jimbo

Jimbo is a diminutive form of the given name James. It is also a Japanese surname, and it means state in Swahili. It may refer to:

View More On Wikipedia.org
  1. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Jimbo la Kawe Wazi!. Ubunge wa Gwajiboy Kwenye Hati Hati!. Umehang Kwenye Utando wa Buibui!. Ama Achanje Asalimike, Akikomaa, Amwagwa!.

    Wanabodi, Declaration of interest. Kwa vile mimi ni kada wa Chama Cha Mapinduzi, CCM na niliomba fomu kupitia CCM kuomba kupitishwa kugombea ubunge wa jimbo la Kawe, kwa tiketi ya CCM, ila watu wanaitwa Wajumbe wakafanya yao. Tulikuwa wagombea 176, tunatafuta nafasi moja!, hivyo ilikuwa ni...
  2. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa Sinodi ya 16 ya Maaskofu Katoliki Duniani: Homilia ya Askofu Mkuu Ruwaichi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam

    Askofu Mkuu Jude Thadeus Ruwaichi, wa JImbo Kuu la Dar es Salaam, akitoa homilia Usuli Tarehe 17 Oktoba 2021, Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar Es Salaam Mhasham Jude Thaddeus Ruwaichi aliongoza Ibada ya Misa takatifu kwa ajili ya Uzinduzi wa Sinodi ya 16 ya Maaskofu Katoliki. Ibada hiyo...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Nape, unatoa wapi muda wakusherekea chama kurudi kwa wenye chama huku Jimbo lako wananchi wanashindia maembe?

    Ukiangalia akaunti ya Nape tweeter utadhani amemaliza matatizo ya wapiga kura. Tangu apite bila kupingwa ajawahi kuposti Jambo lolote kuhusu wananchi wa Jimbo lake na majimbo yanayomzuka. Yupo busy anatafuta uteuzi akalipize kisasi. Lindi na Mtwara Kuna gesi lakini haina mchango Kwa sababu...
  4. S

    JamiiForums Tanzania 2025 jimbo la Tandahimba litakuwa la kwanza kubebwa na wapinzani

    Salaam. Kila anayefuatilia masuala yahusuyo siasa atakubaliana nami kwamba katika mkoa wa Mtwara, jimbo la Tandahimba ndilo linaongoza kwa siasa za upinzani. Katika uchaguzi mkuu uliopita CCM walilikomboa jimbo hili toka mikononi mwa CUF ambapo mbunge aliyeshinda uchaguzi mkuu wa 2015...
  5. K

    JamiiForums Tanzania TANROADS na barabara za jimbo la Kibamba

    TANROADS, kuweni na huruma aisee. Hivi huku kibamba mnajua mnamiliki barabara mbovu sana? Je kazi mliyopangiwa ya kuassess barabara na kupeleka mapendekezo kwa Mh Rais mliifanya? Ni lini mtaacha hii kwangua kwangua na kumwagilia maji barabara badala ya kutafuta suluhisho la kudumu? Kwa kweli...
  6. Influenza

    JamiiForums Tanzania CCM yaibwaga ACT Wazalendo Jimbo la Ushetu, Emmanuel Cherehani (CCM) aibuka kidedea

    Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Ushetu, Linno Mwageni amemtangaza Mgombea wa CCM, Emmanuel Peter Cherehani kuwa Mbunge wa Jimbo hilo baada ya kupata kura 103,357 Mpinzani wake, Mgombea wa ACT Wazalendo, Mabula Nkwabi Julius amepata kura 3,588 kwenye uchaguzi mdogo uliofanyika jana Oktoba 9, 2021
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Shinikizo laongezeka dhidi ya serikali ya Ethiopia kuhusu jimbo la Tigray

    Marekani yasema itaiwekea vikwazo Ethiopia baada ya serikali ya nchi hiyo kuwafukuza maafisa saba wa mashirika ya kutoa misaada ya Umoja wa Mataifa ambao wanadaiwa kujihusisha na maswala ya ndani ya nchi hiyo. Wizara ya mambo ya nje ya Ethiopia imewapa maafisa saba wa Umoja wa Mataifa muda...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ujerumani: Mbunge mwenye asili ya Senegal ameshinda jimbo la uchaguzi

    Karamba Diaby alishinda jimbo la Halle (Saale) kwenye uchaguzi mkuu nchini Ujerumani tarehe 26 Septemba. Dk Karamba alizaliwa Senegal akafika Ujerumani akiwa mwanafunzi mnamo mwaka 1986. Baada ya kuhitimu shahada ya uzamivu ya kemia alianza kujihusisha na siasa akajiunga na Chama cha...
  9. Superbug

    JamiiForums Tanzania Misa takatifu ya kusimikwa kwa askofu wa Jimbo katoliki Morogoro

    Muda huu inaendelea Misa takatifu ya kusimikwa kwa askofu wa Jimbo katoliki Morogoro hapa st Peter's Morogoro. Tamko la kipapa linasomwa kwa kilatini halafu litarudiwa kwa kiswahili. Sasa linasomwa kwa kiswahili.
  10. Idugunde

    JamiiForums Tanzania James Lembeli kurudi Bungeni kwa kishindo kupitia Jimbo la Ushetu

    James Lembeli achukuwa fomu kuomba kuteuliwa na @ccm_tanzania kugombea Ubunge Jimbo la Ushetu Mkoani Shinyanga kufuatia jimbo hilo kuwa wazi baada ya kufariki aliyekuwa mbunge wa Jimbo hilo marehemu Kwandikwa https://t.co/AYKdweCptq
  11. K

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Kibamba hivi TANROADS na TARURA zipo?

    Hivi hili jimbo liko Dar au nje ya Dar?! Make si kwa ubovu wa barabara. Jimbo zima lami ni changamoto. Kuna barabara zimetengwa kwa ajili ya TANROADS na zina connections nzuri sana ila kuzijenga sasa imekuwa changamoto. Mfano barabara inayotokea mbezi mwisho kuunganisha mpaka bunju kupitia...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai shikilia hapo hapo, Mbunge asiyetaka chanjo aachie Jimbo

    Yaani safari hii nitanenepa sana sina wasi wasi na Serikali ya Rais Samia Chaguo la Mungu! Katika zama ambazo nchi inaendeshwa kisomi ni zama hizi za serikali ya awamu ya 6, Nchi inaendeshwa kisomi sana, watu kama ndugai wameamua waachane na siasa za kiki warudi kwenye taaluma zao ila...
  13. G Sam

    JamiiForums Tanzania Ni suala la muda tu jimbo la Kawe kutangazwa kuwa lipo wazi

    Kwa wataalam wa siasa tunasema kuwa Mbunge wa Kawe bwana Gwajima ameshavuka red line na kinachofuata ni kutangazwa tu kuwa Jimbo lipo wazi. Huenda hata asimalize huu mwezi akiwa mbunge kwani amepitiliza kuwa na sifa kuu za usaliti. Yani amepata mpaka sifa za ziada. Gwajima kwa sasa ni ama...
  14. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania NEC: Jimbo la Konde lipo wazi

    Dar es Salaam. Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imelitangaza Jimbo la Konde huko Pemba kuwa wazi baada ya mbunge mteule, Sheha Mpemba Faki kutangaza kujiuzulu kabla ya kuapishwa na taratibu za kujaza nafasi hiyo zitatangazwa hivi karibuni. Taarifa iliyotolewa leo na Mkurugenzi wa Uchaguzi, Dk...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Sheha Mpemba Faki, Mbunge mteule wa Konde (CCM) ajiuzulu

    Taarifa Mbunge wa CCM amejiuzulu.
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Kiongozi anayeshutumiwa kufanya kampeni ya kujitenga jimbo la Nigeria akamatwa

    Kiongozi wa anayepigania kujitenga kwa kabila la Yoruba Sunday Adeyemo, al maarufu kama Sunday Igboho, amekamatwa katika nchi jirani yaBenin, wiki kadhaa baada ya kutangazwa kuwa anasakwa kwa madai ya kukusanya silaha. Bw Igboho alikamatwa na vikosi vya uslama katika uwanja wa ndege wa mji mkuu...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania CCM: Tunawashukuru wananchi Jimbo la Konde kwa kukiamini chama na kukipatia ushindi wa kishindo

    CHAMA CHA MAPINDUZI TAARIFA KWA UMMA Chama Cha Mapinduzi tunapenda kuwashukuru wananchi wa Jimbo la Konde wilaya ya Micheweni mkoa wa Kaskazini Pemba kwa kuendelea kukiamini chama chetu na kukipatia ushindi wa kishindo katika uchaguzi mdogo wa jimbo la hilo ambapo mgombea wa CCM Ndugu...
  18. S

    JamiiForums Tanzania ACT- Wazalendo, matokeo ya uchaguzi mdogo Jimbo la Konde ni ya kupika

    Hii inaitwa: mtoto akililia wembe, mpe.
  19. S

    JamiiForums Tanzania CCM yaibwaga ACT Wazalendo Jimbo la Konde Pemba

    Ndugu Shekha Mpemba Fakhi kwa tiketi ya CCM ameibuka mshindi katika uchaguzi mdogo wa Ubunge Jimbo la Konde wilaya ya Micheweni mkoa wa Kaskazini Pemba. Ikumbukwe Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka kupitia taarifa kwa umma aliyoitoa hapo jana...
  20. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Polisi wavamia Ofisi za jimbo ACT Mbagala Kuu na kukamata Viongozi na Mawakala

    Ofisi ya Jimbo la Mbagala Kuu ya ACT Wazalendo imevamiwa na Polisi Mida ya jioni jana jumamosi na wakalazimisha kuwakamata watu wote waliopo ambao ni pamoja na viongozi na Mawakala kwa hoja kuwa wameweka mkusanyiko usio halali. Kwa hiyo Sasa RASMI mikusanyiko kote nchini HAIRUHUSIWI? Mkusanyiko...
Back
Top Bottom