Pamba United ilikuwa timu iliyokuwa inamilikiwa na chama cha ushirika cha Nyanza Cooperative Union, ambacho kilikuwa kinajihusisha na zao la pamba tu. Timu hii ilipofufuliwa tena chini ya Halmashauri ya jiji la Mwanza, imeendelea kutumia jina la Pamba ambalo halina uhusiano wowote na timu hiyo...