jina

Jina (Zina) is an Afroasiatic language of Cameroon. The Muxule variety may be a distinct language.

View More On Wikipedia.org
  1. Samatime Magari

    JamiiForums Tanzania 🚨ONYO: Ukinunua gari used kabadilishe Jina

    Ni Mwishoni mwa mwaka 2021 Kipindi cha sikukuu Kabla hatujaupokea mwaka Kimario alinipigia simu asubuhi asubuhi akaniambia kuna issue very sensitive anahitaji msaada wangu, Nilijaribu kudadisi issue ni nini akaniambia ni muhimu tuonane kwanza ndio ataniambia. . Alisisitiza issue ni sensitive...
  2. Ahmed Saidi

    JamiiForums Tanzania Kuchange jina la kozi ili uombe kazi Ajita portal

    Wakuu Salam, Kuna kazi hapa nataka kuomba na Nina vigezo lakini Kama manavyojua huu mfumo wa utumishi ulivyo na shida, umenikatalia. Sasa nataka ni-edit jina la kozi niliyosoma ili tu niweze kuomba kazi hii. Mfano katika nafasi ya kazi ya warden, Moja ya qualification waliyoitaka ni Bachelor...
  3. Marumeso

    JamiiForums Tanzania Kaa mbali na Mwanamke asiyejua kuandika jina lake kwa usahihi

    Kaa mbali sana na mwanamke anayeandika jina lake kwa staili hii akiamini amelipatia - Mtu anaitwa Lilian yeye anajiandika Lilyan/Liliani au Lylyany. - Janeth yeye anaandika Janethi/Janeti/Janethy - Mary au Maria yeye anaandika Marry/Merri/Meli/Malia - Priscilla/Priscillah anaandika...
  4. Donnie Charlie

    JamiiForums Tanzania Mkazi wa kijiji cha Bwira Juu kata ya Selembara wilaya ya Morogoro anadaiwa kuuawa kwa kupigwa risasi na polisi wa kituo cha polisi Dala

    Kijana ambaye jina lake halijatambulika mkazi wa kijiji cha Bwira Juu kata ya Selembara wilaya ya Morogoro anadaiwa kuuawa kwa kupigwa risasi na polisi wa kituo cha polisi Dala. Inaelezwa kuwa askari huyo alikuwa amekwenda kumkamata kijana huyo nyumbani kwake baada ya mkewe kumshtaki polisi...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Ni sababu gani zilipelekea chama cha TANU kubadili jina mwaka 1977?

    kwa wanaoelewa sababu zilizopelekea chama cha TANU kugeuzwa kuwa Chama Cha Mapinduzi anijuze tafadhari maana mimi kama mimi sioni haja ya TANU kuwa chama cha mapinduzi.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Jina " Mfaume" ni wenyeji wa mkoa gani na kabila gani?

    Naomba kujuzwa tafadhali
  7. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Jina "Msangawale" ni wenyeji wa mkoa gani/kabila gani?

    Mwenye kujua naomba anijulishe tafadhali. Kama anajua na maana ya jina itakuwa vizuri zaidi. With much thanks in advance.
  8. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Spika apiga marufuku wabunge kufanya vituko ndani ya Bunge

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. Tulia Ackson amepiga marufuku Wabunge kufanya vituko kama kupiga magoti au sarakasi wakati wakichangia mijadala mbalimbali ndani ya Bunge. Mbunge Flatei Massay akiwa amepiga sarakasi Bungeni
  9. N

    JamiiForums Tanzania Vita dhidi ya CEO Barbara: Jina liliondolewa na nani alipochaguliwa na CAF kwenye kamati?

    unakumbuka awamu iliyopita Mr Membe alipokuwa anatakiwa ale shavu la ukatibu mkuu jumuiya ya madola jina likaondolewa na host country yaani wakubwa wa awamu ya tano? Basi hayo yamejitokeza kwenye soccer ,kama unadhani walimsamehe Barbara Gonzalez kwa kuidindia ile deal ya kitapeli ya...
  10. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Ukiacha jina la Mungu, ni jina gani linaongoza kutajwa sana humu JF?

    Habari wakuu Nimeijua JF mwaka 2008, nikawa nasoma kimya kimya. Mwaka 2014 nikaona nijiunge rasmi . Na kwa kuwa binafsi ni mpenzi wa kusoma makala na vitabu mnooo,maana nilifundishwa kusoma na kaka zangu kabla sijaanza darasa la kwanza!!! Hivyo nimesoma makala nyingi sana humu na kujifunza...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Hivi jina Nyalusi huwa ni wenyeji wa mkoa gani?

    Naomba kujuzwa tafadhali
  12. N

    JamiiForums Tanzania V.A.R YA CHAWA: NI uongo na aibu kumsifia Rais Samia kuhusu jina hili huko Ujerumani

    Mr Njaakali hatari naaanza leo kukuleta segment matata iitwayo VAR YA CHAWA kutokana na ongezeko la kutisha la machawa na usambazaji wa kutisha wa fake news Leo naanza na member aitwaye Crocodiletooth chawa moja hatari lenye blue tick liko verified yaani limepost uzi huu. Kwa bidii ya Rais...
  13. 44mg44

    JamiiForums Tanzania Pendekeza jina la unayedhani ni mrembo kuliko wote hapa, mshindi baada ya comments 20

    Wadau mi nimeona ni jambo zuri warembo wetu tuwashndanshe, il tujue nan ni miss JamiiForums. Pga kura kwa mtu mmoja tu, kura yako itaharbka kama utapgia wawil au zaid, karbun wajomba.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Bango la Anwani za Makazi likiwa limekosewa

    Sekou Toure Road 👇
  15. Ummesh

    JamiiForums Tanzania Siku hizi wake wanawaita waume zao "baba chanja", si "mume wangu" tena kama ilivyokuwa zamani

    Nimekua nikimsikia mama akimtaja baba kama mume wake. Anaweza sema " mume wangu" anapokuwa akizungumza na wenzake. Wamama wa siku hizi sasa, utasikia anasema " baba chanja wangu" Tena wengi wetu tunaitwa baba chanja. Hata mimi leo nimesikia nikiitwa baba chanja alipokuwa akiongea na mwenzie...
  16. Fohadi

    JamiiForums Tanzania Majina yapo mengi, ila kwanini MTARO ulipewa jina la mtandao wetu pendwa.

    Ni jumanne nyingine, hali ya hewa ni rafiki na sio rafiki kwa namna moja ama nyingine. Inategemea na mtu na mtu. Nimeona sio vibaya nikiuliza na kujifunza kutoka kwa wanaofahamu. Nina amini baadhi ya majina ya maeneo yaliwekwa kutokana na matukio au shughuli ambazo ziliwahi kutokea kwenye...
  17. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Ipo haja ili kuimarisha muungano jina "chama cha mapinduzi"likabadilishwa.

    Tutakapo badilisha jina hili kwa kuliongezea mambo ya kitaifa na ya kimuungano imara zaidi itapendeza sana,ningependekeza kwa wakati tulionao na kwa wakati ujao kwa chama imara zaidi na cha kitaifa jina la chama chetu likawa, "" CHAMA CHA KIMAPINDUZI CHA WATU WA TANZANIA"" Kwa jina hili...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya Umoja Party kubadili jina kwa manufaa mapana ya Taifa

    Baada ya vuguvugu kubwa la kuanzishwa kwa chama cha siasa cha Umoja Party ni dhahili sasa safari imeanza lakini nna ombi moja tu tubadili Jina kuwa Chama cha Ukombozi na Umoja Tanzania (CUUTA). Sababu kubwa ni kwamba kwanza tunahitaji kukomboa watu kifikra na kiuchumi na ndipo tuwaunganishe...
  19. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Je, jina la Yesu ni kweli lina nguvu na uwezo mkubwa katika kutenda miujiza hadi leo? Wewe limekutendea makubwa gani? Karibu ushuhudie

    Hili ni swali tu katika kujua uweza na uwezo wa nguvu za Jina la Yesu katika kutenda miujiza. Yesu alipata kuishi yapata miaka 2019 iliyopita. Je inakuwaje jina lake leo lisemwe kwamba lina nguvu sana katika kutenda miujiza? Kuna manabii wengi sana na mitume wengi wamepita, kina Krishna...
  20. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Msaada : Mrisho ni jina la Kiislamu, Kiyahudi, Kikristu au kikabila?

    Nimepata mtoto nataka kukapa hili jina, nilikuwa nataka nijue kwanza asili yake. Hivi hili jina lina asili ya wapi? Maana kuna watu kadhaa nawafahamu wanatumia hili jina, wengine ni waislaam, wengine ni wakristu, wengine ni waha na wengine ni wakwere na wengine ni wahindi nk. Au ndio jina la...
Back
Top Bottom