jijini arusha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya TAMISEMI yakagua na kusema imeridhishwa na miradi ya TACTIC jijini Arusha

    Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya TAMISEMI, Florent Kyombo ameipongeza Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mkoa na Serikali za Mitaa (OWM- TAMISEMI), kwa usimamizi mzuri wa utekelezaji wa miradi ya TACTIC katika Jiji la Arusha, miradi ambayo imeweka kiwango bora cha utekelezaji wa miradi ya...
  2. B

    Rais John Mahama afungua rasmi mwaka wa Mahakama ya Afrika jijini Arusha leo 02 March 2026

    02 March 2026 TAARIFA: Rais Mahama afungua rasmi mwaka wa Mahakama ya Afrika jijini Arusha leo 02 March 2026 Rais John Dramani Mahama aliondoka Accra Ghana Jumapili, tarehe 1 Machi 2026, na kuelekea Arusha, Tanzania. Rais John Mahama ni Mgeni Maalum wa Heshima katika sherehe kuu ya kufungua...
  3. Roving Journalist

    Maandalizi ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi za EAC yaanza jijini Arusha

    Mkutano Maalumu wa 59 wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) umeanza katika Makao Makuu ya Jumuiya jijini Arusha, ikiwa ni maandalizi ya Mkutano wa 25 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya hiyo unaotarajiwa kufanyika tarehe 7 Machi 2026 jijini Arusha. Mkutano huo Maalumu wa...
  4. Mafyangula

    Rais Samia awasili Jijini Arusha kwa ziara ya kikazi ya siku 2

    Rais Dkt. Samia amewasili Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Kilimanjaro (KIA) tarehe 21 Novemba, 2025 tayari kuelekea Arusha kwa ajili ya kutunuku kamisheni kwa Maafisa wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kesho tarehe 22 Novemba, 2025 katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli...
  5. Nipe Maji

    GE2025 Kamati ya makatibu wakuu yaridhishwa na ujenzi wa uwanja mpya wa mpira jijini Arusha

    Kamati ya Makatibu Wakuu inayoongozwa na Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Dkt. Jim Yonazi, imekagua na kuridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa uwanja mpya wa kisasa wa mpira wa miguu katika eneo la Olmoti, jijini Arusha. Uwanja huo unatarajiwa kuwa miongoni mwa viwanja...
  6. Ngongo

    Makonda na usumbufu Jijini Arusha

    Heshima sana wanajamvi, Tangu Makonda ateuliwe Mkuu wa Mkoa wa Arusha amekuwa ni mtu wa harakati nyingi sana ambazo kwa kiasi kikubwa kawaweka watu busy pasipo sababu za maana. Makonda alianza na harakati za vipimo (Matibabu) katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid.Zoezi hili lilileta faraja hasa...
  7. D

    Kwa kijana anayeanza kujipata jijini Arusha, ni mazingira gani rafiki au mitaa gani rafiki anaweza anzia maisha ikiwezekana kujenga kabisa?

    Kama mada inavojieleza, kijana anaeanza kujipata jijini Arusha, ni mitaa gani rafiki kuanzia maisha na kujenga kabisa Urafiki ninaoongelea namaanisha upatikanaji wa viwanja, huduma za kijamii, na unafuu kidogo wa maisha
  8. BEST 001

    TUNAFANYA EXCHANGE AU TOP UP ZA,SIMU PIA TUNATENGEZA VIOO VYA SIMU AINA ZOTE JIJINI ARUSHA

    Habari, Wakuu humu jamii forum Simu yako ya zamani au unayoitumia unaweza kubadilisha na kuchukua simu nyingine, kutoka dukani kwetu kwa kuongezea pesa kiasi ili upate simu nyingine iwe mpya au used. Simu tulizo nazo ni iPhone,Samsung,pixel,Oppo na nyinginezo TUNAPATIKANA ARUSHA, STENDI...
  9. Ngongo

    Rais wa Nchi ya Watu wa Zanzibar yupo kikazi Jijini Arusha

    Rais wa Nchi ya Zanzibar yuko Jijini Arusha kikazi maalumu Mkutano Mkuu wa CRDB. Kama ulivyo utaratibu wa kuwapokea Viongozi wakuu wa nchi mbali mbali,leo mji wa Arusha umetembelewa na Rais wa Nchi ya Zanzibar kwa bashasha kubwa. Adhaa pekee tunayokumbana na nayo ni foleni kubwa ambazo...
  10. Blasio Kachuchu

    Makonda aipongeza Benki ya CRDB msaada wa Pikipiki kwa Jeshi la Polisi kuimarisha Usalama kwa Watalii Jijini Arusha

    Arusha 16 Mei 2024 - Serikali imeipongeza Benki ya CRDB kwa kutoa msaada wa pikipiki kwa Jeshi la Polisi mkoani Arusha ili kuimarisha doria zitakazoongeza usalama kwa watalii wanaokuja nchini. Pongezi hizo zimetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda alipopokea pikipiki hizo zenye thamani...
  11. Mbabaishaji

    Ujenzi wa uwanja wa mpira Arusha uhamishiwe Mwanza

    UBUNTU BOTHO Sababu kumi (10) ambazo zaipasa serikali kuhamisha ujenzi wa uwanja wa mpira jijini Arusha kwenda jiji Mwanza . 1)Fidia za eneo au viwanja, gharama za eneo au kiwanja Arusha ni kubwa sana ukilinganisha na Mwanza. Huenda ndio sababu mmoja wapo wa uwanja huo kuwa ghari. 2)Uchache...
  12. M

    Pallangyo wa CHADEMA ndio awe Mgombea jijini Arusha 2025

    Wananchi wa Arusha bado tunakumbuka miaka ya mateso wakati wa ubunge wa binamu yake Mzee Mbowe. Hatutaki kurudia yale mateso ambayo ni pamoja na fujo za mara kwa mara hadi mkoa ukakosa wageni waliokuwa wanatumia mkoa wa Arusha kama kitivo cha mikutano. Kwa hiyo, tunawaombeni chonde chonde...
  13. Ngongo

    Maduka ya kubadilisha fedha Jijini Arusha yachunguzwe

    Baada ya mwendazake kwenda zake na mambo yake ya ovyo ovyo, maduka ya kubadilisha fedha za kigeni (Forex Bureau) yalirejea lakini katika namna ambayo si ya kibiashara. Ukienda kununua USD kila siku utaambiwa hakuna na siku wakiamua kukuuzia wanakuuzia USD 100 only. Haya maduka yapo kwaajili ya...
  14. Stephano Mgendanyi

    Waziri Dkt. Ndumbaro Akagua Eneo la Ujenzi wa Uwanja wa Mpira wa Miguu Jijini Arusha

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Damas Ndumbaro ametembelea na kukagua eneo la Olmoth ambalo litajengwa uwanja mpya wa mpira wa miguu wenye uwezo wa kuchukua watazamaji Elfu thelathini utakaotumika katika michuano ya AFCON 2027. Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amekagua eneo hilo Desemba 15...
  15. mtetezi wa MAGU

    Ally Dangote auawa jijini Arusha

    Katika kipindi cha Mwezi mzima Kijana Ally Dangote amekuwa akitafutwa kwa kutekeleza mauaji ya watu mbalimbali katika maeneo ya Longdong, Ungalimited na Sinoni Kijana huyu alikuwa anatafutwa na Jeshi la Polisi, majira ya Leo mchana wananchi wenye hasira kali wamemtia nguvuni na kumpokonya uhai...
  16. Desierto

    Barabara za mitaani jijini Arusha ni afadhali za mkoa wa Singida

    Jiji la Arusha linahitaji bajeti kubwa sana ili kujenga barabara hasa za mitaani Hii ni kutokana na aina ya ardhi ili ujenge barabara ni lazima uhamishe ule udongo wa eneo husika na kuleta udongo ule mgumu, ikifika kiangazi vumbi ikifika masika ndo balaa zaidi. Sina uzoefu na gharama za...
  17. Roving Journalist

    Rais Samia ashiriki mkutano Mkuu wa Mwaka na Jukwaa la Majaji Wakuu wa Kusini na Mashariki mwa Afrika, leo Oktoba 23, 2023 jijini Arusha

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano Mkuu wa Mwaka na Jukwaa la Majaji Wakuu wa Kusini na Mashariki mwa Afrika leo tarehe 23 Oktoba, 2023 jijini Arusha. https://www.youtube.com/live/gOdQrZvdJlU?si=fUnyYXmTXBTiovDh Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  18. benzemah

    Kituo Kikubwa Cha Mikutano "MOUNT KILIMANJARO CONVENTION CENTER." Kujengwa Jijini Arusha

    Ameandika msemaji mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa katika mtandao wa Instagram "Tunakwenda kujenga kituo kikubwa cha mikutano Jijini Arusha kitakachoitwa MOUNT KILIMANJARO CONVENTION CENTER." "Kitakuwa na sifa zifuatazo; 1. Ukumbi wenye uwezo wa kuchukua watu 3,000 2. Eneo la maonesho lenye...
  19. Melubo Letema

    Gabriel Gerald Geay Anogesha mbio za Uwanjani za Majaribio (Trials, Track and Fields Events) Jijini Arusha

    Mwanariadha wa kimataifa, Gabriel Gerald Geay anogesha mashindano ya majaribio ya Uwanjani leo 8/7/2023 kwa kutoa zawadi ya pesa kwa baadhi ya wanariadha washindi na wenye muda mzuri kwa baadhi ya michezo hiyo. Mashindano hayo yamefanyika kwa mara ya pili mfululizo na kushirikisha wanariadha...
  20. Librarian 105

    Ni kweli Arusha ni Geneva ya Afrika?

    Uchache na ubovu wa miundombinu ya barabara ni changamoto sana hapa Arusha japo tumejaaliwa milima ya moramu na korongo la mchanga huko mirongo. Ukija kwenye masoko ya jiji hayako organised na masoko mengine yaliyo chini ya halmashauri. Ukiondoa utalii na madini, economic activities zingine...
Back
Top Bottom