Ni matumaini yangu nyote mu bukheri wa afya, namshukuru mwenyezi Mungu mimi ni mzima na naendelea na mapambano kama kawaida. Mimi ni mwanaume kijana mwenye passion ya kusafiri na kuishi USA especially kiutafutaji japo ninandoto za kuinvest hapa nyumbani TZ.
Nimeamua kuliweka hili humu jf...
Kwa mateso wanayoyapata wananchi wa kanda ya ziwa baada ya kifo cha mpendwa wao, ni wazi wananchi wa Geita hawamuelewi Joseph Musukuma anakotaka kuwapeleka.
Hadi sasa wananchi wa Geita vijijini wanatembea kms 120 kutoka katoro kwenda makao makuu ya wilaya ambapo ni Nzera alikohamishia Ofisi...
Zaidi ya wanafunzi 130 wanatumia darasa moja katika shule ya msingi Luhama kata ya Bangwe Halmashauri ya Buchosa wilayani Sengerema mkoa wa Mwanza kutokana na upungufu wa madarasa katika shule hiyo. Shule hiyo ambayo ina wanafunzi 1, 306 ina vyumba vyumba vya madarasa 10 huku mahitaji yakiwa...
1. UTANGULIZI
Taarifa za Kamati ya PAC na LAAC zinawasilishwa bungeni baada ya kufanya uchambuzi wa hoja za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977 na Sheria ya Ukaguzi wa Umma Na. 11 ya Mwaka 2008 inayofafanua...
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Wilaya ya Hai, Riziki G Lesuya ametolea ufafanuzi shutuma hizo zinazomhusu Mbunge wa Jimbo la Hai, Saashisha Mafuwe
Pia soma:
Mbunge wa Jimbo la Hai kwa tiketi ya CCM agoma kuanzisha Kamati ya kusimamia fedha za mfuko wa Jimbo
Kuna kila dalili uchaguzi wa ccm uliofanyika tarehe 1.10.2022 kurudiwa tena.
Hii inatokana na kundi kubwa la wajumbe ambao ni wapiga kura kukutana leo na kuamua maamuzi ya kutokuwa na Imani na uchaguzi huo ambao uligubikwa na wizi was Kura, kuongeza Idadi ya wajumbe hewa Ili kuongeza Idadi ya...
Maelfu ya raia na maafisa walioteuliwa na Urusi wanahamishwa kutoka eneo la kusini mwa Ukraine la Kherson kabla ya mashambulizi ya Ukraine, anasema kiongozi wa eneo hilo aliyewekwa rasmi na Urusi.
Vladimir Saldo alisema raia 50-60,000 wataondoka katika miji minne kwenye ukingo wa magharibi wa...
Mimi ni muumini wa haki .
Ninashauri mlezi wa ccm mkoa wa kilimanjaro kupiga kambi jimbo la Hai huko Kilimanharo kwani uchaguzi mkuu wa ccm uliofanyika huko haukuwa huru wala wenye haki.
Jimbo limegawanyika na wanachama wa ccm wamepoteza uelekeo uliosababishwa na mbunge wa jimbo hilo la kutska...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki Misa Takatifu ya kumuombea Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere inayofanyika Kwenye Kanisa Kuu Katoliki Jimbo la Bukoba Mjini Mkoani Kagera leo tarehe 14 Oktoba, 2022
Misa hii inayoongozwa na Mhashamu Askofu Methodius...
Wewe! Wewe Makinika!
Wanyamwezi wa jimbo la Igalula sio wajinga!wanaziona sarakasi zako!
Tumia akili
Serikali imejitahidi kufikisha umeme vijijini Sasa ni jukumu lako kuhakikisha unasambazwa kwa wapiga kura wako!KUTUMIA mfuko wa jimbo anza kwenye vijiji ambavyo TAYARI umeme ushafika lakini...
Jilala,machiya na Mihambo ni wazee wa kata hiyo,walisikika wakilalamika Sana,Adili akarekodi !
"Unajua hii Bara Bara ya Mabeshi kuja hapa Loya ni ya kimkakati na tuliambiwa msimu HUU wa kiangazi itakarabatiwa kama KAWAIDA lakini Kila mwaka wanaipapasa tu halafu mvua zikianza kunyesha tu...
Agosti 30, wakazi wa mji wa Jackson kwenye jimbo la Mississippi, Marekani ambao hivi karibuni walikumbwa na mafuriko, sasa wanakabiliwa na tatizo lingine la ukosefu wa maji ya bomba.
Kwa mujibu wa gavana wa jimbo hilo Tate Reeves, kutokana na hitilafu za miundombinu ya shughulikia maji, hivi...
Umekumbushwa tu kuwa huu ni mwaka wa tatu tangu uchaguliwe na fedha za mfuko wa jimbo unazila na hujui hatima ya waliokutuma Bungeni.
Ukumbuke 2025 sio mbali na CHADEMA tunakuangalia tu.
MADAI
Yapo madai kuwa Fedha za Mfuko wa Jimbo kwa Jimbo la Hai Kilimanjaro hazionekani Jimboni tangu 2020-2022. Mbunge wa Jimbo la Hai, unaulizwa Fedha Za mfuko wa jimbo kwa Jimbo la Hai zimeweza kusaidia shughuli gani tangu 2020 hadi 2022?
Aidha, inadaiwa kuna kila dalili fedha hizo wanalamba...
Mbunge wa Jimbo la Hai, unaulizwa Fedha Za mfuko wa jimbo kwa Jimbo la Hai zimeweza kusaidia shughuli gani tangu 2020 hadi 2022?
Kuna kila dalili fedha hizo wanalamba asali wachache.
Miaka ya 2015-2020 fedha hizo zilioneka jimboni na Kufanya shughuli muhimu ila kwa sasa mbunge anajengea nyumba...
28 July 2022
Ukerewe, Mwanza
MAHAKAMA KUU KANDA YA MWANZA KTK KESI No. 171 OF 2021, YAWAACHIA HURU WANACHAMA WA CHADEMA
Waliokuwa wagombea udiwani kupitia chama cha CHADEMA washinda rufaa yao na kuachiwa huru. Mzizi wa Hii kesi ilitokea wakati wa kurudisha fomu za udiwani, walipigwa risasi...
Majeshi ya Ukraine yamefanikiwa kufurusha makombora na kuharibu daraja muhimu linalotumiwa na Urusi kupeleka bidhaa muhimu kwenye jimbo waliloteka la Kherson. Lengo la mashambulizi hayo ni kuwanyima huduma wapiganaji wa urusi walioko katika jimbo hilo.
Ukraine steps up attacks on...
Moto wa mwituni kwenye jimbo la California, Marekani umechoma karibu kilomita za mraba 57 ndani ya siku tatu, hadi kufikia tarehe 24 asubuhi, moto huo bado haujaweza kudhibitiwa.
Mwaka 2025 siyo mbali kama Mwenyezi Mungu anakuweka hai,ni mwaka wa uchaguzi mkuu wa kumpata Rais, wabunge na madiwani na kuna majimbo ya uchaguzi ambayo hakika makada watatoana jasho kweli kweli.
Jimbo la Mwanga ni moja ya majimbo nane ya uchaguzi mkoani Kilimanjaro ambalo kwa sasa mbunge wake...
Zimesambaa picha za Darasa chakavu lililojengwa kwa udongo katika mitandao mbalimbali. Baadhi ya wanaharakati wakidai kuwa darasa hilo ni la Shule ya msingi Litingi, kijiji cha Litingi, kata ya Nyangao, jimbo la Mtama.
Ukweli upoje?
Picha iliyosambaa mitandaoni ikidai kuwa ni darasa la Shule...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.