums Tanzania Nafundisha jinsi ya kuagiza bidhaa china

    Watu wengi wanadhani kuagiza bidhaa kutoka CHINA ni kwa wenye mtaji mkubwa tu. Ukweli ni kwamba wengi wanakosa fursa kwa sababu hawajui pa kuanzia. Kwenye mafunzo yangu utajifunza: 📦 Jinsi ya kupata bidhaa kwa bei ya chini 🏭 Jinsi ya kutafuta supplier wa kuaminika 💳 Namna ya kulipa salama 🚢...
  15. JamiiForums Tanzania Ongeza AURA Yako: Jinsi ya Kuheshimika Bila Maneno

    Jinsi ya kuongeza AURA yako (Define Aura As Ule Utulivu Wenye Nguvu Unaomfanya Kila Mtu Akuheshimu Na Kuhisi Uwepo Wako Bila Hata Wewe Kuongea Sana). 1. Ficha michongo yako, weka matokeo mezani. Kuropoka sana kuhusu mipango yako kunavuja nishati (energy) yako bure. Matokeo huwa yana sauti...
  16. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kufungua Akaunti ya Fiverr na Kuanza Kuuza Ujuzi Wako

    FIVERR ni soko la mtandaoni linalokuunganisha na watu duniani kote wanaohitaji huduma hizo na wako tayari kulipia ukiwa tu na kipaji au ujuzi wowote, labda kuandika, kutafsiri, kutengeneza logo, kuhariri video, kusimamia mitandao ya kijamii, kurekodi sauti au hata kuingiza data. Leo nakupa...
  17. JamiiForums Tanzania Video: Kwanini watu wanapata kitambi na jinsi ya kudhibiti uzito na kuzuia kitambi

    Nimejifunza mengi kutoka kwa huyu jamaa akieleza kwa kina na kwa lugha raisi jinsi ya kudhibiti uzito uliopindukia na kuzuia kitambi. Link ya video hii hapa...
  18. JamiiForums Tanzania Narudia tena kushauri Jinsi ya kuiokoa Tanzania

    Njinsi ya kuiokoa nchi yetu ni kuwaondoa wahuni wote waliopo Madarakani .watu hao wanaunda mpka vikosi vya kigaidi na wanasema hadharani na wanaachwa? Tuiokoea nchi yetu kwa kuwamaliza wahuni wote waliopo madarakani kuanzia juu bila huruma. Baada ya hapo turekebishe mifumo kama ya siasa na...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata wimbo

    Wakuu samahani Kuna wimbo WA Rhumba wa "Franco Luomba unaitwa Eli Kazho" Mwenye audio au video yake au anayeweza kunisaidia jinsi ya kuupata naomba msaada tafadhali maana nimetafuta sehemu nyingi nimeukosa
  20. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutambua Mungu anaongea na wewe

    Jinsi ya kutambua Mungu anaongea na wewe. 1. Mungu anaongea na wewe kupitia amani, Kama upo unapata amani kwenye roho yako pindi unapowaza au kupanga malengo fulani fahamu kuwa Mungu amekubaliana na hilo jambo. Jambo lolote kutoka kwa Mungu uwa alikufanyi kuchanganyikiwa, kukupa shinikizo au...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…