jina

Jina (Zina) is an Afroasiatic language of Cameroon. The Muxule variety may be a distinct language.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ahoji uhalali wa kikatiba wa jina jipya la Tume Huru ya Uchaguzi

    Ameandika hivi kupitia mtandao wa X: Waheshimiwa Majaji & wanasheria mlioko Tume hii naomba kuwauliza: Ibara ya 74(1) ya Katiba yetu inatambua jina rasmi la Tume kuwa ni 'Tume ya Uchaguzi.' Hili jina jipya la 'Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi' lina uhalali wowote kisheria au ni mbwembwe & ulaghai...
  2. JamiiForums Tanzania Wanaume mlio oa na mlio na watoto wa kike wakubwa ( mabinti vigori/li) Hivi jina " Dullah" liliwakosea nini mbona mnali demonize hivyo?

    Kosa jamaa aambiwe " Kaka mkeo alikuwa anaongea na Dullah" yani jamaa hata kama hamfahamu huyo Dullah basi atawaza tu kwamba huyo Dullah anatembea na mkewe. Atagombana na mkewe na atakuwekea jealousy wewe Dullah. Unashangaa tu unakutana na mtu barabarani ana kuangalia kwa chuki unabaki...
  3. JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya jina la tume ya uchaguzi

  4. JamiiForums Tanzania Benchika kocha jina, muda utaongea

    Ukilinganisha takwimu za kocha objective na huyu Benchika za mr objective ni nzuri kuliko za huyu. Najua mtakuja na mapovu ila muda utaongea
  5. JamiiForums Tanzania Nimelikataa jina walilonipa wazazi wangu

    Mwaka 2009 wakati nikiwa form 3 nilienda kanisani na kumwambia baba mchungaji nataka kubadilisha jina hili walilonipa wazazi wangu silitaki. Eti wamenipa jina la babu yangu mzaa baba, babu mlevi kiwembe balaa kwa madem, alikuwa na utajiri wa ng’ombe 500 mbuzi kibao wote kahonga madem, mifugo...
  6. G

    JamiiForums Tanzania Nakutahadharisha ewe ndugu yangu unayejiita jasiri, epuka kulitaja jina lile

    Japo haijatajwa sababu ya kwann umeshushwa kwenye bajaji na ukapandishwa kwenye bodaboda, lkn mtazamo wa wengi ni kwamba uliendelea kusifia jina la bosi wako wa zamani ukalididimiza na kulidhihaki la huyu wa sasa. Ukataka kujivika ushofeli na umwamba kwa kuyaazima matendo na maneno ya lile jina...
  7. JamiiForums Tanzania Jina la pili la mwimbaji wa Injili Christina Shusho ni jina la nani yake?

    Tangu nianze kusikiliza nyimbo zake huyo mwimbaji namfahamu kwa jina la Christina Shusho. Hivi Shusho ni jina la baba yake na Christina au ni jina la ubini kwa familia ya aliyekuwa mumewe wake ? Naomba kufahamishwa.
  8. JamiiForums Tanzania Harufu ya upigaji; Document ya kitapeli inayo chafua jina la Lake Oil Company kwa utapeli wa nafasi za kazi yasambaa mtandaoni.

    Halafu bado kuna watu watakuja kusema wamepigwa. Document yenyewe ni hii niliyo iambatanisha hapa
  9. JamiiForums Tanzania Tumsaidie Rais Samia kupata mtu sahihi wa ITIKADI na UENEZI, Weka jina humu JF na toa sababu

    Nafasi ya uenezi ni kubwa sana maana ndio kipaza sauti cha chama! Tunatakiwa kupata mtu anayekubalika na jamii na hana makandokando, awe mwenye kujishusha na kupokea maelekezo ya wakubwa zake! Wana JF tumsaidie mama kupata mtu sahihi hapa!
  10. JamiiForums Tanzania Facebook bado wanaona jina "Bin laden" kama (u)gaidi!

    ..
  11. JamiiForums Tanzania Hii tabia ya Wanamichezo kumsifia Rais wa nchi kwenye kila jambo tuiitaje?

    Leo Mashabiki wa Vilabu vya Simba na Yanga wamehojiwa na Wanahabari (Media) na Kilichonishangaza hasa GENTAMYCINE ni kusikia Mashabiki hao wakitumia dakika Tano Kumsifia Rais Samia huku wakitumia Sekunde 30 tu Kuziongelea na Kuzisifia Simba na Yanga. Hivi ni nani Aliyewaroga sasa baadhi ya...
  12. JamiiForums Tanzania Pale unapokuwa unapiga Stori na Mpenzi 'Y', ghafla ulimi unakusaliti kisha Mpenzi 'Y' unamuita kwa jina la Mchepuko mwingine

    Habari wana JamiiForums, Poleni na majukumu ya hapa na pale, kuna ile changamoto huwa inatokea, upo zako na mpenzi wako mnapiga story za hapa na pale, lakini Kwa bahati mbaya, ghafla tu! Baadala ya kumuita jina lake Mpenzi ambaye upo naye wakati huo, lakini unajikuta unamuita kwa la jina...
  13. JamiiForums Tanzania Rais wangu, usikubali uwanja wa soka Arusha uitwe jina lako. Mpe mwanakwenda Edward Lowassa, utaheshimika milele!

    Michoro na mkataba wa ujenzi wa uwanja mpya wa soka Arusha uko tayari na umesainiwa; na tayari wakandarasi wako site! Kelele nyingi na majigambo ya machawa ni kuhusu jina la uwanja wakati bado hata Lori Moja la mchanga halijamwagwa pale tayari wametoka na jina la uwanja wenyewe! . Samia...
  14. JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano Aubin Kramo hajui kuwa jina lake limeondolewa kwenye wachezaji wa Simba

    Pamoja na mapenzi kwa timu yangu, ila mara kwa mara sijasita kuja na malalamiko dhidi ya uongozi wa Simba na moja ya maeneo yanayokera wengi yanahusiana na treatment ya wachezaji wake kuanzia wale walio bora hadi wale ambao wanaonekana mchango wao umepungua mno na wanaigharimu timu. Imefika...
  15. JamiiForums Tanzania Kama ni kweli basi ushindi wao hauna maslahi zaidi ya kupata jina tu!

    Ramadhani Brothers washindi wa AGT wamekatwa zaidi ya asilimia 70 kwenye pesa walizoshinda kwenye mashindano ya AGT. Ukipiga hesabu za haraka ni kwamba hawa jamaa wamebakiwa na hela ndogo sana baada ya makato mbalimbali waliyokatwa kwenye zawadi yao. ✍️Mjanja M1
  16. JamiiForums Tanzania Mzazi mwenzangu anadai atabadili cheti cha mtoto cha kuzaliwa atoe jina langu kwa kuwa ananichukia

    Habarini za usiku wapendwa Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza nahitaji msaada wa Mawazo chanya iko hivi kuna mwanamke nilipata naye mtoto lakini kwa bahati mbaya sana tukaja kutengana na sasa kila mtu anaishi kivyake yeye yupo na mtoto. Kuna wakati mzazi mwenzangu anapata hasira za...
  17. JamiiForums Tanzania Fahamu Jinsi ya Kuchagua Jina la Biashara

    Kuchagua jina la biashara ni mchakato muhimu sana katika kuanzisha biashara yoyote. Jina la biashara lina uwezo wa kuwa nembo inayojulikana na kuitambulisha biashara yako kwa wateja na jamii kwa ujumla. Ni sehemu ya kwanza ambayo wateja wako wataiona na inaweza kuathiri jinsi wanavyoona biashara...
  18. JamiiForums Tanzania Jina gani la mchezaji huwa linakuvutia pale linapotamkwa?

    Kuna majina ya wachezaji huwa yanavutia hasa pale yanapotamkwa. Yapo mengi yanayonivutia miongoni mwao ni haya, Juan Roman Riquelme Kevin Prince Boateng George Magere Masatu Jina gani huwa linakuvutia?
  19. JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Uwanja Mpya wa Mpira Utakojengwa Arusha Utaitwa Samia Suluhu Hassan Stadium

    My Take Naunga mkono hoja ila prefix ya Dr iondolewe ndio jina litapendeza zaidi. Pili Mtu apewe maua yake mapema kabla hajafa sio mtu amefariki kama Lowassa ndio mnaanza kujisemesha ooh sijui alijenga nini tutunze historia nk. Kazi iendelee 👇👇 --- Uwanja huo unaosubiriwa kwa hamu kujengwa...
  20. JamiiForums Tanzania Wananchi wa Nigeria wapinga Uwanja wa Ndege kupewa jina la Rais Bola Tinubu

    NIGERIA: Wananchi kutoka katika jimbo la Niger wamepinga uamuzi wa Serikali kubadili jina la Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Minna na kuuita jina la Rais Bola Tinubu kwa maelezo ya kutambua mchango wa kiongozi huyo katika maendeleo ya jimbo hilo. Pia, Msemaji wa Serikali ya Jimbo hilo, Hajia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…