jina

Jina (Zina) is an Afroasiatic language of Cameroon. The Muxule variety may be a distinct language.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Unaenda kupiga kura uchaguzi Serikali za mtaa bila hata kuonyesha uthibitisho kama kweli wewe ndiye mhusika wa jina hilo

    Nilifika asubuhi kituo nilichojiandikisha kupiga kura nikakuta orodha ya majina yamebandikwa nje kwenye kuta nikatafuta jina langu nikaliona Baada ya hapo nikaingia kupiga kura msimamizi wa uchaguzi akaangalia jina langu kwenye orodha ya daftari lake akalitiki bila hata kupata uthibitisho kama...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Geita: Utata majina ya wapiga kura, mkurugenzi atoa ufafanuzi

    Mpiga kura Mtaa wa Mwatulole katika kituo cha kupigia kura Mwatulole Center ambaye awali alilalamika kutoona jina lake, hatimaye amekiri mbele ya msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Geita Mjini, Yefred Mnyenzi kuwa jina lake limeonekana na ametimiza haki yake.
  3. Prince_Nurudin_Tz

    JamiiForums Tanzania Yanga sc ndio timu ya kwanza kufungwa toka kampuni ya tigo kubadilisha jina

    Kampuni ya Mawasiliano ya Tigo Tanzania imebadilishwa jina na sasa itajulikana kama YAS kuanzia siku ya jumanne Mabadiliko haya yametangazwa siku ya jumanne jijini Dar es Salaam katika hafla iliyohudhuriwa na watu mbalimbali na kuongozwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari...
  4. USSR

    JamiiForums Tanzania Leo ndio nimejua jina halisi la Aunt Ezekiel

    Jina la kinyakyusa hili USSR
  5. Inside10

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa tiGO wabadili jina, sasa kuitwa YAS

    Kampuni ya Mawasiliano ya Tigo Tanzania imebadilishwa jina na sasa itajulikana kama YAS kuanzia leo. Mabadiliko haya yametangazwa mchana huu jijini Dar es Salaam katika hafla iliyohudhuriwa na watu mbalimbali na kuongozwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa...
  6. B M F ICONIC

    JamiiForums Tanzania MJADALA: Maneno, jina huamua malengo au ndoto zako

    Wale watu wa spiritulity na imani nawaita mje na mifano yenu kuhusiana na hii mada " maneno/jina lina nguvu ili ufikie au usifikie malengo yako". uwa mna siri gani hamuisemi? Kumekua na hii ishu ya watu kumwambia mtu eti " kwa izo ndoto ulizo nazo na unavyo jiita hutazifanikisha badili...
  7. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Wameshaanza kutengeza products kwa jina la baltazar

    min -me kunywa madude haya usipoteze penzi la Nyamwi255 🤣🤣
  8. kyagata

    JamiiForums Tanzania Kwanini hii ndege ya serikali imeitwa Musoma na sio jina la mji mwingine wa hapa Tanzania?

    Katika pitapita zangu mitandaoni nimekutana na hii ndege ya serikali imeandikwa musoma. So maybe help me to understand kwa nini iitwe musoma na sio Iringa,kasulu,sumbawanga,ilala au mji mwingine wowote? Asante
  9. Magical power

    JamiiForums Tanzania Mchoro unaonyesha simulizi ya Kusikitisha ya Jamaa mmoja aliyekuwa anafahamika kwa Jina La John Jones

    Mchoro unaonyesha simulizi ya Kusikitisha ya Jamaa mmoja aliyekuwa anafahamika kwa Jina La John Jones, ambaye alikwama kichwa chini miguu Juu ndani ya pango kwa saa 28 kabla ya kufariki dunia. Alikwama mahali ambapo hakuweza kutoka alikuwa hawezi kwenda mbele wala kurudi nyuma. Baada ya...
  10. Nyaka-One

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa mwenye kujua jina la band na wimbo unaozungumzia Nyerere kutembea kwa miguu kutoka Butiama hadi Mwanza kuunga mkono Azimio la Arusha

    Wadau naomba kwa mwenye kujua anifahamishe jina la band na wimbo wenye maneno haya: ..... Azimio la Arusha lilipotangazwa Tanzania, Nyerere alitembea kutoka Butiama mpaka Mwanza. Juhudi za Mwalimu na watanzania wote, haikupita miaka mingi tukatoka utumwani.... Ni wimbo wa miaka mingi...
  11. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Nimemkiliza huyu mwanasheria lakni ukweli sijaona shida yoyote ktk kuandika Mali zangu Kwa jina la mama.

    Wakuu Kila mmoja na mawazo msimamo na akili yake!. Sijaona point yoyote ya muhimu au kama kunasababu nyingine iongezwe, haijalishi mama atanidhulumu atakuwa amedhulumu Cha mwanae. Haijaliishi ndugu zangu wakagawana na Mali zangu Haina shida na ni jambo jema tu. Shida ni mwanamke achukue Mali...
  12. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye muasisi wa Jina Tanzania

    Anaitwa Mohamed Iqbal Dar ni mtanzania anayeishi wingereza Mzee Mohamed Said shikamoo tunaomba mchango wako kwa hili
  13. JMF

    JamiiForums Tanzania Jina la mtoto limekosewa kwenye matokeo ya darasa la saba, msaada wa nini chakufanya

    Salaam wanajukwaa la sheria. Nina changamoto hiyo hapo juu, nimeileta jukwaa hili kupata ushauri wa nifuate utaratibu gani mwanangu aanze kidato cha kwanza na jina lake lilolopo kwenye cheti chake cha kuzaliwa. Limekosewa herufi mbili hivyo naona kabisa ataingia nalo form one na litakuja...
  14. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Suluhisho la kulipa fidia ya mabilion nje ya nchi ni kubadili jina la nchi

    Bado tunaendelea kupigwa kwenye kesi za fidia na makampuni ya kigeni.. Tunalipa mabilioni ya shilingi na mabilion ya dola kwa makosa ya watu wachache tuu.. Mostly kutoka chama chawala Hakuna hata kesi moja tuliwahi kushinda.. Mikataba tuliyosaini kimagumashi inatutesa sasa.. Waliosaini kwa niaba...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Tarime: Mke aliyepotea miaka 3 akutwa ameandikishwa kupiga kura

    Mwenge Chacha Ghati, mkazi wa wilayani Tarime akielezea kushangazwa kwake baada ya kukuta jina la mke wake kwenye daftari la wapiga kura wakati amepotea miaka mitatu iliyopita Pia soma: LGE2024 - Waziri Mchengerwa: Jumla ya wapiga kura milioni 31, 282,331 wamejiandikisha kupiga kura Uchaguzi...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Khalil Muhammad Amhaz kamanda mwandamizi Hezbollah kitengo cha drone maarufu kwa jina la unit 127 auawa kwa shambulizi la ndege za IDF

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Mungu ibariki nyumba ya Yakobo October 23, 2024 IDF: Prominent member of Hezbollah drone unit killed in airstrike By Emanuel Fabian Follow Today, 9:12 am A prominent member of Hezbollah’s drone unit was killed in an Israeli...
  17. Cecil J

    JamiiForums Tanzania Msaada unahitajika: Jina la website ya movies na series inayotumia Mb chache.

    Habari wanaJukwaa! Nawapa salamu za Jumapili hii ya tarehe 20/10/2024 ambayo nayo inaanza kuyoyoma taratibu. Shida iliyonileta ni kupata website nzuri ambayo ina series na movies za Hollywood ambayo ina packages zote hizo kwa Mb chache, nimejaribu kuingia fzmovies ila spidi yake hairidhishi...
  18. chiembe

    JamiiForums Tanzania Hivi Madaraka Nyerere ameona kitu cha kulindwa ni jina la Mwalimu Nyerere, na si falsafa zake?

    Nimeshangaa sana kusikia huyu jamaa akilia wivu kwa watu wanaomuenzi JK Nyerere kwa namna zao. Madaraka, mbona sikusikii ukihitaji falsafa zake zilindwe? Kuna taasisi ya Mwalimu Nyerere, Butiku ameigeuza kikao cha ukoo cha wazanaki, anakula hela za Urusi, China, Skandnavia. Mwalimu alikuwa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM pigeni marufuku pikipiki zilizosambazwa kwa Jina 'Samia 2025' kutumika kama 'bodaboda'

    Viongozi wa CCM pigeni marufuku pikipiki za 'Samia 2025' kutumika kama 'bodaboda' Ila kama hawa viongozi wa huku kwenye mashina mmewapa ziwe za kwao basi tujue. Hali ikiendelea hivi 2025 zitafika zimechoka. Ni hayo tu
  20. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Madaraka Nyerere na ndugu zake wameshindwa kulitumia vizuri jina la baba yao kujipatia riziki, wapewe mbinu

    Bob Marley tangu afariki imepita miaka zaidi ya 40 lakini familia yake bado wanakula bata kupitia loyarities na JIna la baba yao. Michael Jackson family, Tupac family, Kennedy family pia ni miongoni mwa wanufaika wa jina. Tukija hapa nchini, Karume, Kikwete, Mwinyi. Hawa familia zao vizazi na...
Back
Top Bottom