Habarini wanaJF,
Mimi ni mfanyakazi katika jiji hili la Arusha,ninaishi maeneo ya sakina silent inn huku kazi nafanyia Sanawari.
Hapo kabla hata ya mamlaka zinazohusika (LATRA)kupandisha nauli,watoa huduma hii ya usafirishaji yaani daladala ndani ya mkoa huu walikua tayari wamekwisha pandisha...