jina

Jina (Zina) is an Afroasiatic language of Cameroon. The Muxule variety may be a distinct language.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Msaada kurekebisha jina NIDA

    Wakuu samahani naomba kujua utaratibu wa namna ya kurekebisha jina NIDA, jina langu lilikosewa herufi moja wakatai wa kujisajili NIDA baapa ya FILIBERT wakaandika FILIBETH hivyo linatofautiana kwenye vyeti. MSAADA TAFADHARI NI HATUA GANI ZA KUFUATA
  2. JamiiForums Tanzania Wakristo kuna miungu mingi sana. Kusali kwa kusema Mungu badala ya Jina la Mungu unaemuabudu si sawa

    Mungu nisaidie hiki. Mungu utukuzwe. Mungu naomba abcd. Mungu nisamehe dhambi. Mungu asante. Mungu, Mungu, Mungu. Mungu huyo hana jina ? Kuna miungu zaidi ya elfu 18 inaabudiwa hapa duniani. Unaposali kwa kusema Mungu kuna tofauti gani na mtu asietaka kumpa jina mtoto?
  3. JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji kuutambua huu wimbo kwa jina

    Habarini Wakuu, Samahani nahitaji kuutambua huu Wimbo kwa Majina.
  4. JamiiForums Tanzania Baada ya jina lake kutoka kwenye Mkeka wa Afya ataka nisubiri miaka 5 ndio niweze kumuoa

    Mpango hapa ni kuleta tu maombi ya kutafuta mke mwingne humu ndani. Habari ya kusubiri miaka 5 na mtu katupiwa Kagera huko ni uongo.
  5. JamiiForums Tanzania Nimeshtushwa na TCRA kukosea jina lao kwenye ripoti yao

    Nimeshtusha na ripot ya mwezi wa March 2023, ya TCRA ambayo jina lako limekuwa ni Authory badala ya Authority. Yaani hii ni sawa na mtu kujikosea jina lako mwenyewe. Ni aibu
  6. JamiiForums Tanzania Nikisema mastaa wenu hawana hela hasa bongo sasa Zari wakwenda kuspend element kwa jina alilonalo?

    Hellow africa Sikutegemea Zari kwenda element kuspend sio hazi yake yeye alitakiwa kwenda maeneo kama wavuvi kempu, karambezi, sea crif, cape town huko ndiko anaweza tumia pesa pale anagawa tu
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini Mungu anaitwa Mungu na hakuitwa jina lingine? Kama Shetani ni mharibifu kwanini aliachwa hai?

    Miongoni mwa maswali najiuliza kila uchwao ni kwanini Mungu aliitwa Mungu na sio jina lingine?,Ni nani alimpatia hilo jina? Na kama yupo alikuwa nani? Kwanini Mungu hakummaliza shetani hukohuko kama kweli ni muharibifu? kiasi kwamba anatuletea tabu ambazo tunaamini yeye ni chanzo? na...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nauliza utaratibu wa kubadili jina

    Nilikuwa naitwa jina fulani, kutokana na Imani yangu ya Dini,jina nililopewa na wazazi wangu, Baada ya kubadili Dini,mimechagua jina lingine linaloendani na imani yangu, Sasa nilitaka kubadirisha jina, kwenye cheti cha Nida na Paspoti naomba anayejua utaratibu wake anisaidie, Ninakaa Iringa mjini
  9. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Rais Samia: Acha kutumia kauli "Nawasalimu kwa jina la Jamhuri (ya Muungano wa Tanzania")

    Habari... mara nyingi namuona rais samia anaposimama kutoa hutuba zake huwa anasema "nawasalimu kwa jina la jamhuri..." kisha anaenda moja kwa moja kwenye hoja zake za kiprotokali mimi binafsi namshauri rais aache mara moja kufanya hivyo kwani jambo hilo siyo jema kwa yeye mwislamu. hoja zangu...
  10. JamiiForums Tanzania Kama lilikosekana Jina zuri la 'Bone Marrow' katika kiswahili, bora lingetoholewa hilo hilo la kingereza

    Ingekuwa nafuu hata tukisema 'Boni maro'. Yaani ndo UBOHO?! hivi aliyepitisha hili neno alikuwa mswahili kweli? Jamani Uboho inatia ukakasi kutamka. Ni nani mwenye mamlaka atuangalizie jina mbadala?
  11. JamiiForums Tanzania Uchumi wa Frame Tanzania

    Uchumi wa Frame unashika kasi sana Tanzania, ni Frame juu ya Frame, ni frame ukikata kona ni frame ukinyosha ni frame. Hii nchi na hisi uwezo wa wetu wa kufikiria nahisi usha fikia tamati yake, nchi kwa sasa iko kwenye uchumia wa frame, si Jeshi la Police, Si Jeshi la Wananchi, Si makanisa...
  12. JamiiForums Tanzania Simba hajawai kufika fainali kumbe la CAFCL hata kabla halijapewa jina hili jipya

    Hapa Leo sitaongelea ushabiki kabisa bali tutazungumza kuhusu mpira na mstakabali wa nchi yetu. Basi nieende kwenye point moja kwa moja nchi yetu ya Tanzania inawatu takribani milioni 60, na vijana wakiwa wengi kuliko wazee ambao vijana tunaonekana ndo watu ambao tunaweza kuikomboa nchi yetu...
  13. JamiiForums Tanzania Nipe Jina (Lako), Nikupe Jina la Kiislam Lenye Maana Sawa

    Assalamu alaikum! Eid Mubarak kwa wote wanaoisherehekea leo. Huku tukifurahi katika kipindi hiki chenye baraka, Natoa Offer ya Eid, kwa wewe mkristo huenda unashangaa (wazungu wanasema wonder), Ungekuwa Muislam kwa jina lako hilo hilo la Kikristo, ukichukua maana yake tungepata jina gani lenye...
  14. JamiiForums Tanzania Tetesi: Dar es Salaam SGR Terminus kupewa jina la Rais Samia

    Habari zenu wana JF wenzangu, Hizi ni tetesi kutoka kwa mtu wa ndani ya kitengo fulani, ambapo amesema mpango huo wa kuipa Terminus hiyo jina la raisi Samia utafanyika siku ya ufunguzi wa safari za train hizo zinazotumia umeme. Mdau huyo amesema kwamba lengo kuu la kuipa Terminus hiyo kubwa...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Mwenye kufahamu kuhusu kubadilisha jina kwenye NIDA Kwa mtumishi wa umma

    Naomba kujuzwa Kwa utaratibu wa kubadilisha jina Kwa mtumishi wa umma kwenye I'd yangu ya NIDA Ili majina yaende sawa ,kama iliyo kwenye ajira yangu ,nawasilisha nilishaenda NIDA ila walivyogundua mimi ni mwajiriwa hawakuendelea,na hili jambo linakuwa ni changamoto kwangu
  16. JamiiForums Tanzania Hivi hili jina Mwendazake wanalomuita Magufuli ni official?

    Leo nimesikitika Sana watangazaji kutokuwa na weledi na kazi yao Asubuhi ya leo nipo najiandaa kutoka radio ilikuwa inaongea (east Africa radio) kipindi wanakiita Mama Mia ,Rita chiwalo ndo mtangazaji alikuwa na mwezie Wakawa wanajadili maswala ya CAG Mara katika malumbano mmoja akasema mbona...
  17. JamiiForums Tanzania Tunaomba jina la kiongozi wa Simba SC aliyeshawishi usajili wa Sawadogo atupe maelezo

    Huyu Mchezaji sijawai ona tangia amejiunga na Simba Sc hakuna Mechi hata Moja aliyo perform kwa kiwango cha kuthibitisha kwamba huyu ni international professional player. Ni kheri sasa huyu kiongozi aliye pendekeza usajili wa huyu mchezqji qjitokeze walau atuambie ni kipi yy kilimshawishi
  18. JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini tunapenda kuitana "Mkuu"?

    Nimekuwa humu kwa kipindi kidogo lakini hili la kuitana 'Mkuu' limekuja tu. Sijui kwanini wakuu?
  19. JamiiForums Tanzania Sema jina Young Africans limekaa unyama sana

    Katika timu zote kwenye mashindano ya CAF, jina la Young Africans ndiyo tamu zaidi.
  20. T

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Mungu tunaileta mbele yako kamati itakayopitisha jina la Rais wa Tanzania 2025

    Mungu ulie chanzo cha Taifa la Tanzania watu wako tunakuja mbele yako kwa sala na maombi maalumu juu ya Taifa letu Tanzania. Mungu Baba tunasema Asante kwa kila kiongozi ulie tupa ktk jamuhuri yetu ya Tanzania. Mungu Baba tuna sema Asante kwa kutupa Mashujaa walio lipigania Taifa hili kwa dam...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…