jina

Jina (Zina) is an Afroasiatic language of Cameroon. The Muxule variety may be a distinct language.

View More On Wikipedia.org
  1. Optimistic_

    JamiiForums Tanzania Usajili wa jina la biashara na kampuni (BRELA)

    USAJILI WA JINA LA BIASHARA NA KAMPUNI (BRELA) Rasimisha jina la biashara yako kisheria, upate faida nyingi. Mimi ni mbobezi wa kufanya application Brela kwa ajili ya usajili wa jina la biashara na makampuni. Nakuandalia kila kitu kuanzia nyaraka zote zinazohitajika. Nipigie 0765991551
  2. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Vurugu kubwa ndani ya chama zimetokea Ikungi, baadhi ya Watu wanataja jina la Tundu Lissu

    Taharuki ya Mvutano wa CHADEMA huko Ikungi Mkoani Singida kwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Tundu Lissu. Chazo cha mzozo kinaelezwa kuwa ni mgongano ya kimaslahi miongoni mwa wananchama. Chanzo cha Habari: habarimpyatv
  3. H

    JamiiForums Tanzania Je inaruhusiwa kisheria kurebrand product na kuiuza tena

    Habari zenu waungwana, Kama kichwa cha habari kinavojieleza, je ni ruhusa kisheria kufanya repackaging and rebranding ya product na kuuza upya. Mfano, ninunue sukari za kilo 50 alafu nizifungashe kwenye uzito wa gram 100 kisha niiuze kama brand nyingine. Napenda kujua sheria za biashara...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi; kwanini jina la Mkoa linamaana tofauti kiutawala na kwenye taasisi wana maana nyingine wakati serikali yetu ni moja?

    Habari wadau! Jana nilitumia siku yangu ya kumbukizi kuongea na watoto wadogo! Moja ya maswali waliyotaka ufafanuzi ni hili! Serikali ina mipaka ya kiutawala ngazi za mikoa na wilaya! Kwa mfano; Mkoa wa Dar es salam ni moja ya sehemu ya utawala wa kiserikali nactaasisi zake! Sasa kwanini...
  5. USSR

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi ya Nyerere: Familia ya Mwalimu Nyerere yawataka wasanii kuacha kutumia jina la Baba wa Taifa kama ubin wao

    Familia ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere imewataka wasanii wanaoigiza sauti za viongozi akiwemo Baba wa Taifa kuanza kutumia majina yao halisi badala ya kujitambulisha kwa majina ya viongozi wanaoigiza sauti zao na kuleta mkanganyiko. Msemaji wa familia hiyo ambaye ni mtoto wa sita wa...
  6. milele amina

    JamiiForums Tanzania Kuuliza sio ujinga: Kuweka picha kwenye tangazo bila jina la mhusika, inamaanisha Nini au unatuma ujumbe gani

    JF Ninaomba kueleweshwa
  7. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kupatiwa jina la wimbo huu wa tangazo la salama condoms. Ilikuwa ni miaka ya 2004-2005..kuna mwanaume na mwanamke wapo ndani sebuleni wanajiand

    Naomba kupatiwa jina la wimbo huu wa tangazo la salama condoms. Ilikuwa ni miaka ya 2004-2005..kuna mwanaume na mwanamke wapo ndani sebuleni wanajiandaa kufanya mapenzi, mwanaume akakumbuka kitu, akapandaa juu ya sturi akafungua dari na kuchukua kitabu kama kava hivi halaf akatoa condom...
  8. Pdidy

    JamiiForums Tanzania FBI Wamekutana na mshtuko mali zote za PDidy zimeandikwa jina ka mama yake

    Miaka ile ya 90 wakati Bad Boys wakiwa juu, juu karibu na mawingu kabisa, kulikuwa na mwamba wa kuitwa Mase. Huyu mchizi alikuwa mkali sana kwenye kuimba, ni moto mkubwa sana. Alikuwa mshikaji sana na Diddy, yaani naye alikuwa ndani ya Bad Boys, aliona kila aina ya uchafu, aliona kila aina ya...
  9. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kuchua maumivu kwa jina la Salimia. Je, bado ipo na inapatikana kwenye maduka ya dawa ya Tanzania?

    Wakuu habari za asubuhi kwetu sote, kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba kufahamu juu ya uwepo wa dawa ya Kuchua Maumivu ya SALIMIA kama bado ipo na upatikanaji wake kwenye Maduka ya Dawa ya Tanzania hasa pharmacy kubwa na ndogo za mikoani. Ni hivyo tu shukrani Wadiz
  10. TheMaster

    JamiiForums Tanzania Waziri Masauni linda jina la Rais na ulinde jina lako pia

    Mheshimiwa Hamad Yusuph Masauni, waziri wa mambo ya ndani, ujumbe wangu kwako leo ni mfupi tu. Huwenda usikuchukue hata dakika 5 kuusoma kwasababu siku hizi hata simu zangu hushiki tena. Huwenda umesahau Wacha nikukumbushe, wizara unayoongoza ndiyo wizara iliyo na mawaziri wengi zaidi katika...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Anayekumbuka jina la Movie hii ya Simba

    Wana JF, msaada Kwa anayeifahamu jina la movie Fulani ya zamani sana, watu wanaliwa na kuvamiwa na simba nyumbani kwao. Siikumbuki jina coz niliona miaka ya nyuma sana. Kwa anayeikumbuka au aliyewahi kuiona msaada WA jina la movie tafadhali
  12. ngara23

    JamiiForums Tanzania Azam hawezi kutumia jina lingine katika boxing hadi atumie "vitasa" ambayo ni ID ya mwamaluka

    Bondia wa zamani ameshinda kesi dhidi ya Azam media kutumia utambulisho wake wa neno "vitasa" na kudai fidia ndefu Azam wakaamuliwa kutukutumia ID ya vitasa hadi kumlipa fidia zake, ambazo ni haki yake kimsingi. Azam Sasa wameususia mchezo ati kwakuwa wamefikishwa mahakamani na Sasa wanaotafuta...
  13. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Vyama vya siasa vinapaswa kuwa na msimamo kwa kurudi kuhamasisha tume huru kwani raisi hajatoa tume huru bali jina

    ."
  14. U

    JamiiForums Tanzania Kiongozi Mkuu wa Hezbollah Sayyed Hassan Nasrallah kutoa hotuba nzito mbele ya waandishi wa habari duniani kesho alhamisi Septemba 19

    19:30 TODAY THURSDAY SEPTEMBER 19,2024 LATEST UPDATES FROM THE SPEECH OF HEZBOLLAH CHIEF NASRALLAH: Israel strikes southern Lebanon as Hezbollah leader condemns fatal device attacks Israel has launched air strikes on southern Lebanon as Hezbollah leader Hassan Nasrallah condemns this week’s...
  15. O

    JamiiForums Tanzania Rita: Bora cheti kiandikwe baba mzazi hajulikani, kuliko jina lisilo asili

    Kama una mtoto na hauna uhakika na baba yake halisi au kwa sababu zako hutaki ubini wake utumike kwa mwanao, huna sababu ya kumwandika baba bandia katika cheti cha kuzaliwa. Kwa mujibi wa RITA kuandika jina la baba asiye wa asili ya mtoto katika cheti cha kuzaliwa ni kosa kisheria. Badala yake...
  16. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Asili ya jina la msaidizi wa dereva kuitwa "TANDIBOI" 😃😃😃

    Katika kipindi cha kabla ya enzi ya ukoloni, na hata ukoloni ulipoingia nchini Tanganyika, aina hiyo ya magari ndio yalikuwa vyombo vikuu vya usafiri nchini. Magari hayo hayakuwa ya kuwasha kwa funguo (ignition key/starter). Yaani yalikuwa yanawashwa kwa kuzungusha "hendeli" kwa mikono.😀...
  17. Yoda

    JamiiForums Tanzania Hili jina la "Mwamba" limekaa kimagumashi sana, ni sifa za kimchongo na kipuuzi

    Mimi siku zote nimekuwa nikifahamu "mwamba" ni mtu jasiri, mwenye kuweza kupambana katika hali ngumu sana na mambo ya kutisha au kugofya, sasa huwa nashangaa hata watu midebwedo kabisa wanaitwa au wanaitana mwamba. Yani yule mtu ambaye hata akisikia mbwa koko anabweka ghafla anaweza kuanguka...
  18. I

    JamiiForums Tanzania Jina la Taifa Stars libadilishwe badala yake liwe Tanzania Stars

    Hili jina la Taifa Stars halina maana yo yote wala halitambulishi nchi ya Tanzania kwa sababu limetoholewa kutoka neno la kiingereza "National". Kila nchi ina timu ya Taifa, kwa hiyo kutofautisha timu ya nchi moja na nyingine inapewa jina ambalo linatambulisha Taifa husika au nembo ya nchi...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Jina la huu mmea kwa watu wa kanda ya ziwa

  20. greater than

    JamiiForums Tanzania Taja a.k.a ya Movie Utajiwe Jina halisia

    Movies/Sinema/Series nyingi pendwa na zenye kutamba unakuta zimegewa a.k.a ambazo hufanya watu wasijue jina halisia... Leo nataka watu mtaje a.k.a /majina ya utani ya hizo sinema wengine watakusaidia kutaja jina halisia.... Mimi naanza MATHIAS KISIMA CHA MAMBA- NO RETREAT NO SURRENDER 2...
Back
Top Bottom