jina

Jina (Zina) is an Afroasiatic language of Cameroon. The Muxule variety may be a distinct language.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini January Makamba unakataa kutambua nguvu na juhudi za hayati Magufuli kwenye JNPP?

    Ukweli lazima usemwe, kuna tatizo gani kutambua juhudi za hayati Magufuli kwenye mradi huu wa umeme (JNHP), hasa kwenye hotuba zenu? Wazo lilikuwa la Mwalimu Nyerere akashindwa, awamu zilizofuata kuanzia ya pili mpaka ya NNE, hawakuwa na habari na mradi huo, waliupa kisogo. Hayati Magufuli kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Wakongwe wa Rap Bongo anayekumbuka nyimbo hii inaitwaje anisaidie jina niitafute

    Habari zenu wakuu, Kuna nyimbo nakumbuka mistari yake na kisa chake, sauti ya Saigon pia IPO kwenye hiyo ngoma,kisa cha nyimbo ni washikaji maisha magumu hawana pesa za mavazi wala maradhi, wanapanga wakavamie nyumbani kwa muhindi tajiri wachukue pesa wamalize shida zao,,katika mpango wao...
  3. JamiiForums Tanzania Anayefahamu jina la huu wimbo naomba anijuze

    Natanguliza shukrani
  4. JamiiForums Tanzania Zanzibar na guest isiyo na jina

    Nimekuwa na trend ya kuja Zanziba kila wakati kwa majukumu mbalimbali.Changamoto kubwa huku ni bei ya hotel ambayo mara zote..minimum ni TZS 60,000 ambayo ni Hotel ya kawaida kabisa.Sasa juzi nimekuja tena huku na kumtafuta rafiki yangu akaniambia zipo za bei naafuu. Akanipeleka sehemu fulani...
  5. JamiiForums Tanzania Baada ya kutunukiwa PhD na kuwa Dkt. mnaonaje jina la "Mama" sasa tukaachana nalo ila Nyumbani wanaweza kuendelea kumuita Mama?

    Wanabodi, Angalizo la Bandiko Hili, sijataja jina la mtu yoyote, naomba na wewe usitaje. Hapa nazungumzia title ya mtu kuitwa Mama. Japo title ya "Mama" ni jina la heshima kwa mwanamke, kila mwanamke kuitwa mama ni heshima kubwa zaidi kwa mwanamke yoyote kuliko kuitwa tuu jina lake, hivyo...
  6. JamiiForums Tanzania WHO yabadili rasmi jina la Monkeypox kuwa Mpox

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limechukua uamuzi huo baada kushauriana na wataalamu kutokana na uwepo wa malalamiko kwamba jina la sasa lina Ubaguzi wa Rangi na Unyanyapaa. WHO imehimiza mashirika yote yanayotoa hudua za Afya duniani kote pamoja na vyombo vya habari kuanza kutumia jina hilo...
  7. JamiiForums Tanzania OAC imerudi kwa jina lingine?

    Harakati zetu kwa nchi za kiarabu sasa hivi ziko wazi zaidi kuliko pale zamani, hii ni kusema sasa tumejiunga OAC kimyakimya? Tunahitaji fedha, Nadhani huu ndio wakati wa kujiunga rasmi na OAC ili Tanzania inufaike na uanachama wake kwa uwazi zaidi.
  8. JamiiForums Tanzania Kwa nini watu huwa hawaitwi hili jina?

    Toka nizaliwe sijawahi sikia mtu akiitwa Delila. Kwenye delta ya mapenzi anaweza kuwa hatari sana au inakuaje wakuu?
  9. JamiiForums Tanzania Kama hizi ndio sababu za jina la Mpina kukatwa NEC

    SUALA la Luhaga Mpina kukatwa jina lake kwenye nafasi ya mgombea wa NEC Mkoa wa Simiyu kwa mwaka huu wa 2022 kuwa amekosa sifa ya kuteuliwa limetuachia maswali mengi hasa sababu 11 zinazodaiwa ndio zimechangia kuondolewa kwenye mchuano huo. 1. Kuhoji bungeni kuhusu madai ya fedha za makinikia...
  10. JamiiForums Tanzania Almanusura nitapeliwe

    Hawa jamaa walinifuata Insta na kutaka nifanye nao kazi ya ugavi. Walijitambulisha kuwa ni Sasakawa Lodge ndani ya Serengeti. Wakasema walitembelea trade profile yangu wakasema tukutane next day evening huko Serengeti tuingie mkataba. Nikapigiwa na mwanamke ambaye anazungumza kiingereza cha...
  11. JamiiForums Tanzania Je, Muokoaji Shujaa asingekuwa na Jina la 'Majaliwa' angesifiwa na hata Ushawishi wa Kumtunza 'Mifedha' ungekuwepo?

    Haya haya Waokoaji wa Ajali za baadae hakikisheni nanyi Majina yenu yawe yanafanana na ya Viongozi Wakuu na Waandamizi wa Serikali hii ya Awamu ya sasa ili yakitajwa tu basi wenye hayo Majina ( Wajina zenu ) waweze Kufurahi na kupata hata Ushawishi wa Kuwalazimisha Wakuu wa Mikoa mpewe Zawadi na...
  12. JamiiForums Tanzania Jina la Mirembe lamkera Waziri Ummy, atamani kulibadilisha

    Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ameeleza matamanio ya kuibadilisha jina la Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili Mirembe ili kuondoa fikra mbaya kwa jamii kuhusu wagonjwa wananotibiwa katika hoaspitali hiyo "Natamani libadilishwe hata jina la Mirembe kwakweli sababu ukienda pale unaonekana ni chizi...
  13. JamiiForums Tanzania Joseph Kusaga ampa support Mbosso

    Joseph Kusaga ameshea jina la EP ya Mbosso. Ep itaitwa KHAN na itatoka kesho saa 6 usiku.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Naishauri Azam inunue timu ya Pan Africa na jina liwe Azam Pan Africa

    Ndugu wanamichezo wenzangu, nimefikiria na kuja na wazo kuhusu timu ya Azam, kama itawezekana basi viongozi wa Azam wafikirie kuinunua timu ya Pan Africa na jina la timu iwe Azam Pan Africa. Sababu kubwa ya kufanya hivyo ni kwamba Pan Africa bado ipo na ina mvuto lakini uwezo wa kujiendesha...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini Wasukuma wanalipenda sana hili jina?

    No research no right to speak. Nimefanya research yangu kwa muda mrefu nimegundua kwamba Wasukuma wanalipenda sana jina la Jose. Ukienda Mwanza na Shinyanga utakutana na akina mama jose na Jose wengi saana. Katika wasukuma 10 basi wakuma 3-4 wanaitwa Jose. Hapa mtaani niliko sio usukumani...
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania, je hatuoni aibu kuendelea kulilinda na kulienzi jina la mwizi wa rasilimali zetu?

    Tarehe 4 Januari 1917, vita ilikuwa imepamba moto. Majeshi wa Uingereza dhidi ya majeshi ya kijerumani katikati ya nchi ya Tanganyika eneo la mto Rufiji. Askari wa kingereza, jina lake Frederick, alikuwa amejificha mahali kukabiliana na askari wa kijerumani. Akachukua "darubini" kutazama ni...
  17. JamiiForums Tanzania Wanawake wenye hadhi ya mama mdogo nawapata kirahisi, hii inaweza kuhusiana na mambo ya koroho?

    Wanawake wenye jina la mama mdogo nawapata kirahisi, hii inaweza kuhusiana na mambo ya koroho? Ni jina la yule mama mdogo ambaye wamezoena zaidi na mama ukiachana na wadogo zake wengine wawili wa kike. Nakumbuka sekondari form 3 hadi 4 kuna binti alikuwa na hilo jina aliniganda na tulipendana...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi sales and marketing, customer service au data entry.

    Habari za mchana viongozi. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23 Nina ujuzi katika sales and marketing na customer care service na data entry na stock controller namba yangu ya simu 0654918030.
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini tumekubali ziwa la Kanda ya Ziwa kupewa jina na Malkia Victoria wa Uingereza?

    Tena huyu malkia alikuwa anatawala Uingereza miaka ile ya mkutano wa kugawana bara la Afrika. Kwanini miaka yote hii tangu uhuru hatujarudisha jina lake la asili?
  20. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu na CHADEMA endeleeni kulamba asali, msijifiche kwenye jina la Magufuli

    Baada ya kulipwa "pesa zao" na serikali ya Mama Samia awa viongozi wa Chadema wamekuwa kimya sana na zaidi wameingia kwenye maridhiano ambayo wafuasi wao hawajui wanaridhiana kitu gani. Inaonekana magwiji wa siasa nchi hii viongozi wa CCM wamewazidi ujanja kwenye discussion. Mbaya zaidi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…