LIKUD JF-Expert Member Dec 26, 2012 15,121 27,128 Mar 31, 2024 #1 Halafu bado kuna watu watakuja kusema wamepigwa. Document yenyewe ni hii niliyo iambatanisha hapa Attachments Screenshot_20240331-090930.png 371.8 KB · Views: 2
Beberu JF-Expert Member Jan 26, 2017 3,946 7,949 Mar 31, 2024 #2 Hiv inakuwaje watu kama hawa hawashtakiwi, mana ni rahis tu kuwakamata
Kiboko ya Jiwe JF-Expert Member Apr 7, 2020 12,716 36,189 Mar 31, 2024 #3 Ukitaka kuwa tajiri Tanzania fanya biashara ya utapeli. Wajinga ni wengi sana. Wajinga wengine wana degree kabisa
Ukitaka kuwa tajiri Tanzania fanya biashara ya utapeli. Wajinga ni wengi sana. Wajinga wengine wana degree kabisa
LIKUD JF-Expert Member Dec 26, 2012 15,121 27,128 Mar 31, 2024 Thread starter #5 cocastic said: Kuna watu watapigwa hapa, Lol Click to expand... Watanzania vilaza sana yani
mrangi JF-Expert Member Feb 19, 2014 80,908 106,197 Mar 31, 2024 #6 LIKUD said: Watanzania vilaza sana yani Click to expand... Sana Ova