Umri mkubwa (uzee)na jinsi ya kujitunza.

Jack Daniel

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2021
Posts
4,802
Reaction score
19,427
Habari za asubuhi wanabodi na marafiki wa jamiiforum.

Kila kitu huchakaa,huchoka yaani kutoka upya wake hadi kuona kitu ni cha kawaida mpaka kufikia kuwa hakiwezi kutumika au kufanya kazi mpaka labda kiwekewe spea,pengine hata kukitupa kabisa.

Lakini tuangalie namna mwanadamu asivyo na spare na ni namna gani ajitunze ili basi walau kuongeza siku za kuishi.

Tunatofautiana na kupokea uzee wetu yupo mtu ana 60+ lakini bado yupo ngangari mwingine 55+ lakini hajiwezi Kwa vingi.
Nini ufanye kwasasa ili kujitunza na umri wako mkubwa

1.Tambua na chagua vitu vya kula,Kula vyakula vyenye vitamini zaidi kama Mbogamboga na matunda ili kuupa mwili kuendelea kufanya kazi vizuri.

2.Epuka makubaliano au biashara zenye presha sana,na kama unahisi huna namna ya kuzikwepa basi shirikisha timu ya maamuzi kwenye biashara zako hizo kubwa.

3.Uzee ni busara,jitahidi kuchagua mambo ya kuongea huku ukiwa msikilizaji zaidi kuliko kuongea itakupa unafuu kukabiliana na magonjwa,kuwa na umri mkubwa si kujua kila kitu.

4.Punguza unywaji wa pombe kupita kiasi na sigara ikiwezekana Acha kabisa,kuna vitu hata usipotumia hupati madhara.

5.Fanya Mazoezi ya wastani,punguza yale Mazoezi yako magumu,unaweza kushtua baadhi ya viungo na kusababisha madhara mkubwa.

6.Epuka safari zisizo na ulazima,tembelea sehemu muhimu tu kama misiba,vikao muhimu na kama ni mtu wa kwenda kutalii basi isiwe mara Kwa mara.

7.Epuka matumizi ya kujisomea kupitia tablets, laptop na simu, badala yake unaweza tafuta vitabu vya kawaida.mionzi yake inaweza athiri utendaji wa macho yako

8.kama Una gari la kutembelea ni muda wa kutafuta dereva Kwa lazima maana ni umri wa kujisahau na kukosa kumbukumbu,barabara zetu ziko busy Sana.

9.Heshimu kila mtu ,Jenga uhusiano mzuri na watu, punguza bifu na majirani kuwa kiunganishi na majirani

10.Kama Una watoto usilazimishe sana wakujali kwakuwa ni Baba yao au mama yao,usiwalazimishe wakujali Kwa kigezo cha kuwazaa ,kuwasomesha na kuaandalia msingi mzuri badala yake jiwekee mazingira wakujali wenyewe.

Asubuhi njema.
 
Wazo zuri sana.

Nyongeza kwa sasa kuna vifaa vya kisasa vya kusomea, Amabapo kwa walio addicted na kusoma vitabu, basi eReader ni chaguo sahihi, Waweza kutumia wakati wote wa siku, mchana au usiku bila shida.

Mfano:
1792214307275.png

1792214358384.png
 
Nzuri zaidi kwenye mazoezi Tenga mda wa kutembea na kunyoosha viungo
Epuka kujilaumu kwa Yale ambayo hukufanikisha
Furahia Yale uliyofanikisha hata kama ni machache
 
Hiyo namba 7 nadhani inategemea mtu na mtu

Mimi nikisoma hivi vitabu hardcopy macho yanaanza kuuma na kutoa machozi pia nachoka sana

Ila kwenye screen naweza kusoma siku nzima bila tatizo
 
Habari za asubuhi wanabodi na marafiki wa jamiiforum.

Kila kitu huchakaa,huchoka yaani kutoka upya wake hadi kuona kitu ni cha kawaida mpaka kufikia kuwa hakiwezi kutumika au kufanya kazi mpaka labda kiwekewe spea,pengine hata kukitupa kabisa.

Lakini tuangalie namna mwanadamu asivyo na spare na ni namna gani ajitunze ili basi walau kuongeza siku za kuishi.

Tunatofautiana na kupokea uzee wetu yupo mtu ana 60+ lakini bado yupo ngangari mwingine 55+ lakini hajiwezi Kwa vingi.
Nini ufanye kwasasa ili kujitunza na umri wako mkubwa

1.Tambua na chagua vitu vya kula,Kula vyakula vyenye vitamini zaidi kama Mbogamboga na matunda ili kuupa mwili kuendelea kufanya kazi vizuri.

2.Epuka makubaliano au biashara zenye presha sana,na kama unahisi huna namna ya kuzikwepa basi shirikisha timu ya maamuzi kwenye biashara zako hizo kubwa.

3.Uzee ni busara,jitahidi kuchagua mambo ya kuongea huku ukiwa msikilizaji zaidi kuliko kuongea itakupa unafuu kukabiliana na magonjwa,kuwa na umri mkubwa si kujua kila kitu.

4.Punguza unywaji wa pombe kupita kiasi na sigara ikiwezekana Acha kabisa,kuna vitu hata usipotumia hupati madhara.

5.Fanya Mazoezi ya wastani,punguza yale Mazoezi yako magumu,unaweza kushtua baadhi ya viungo na kusababisha madhara mkubwa.

6.Epuka safari zisizo na ulazima,tembelea sehemu muhimu tu kama misiba,vikao muhimu na kama ni mtu wa kwenda kutalii basi isiwe mara Kwa mara.

7.Epuka matumizi ya kujisomea kupitia tablets, laptop na simu, badala yake unaweza tafuta vitabu vya kawaida.mionzi yake inaweza athiri utendaji wa macho yako

8.kama Una gari la kutembelea ni muda wa kutafuta dereva Kwa lazima maana ni umri wa kujisahau na kukosa kumbukumbu,barabara zetu ziko busy Sana.

9.Heshimu kila mtu ,Jenga uhusiano mzuri na watu, punguza bifu na majirani kuwa kiunganishi na majirani

10.Kama Una watoto usilazimishe sana wakujali kwakuwa ni Baba yao au mama yao,usiwalazimishe wakujali Kwa kigezo cha kuwazaa ,kuwasomesha na kuaandalia msingi mzuri badala yake jiwekee mazingira wakujali wenyewe.

Asubuhi njema.
Uzee ni baraka, kula vizuri, lala vizuri, fanya mazoezi mepesi, vaa pendeza furahia maisha
 
hii safi sana, wengi wataelimika hapa. asante mkuu...namba 4 ....inanihusu sana,( mma).
 
Back
Top Bottom