jina

Jina (Zina) is an Afroasiatic language of Cameroon. The Muxule variety may be a distinct language.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ushuhuda mpya nguvu ya jina la Yesu

    ushuhuda Miaka ya 1960's ilitokea mkoa wa Mbeya eneo linaloitwa Mwakaleli Alipokuwa anaishi mwinjilist huyu mwanamume kijana wa miaka 22 akiwa pia ni muajiriwa wa serikali kama meneja wa shirika la umma .Akiwa amefunga ndoa ya kanisani na mkewe wa miaka 20 ,maisha yalikuwa mazuri na kila kitu...
  2. JamiiForums Tanzania Je tunaweza kuanza mchakato wa kubadili jina la taifa letu?

    Naona aibu Naona haya Naona soni Naona taabu Napata kigugumizi cha kujitambulisha kama Mtanzania baada ya haya yote yaliyotokea kwenye uchafuzi wa 2025.. Kuanzia kupika matokeo, wizi wa kura mpaka mauaji ya kutisha ya waandamanaji Wanaoitwa wasomi wametusaliti na kutufedhehesha mno.. Hata kama...
  3. JamiiForums Tanzania Hatua za Kusajili Jina La Biashara Brela Tanzania

    Je, umewahi kujiuliza kwa nini baadhi ya biashara zinaaminika haraka na kupata wateja wakubwa, mikopo, au hata zabuni za serikali wakati zingine zinabaki mitaani zikihangaika? Siri kubwa ipo kwenye: kusajili jina la biashara kupitia BRELA. Bila jina lililosajiliwa, biashara yako ni sawa na...
  4. JamiiForums Tanzania Baraza la Mawaziri lapiga kura kubadili jina la vita vya Gaza kutoka ‘Sword of Iron’ hadi ‘War of Revival”

    Baraza la Mawaziri lapiga kura kubadili jina la vita vya Gaza kutoka ‘Upanga wa Chuma’ hadi ‘Vita vya Uamsho -Serikali imeidhinisha kwa wingi pendekezo la Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu la kuviita vita vya Gaza jina jipya “Vita vya Uamsho” licha ya upinzani kutoka kwa familia za mateka na...
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 KNOCKOUT YA MAMA: Michezo, Siasa au Rushwa kwa Jina la Zawadi?

    Siku ya jana pamoja na siku zingine nyuma, Tanzania imeshuhudia mashindano ya ngumi yanayojulikana kama “Knockout Ya Mama”, yakitajwa kuwa ni sehemu ya kukuza michezo nchini. Mashindano haya yamekuwa kivutio kikubwa kwa wananchi, hasa kutokana na zawadi nono zinazotolewa — ikiwemo shilingi...
  6. JamiiForums Tanzania Jina la wimbo huu wa Enrique Iglesias lina maanisha nini?

    GT Naomba mnijuze huu wimbo una maana gani? Unaitwa 'Velvet Horizons' Ni wimbo mzuri sana umetoka mwaka huu 2025 naupenda ila nimeshindwa kujua maana yake,kila nikisoma maana ya maneno hayo mawili niunganishe sipati maana halisi. Pia nimejaribu kutafuta Lyrics zake sizipati,kama unajua mahali...
  7. JamiiForums Tanzania Kuna lile jina halina maana mbaya ila hupendi mtu akuite. Litaje

    Habari wadau;; Kila mmoja ana kile akipendacho na asichokipenda. Siku hizi kumekuwa kunaibuka misemo na majina mbalimbali ktk jamii na yamekuwa yakitumika/kutumiwa. Kuna baadhi ya majina kama udugu wangu, na mengineyo... Sasa kuna jina ambalo mtu aweza kukuita ila ukajikuta tuu hupendi...
  8. JamiiForums Tanzania Kubadilisha jina ulilotumia kusajili kwenye LIPA no inawezekana?

    Habari wadau, Kuna lipa no ya biashara yangu nlisajili kwenye mtandao wa Airtel, sasa nimefikia uamuzi wa kubadili jina la biashara, nataka no za LIPA no ziwe zile zile, nibadili jina tuu, inawezakana?
  9. L

    JamiiForums Tanzania Hizi ni taarifa 5 zinazohitajika Wakati wa kusajili Jina la Biashara

    Usajili wa jina la biashara unaweza kwenda haraka ikiwa unazo taarifa muhimu zinazohitajika Wakati wa kusajili. Taarifa hizo ni hizi hapa; 1. Jina la Biashara Lazima uwe Tayari na jina la biashara unalotaka kulitumia na liwe jina ambalo halifanani na jina ambalo limeshasajiliwa. 2. Address ya...
  10. JamiiForums Tanzania Naamini kuna mamlaka zinazohakikisha kile kinachopaswa kuzungumzwa ni Palestine pekee huku maeneo kama Sudan, Syria, Nigeria kaskazini, etc.. kimya

    Jeshi la houthi lisababisha vifo ya mamilioni ya watoto huko yemen na kuacha utapia mlo ambao upo hadi leo unatesa watoto. Jeshi la ISIS liliwateka wanawake wa kisyria na iraq na kuwageuza watumwa wa kingono na wengine kuwauza kwa watu wengine. Jeshi la boko haram limesababisha chaos nigeria...
  11. JamiiForums Tanzania Hii sms imekuaje inakuja na jina hili?

    Natumia TRUECALLER
  12. JamiiForums Tanzania Trump aibadili jina Wizara ya Ulinzi Marekani kuwa Wizara ya Vita

    DJT anaendelea kuwapeleka mbio Wamarekani, sasa Department of Defense(DoD) imekuwa Department of War(DoW)
  13. JamiiForums Tanzania Ni lini Pro Kabudi utaacha kutumia jina Mwalimu Nyerere kwa maslahi yako Binafsi?

    Tabia ya Prof Kabudi kutumia jina Mwalimu Nyerere kwa maslahi yake binafsi limekua kubwa.
  14. JamiiForums Tanzania Jina la Yesu limefanya maajabu: limemzuia mwana mazingaombwe kucheza "show" zake

    Wanaofanya mazingaombwe huwa wanadai kwamba, maonesho yao yanatokana na ujanja na maarifa fulani ya hali ya juu. Hata hivyo, Mtumishi mmoja wa Mungu, amethibitisha wazi kuwa baadhi ya mazingaombwe huwa yanafanywa kwa kutumia nguvu za giza! Siku moja Mtumishi huyo alipita mahali akakuta mwana...
  15. JamiiForums Tanzania Nimeandika kitabu kuhusu upinzani Tanzania,naomba ushiriki kupendekeza angalau jina la kitabu

    Mchango wangu pekee ninaoweza kuutoa kwa nchi yangu Tanzania ni kuwaletea matukio kina juu siasa za Upinzani toka 1992.Nimeandika na bado naendelea ila nawaza jina la kitabu napata kigugumizi,japo nimewaza haya kwa kuanzia 1“Machozi na Damu za Ukombozi” 2. “Kilio cha Mashujaa: Historia...
  16. JamiiForums Tanzania Polepole aache kutumia jina la Hayati Magufuli kuhalalisha vioja vyake.

    Baada ya kutazama video nzima ya Polepole ya dakika 59 nimeona niandike huu uzi ili kuweka mambo sawa kwa facts tupu. Huu uzi ndo utakuwa msimamo wa JF nzima dhidi ya vioja vya Polepole. Nimejitahidi kumpuuza ila naona anakoelekea sio pazuri kwa afya yake ya akili ndo maana nimeona nimsaidie...
  17. JamiiForums Tanzania Sheikh anasema Hakuna Jina la Kiislamu au Kikristo, haya majina ni ya tamaduni za Wazungu na Waaarabu, Waafrika mnabadili majina kwa kushoboka

  18. JamiiForums Tanzania Jina unalotumia JF unaweza kumpa mtoto au mjukuu wako?

    Je utambulisho wa jf unaweza kumpa mtoto wako au mjukuu kama jina rasmi kwake? Binafsi nikipata mtoto wa kiume nitamuita Kazanazo
  19. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Dallu: Kiongozi Ukistaafu ondoka, usijifanye mshauri, Serikali ina mipango yake

  20. JamiiForums Tanzania samaki Aina ya GOGO

    Kama unafahamu samaki aina ya GOGO, tafadhali nijulishe Jina lake lingine ni lipi, anapatikana wapi kwa mwambao wa ziwa Victoria, kama una picha itasaidia zaidi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…