jina

Jina (Zina) is an Afroasiatic language of Cameroon. The Muxule variety may be a distinct language.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nashauri Tanzania ibadirishe jina lake

    Tanzania kabla ya muungano ilikua inaitwa Tanganyika na Zanzibar, lakini ni utaratibu wa kawaida nchi kubarisha majina yake kwa sababu mbali mbali moja ya sababu hizo hua ni zifuatazo 1.Ideological change ama kubadirika kwa mtazamo wa kisiasa Tanzania tuliwahi kujitambulisha kama nchi ya...
  2. JamiiForums Tanzania Watu wa nyimbo za dini mkuje mnisaidie jina la huu wimbo

    Nimetafuta kwa youtube shida zinakuja nyingi. Nimejalibu kuuimba hapo mnaweza nisaidia kupitia hiyo sauti hapo chini. Wimbo Bwana ndie mchungaji wangu mimi Sitapungukiwa na kitu katika maisha yangu Wandameza mbele yangu bwana machoni pa watesi wangu umenipaka mafuta bwana.
  3. JamiiForums Tanzania Watu wa zamani (malegendary) mkuje mnisaidie jina la huu wimbo

  4. JamiiForums Tanzania Watu wa Blues mkuje mnisaide natafuta jina la huu wimbo wa kizungu

    Wimbo kaimba mdada ila nakumbuka tu kwenye kiitikio, Anaimba aie ieeee aeee eha Apolo apolo aeee eha Aie ieeee aeee eha apolo apolo aeee eha Sijui kaimba nani
  5. T

    JamiiForums Tanzania Jina lako hapa Jukwaani lina maana gani?

    Wakuu habari zenu?... Moja kwa moja kwenye mada. Hebu tufunguke hapa majina yetu yakificho hapa jukwaani Yana maana gani. Mimi jina langu TANO BORA nikwasababu siku najisajili Jamiiforum ndo siku ambayo chama cha mapinduzi,CCM kilitoa majina ya mchujo kupata TANO Bora ya mgombea uraisi mwaka...
  6. JamiiForums Tanzania Nachukizwa na wanaomuita mwanangu Zuchu

    Habari za wakati huu waungwana.. Mitaani kumekuwa na tabia ya kuwaita watoto wa kike jina la ZUCHU, hasa kwa wale ambao majina yao yanaanzia na herufi 'Zu' Mwanangu anaitwa Zulfa, sasa wanamuita ZUCHU kitu ambacho mimi kama mzazi sipendi kwani sio jina nililompa mwanangu. Wakati mwingine...
  7. JamiiForums Tanzania Asili ya jina tandboy

    Katika kipindi cha kabla ya enzi ya ukoloni, na hata ukoloni ulipoingia nchini Tanganyika, aina hiyo ya magari ndio yalikuwa vyombo vikuu vya usafiri nchini. Magari hayo hayakuwa ya kuwasha kwa funguo (ignition key/starter). Yaani yalikuwa yanawashwa kwa kuzungusha "hendeli" kwa mikono....😀...
  8. JamiiForums Tanzania Vichwa vya treni ya SGR kupewa jina la "Samia Express", Watanzania tumekwama wapi?

    Salaam Wakuu, Naishukuru Serikali kwa kupitia Shirika la reli Tanzania TRC kwa kuendelea na jitihada za kuboresha miundombinu yetu la reli. Ila kinachonisitikisha, ni uamuzi wa kupachika jina la Mwenyekiti wa chama cha Siasa(CCM) bla kuwashirikisha Wananchi Wanaotoa kodi zao. Hii ni haki...
  9. JamiiForums Tanzania Anayejua jina la huu wimbo naombeni wakuu,

    Msaada wenu unahitajika hapa
  10. W

    JamiiForums Tanzania Ni jina gani maarufu zaidi kwa makabila ya wasukuma na wahaya ?

    Muhimu naomba jina liwe fupi, lisizidi herufi nane (8) kuna simulizi naiandika nimekwama kwenye majina ya koo maarufu za wasukuma na wahaya, nimekutana na majina mengi sana, natafuta jina za koo maarufu hata watu wa mbali wakisikia tu wanajua asili yake. Mfano mtu akiikia Laizer anajua ni...
  11. JamiiForums Tanzania Ni Jina gani lilikushtua ulipolisikia kwa mara ya kwanza

    Eti, ni jina gani ulisikia kwa mara ya kwanza na hukutegemea kuwa ni la mtu? Tiririka...
  12. N

    JamiiForums Tanzania FCC, TCRA, Pitieni jina la Crown Fm linashabihiyana na Clouds Fm!

    Jana (Julai 01' 2024) ndio siku rasmi Crown Fm wameanza kutangaza baada ya kumaliza majaribio, na leo ( Julai 02' 2024) wamerusha kipindi cha michezo. Kwa mtazamo wangu naona jina la Crown Fm na Clouds Fm kama hautakuwa makini katika usikilizaji unaweza sikIa kama wametamka Clouds Fm, na hiyo...
  13. JamiiForums Tanzania Vijana wenzangu acheni kiwewe cha simu, iPhone 15 Pro Max ni simu ya kawaida sana, Kampuni ya Apple inauzia jina

    Vijana wenzangu acheni kiwewe cha simu, iPhone 15 Pro Max ni simu ya kawaida sana, kampuni ya Apple inauzia jina Punguzeni tamaa za dunia tumieni fedha mnazopata kufanya maendeleo iPhone 15 Pro Max Original ni zaidi ya 4,000,000/= kwenye Apple Store. Je hamuoni fedha hizo mnaweza kufanyia...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa Nini Tanzania Inapaswa Kubadilisha Jina Lake Kuwa la Kiswahili?

    Jina la nchi lina umuhimu mkubwa wa kitamaduni, kihistoria, na kitaifa. Linahudumia kama ishara ya utambulisho, umoja, na fahari kwa wananchi wake. Mfano wa orodha ya baadhi ya nchi na lugha zao:- zinazohusiana: Ufaransa - Kifaransa Ujerumani - Kijerumani Hispania - Kihispania Italia -...
  15. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuongeza jina la biashara kwenye TIN number

    Habari wakuu, Nimeenda Voda shop kusajili LIPA number yenye jina la biashara nikiwa na leseni yenye jina la biashara na TIN yangu ya biashara. Nikaelezwa ili nisajili LIPA namba ya namna hiyo inatakiwa nipate TIN number yenye jina la Biashara. Je kuna mwenye uzoefu aliyewahi kuongezea jina la...
  16. JamiiForums Tanzania Natafuta jina la huu wimbo sauti kama ya ben poul hivi

    Sauti kama ya ben pol hivi. Ni wimbo wa mapenzi nakumbuka kiitikio Beby so faaa beby so sofaa
  17. JamiiForums Tanzania Jina la mdaiwa limekosewa; Je linaweza kubadilishwa na kuendelea na kesi pale ilipoishia?

    Kwanza nitangulize shukrani. Mwaka 2021 mama yangu alipata ajali sasa akafungua kesi ya madai ikaenda ikafikia mpaka hatua ya utekelezaji kabla ya kufanya utekelezaji ikagundulika kuwa jina la mdaiwa limekosewa kwahiyo ikabidi utekelezaji usimamishwe. Nilikuwa naomba kujuzwa je inawezekana...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Msaada: Bata hawawezi kusimama wanatambaa, wana miezi 2

    Ni tatizo gani na matibau yake ni yapi. Tafadhali mwenye fununu
  19. L

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alimkataa Mangungu mwaka 2020 na akakata jina lake licha ya kushinda kura za maoni, sisi Simba ndio tukamuona anafaa na sasa tunalia

    Kwa wasiofahamu, Murtaza Mangungu ni mmatumbi wa Kilwa Kaskazini, kwao ni Kipatimu kule kulikoanza vita ya Maji Maji, Mangungu amekuwa mbunge wa jimbo la Kilwa Kaskazini, baadae akaangushwa na mbunge wa Cuf ambaye ni mpwa wa marehemu Kingunge Ngombale Mwiru aitwae Vedasto Ngombale. Baadae...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Wahubiri wakristo acheni kudhalilisha jina la Yesu

    Biblia inasema muonye mtu muovu, la sivyo damu yake nitaitaka mikononi mwako. Ninyi wahubiri, manabii na mitume wa kisasa mnajua kweli nguvu ya jina la Yesu? Hi li siyo jina la kutamka hovyohovyo. Unakemea sijui pepo sijui laana nusu saa nzima unataja jina la Yesu. Kwa jina la Yesu, kwa jina la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…