jiji la mwanza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    JamiiForums Tanzania SoC03 Tahadhari jiji la Mwanza

    Miongoni mwa Mikoa ambayo nimewahi kutembelea nchini Tanzania ni Mkoa wa Mwanza 'rock city' ambao umebarikiwa vitu vingi vizuri; Ziwa Victoria lenye samaki pendwa na watamu aina ya Sato na Sangara lakini mbali na Ziwa Victoria, Mkoa wa Mwanza pia umebarikiwa miamba na mawe makubwa (rocks) yenye...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mimi ni Mtanzania na Tanzania ni moja, haigawanyiki wala haiuziki

    Rais Samia akizungumza na Wakazi wa Jiji la Mwanza baada ya kuwasili kwa Ziara ya Kikazi leo Juni 12, 2023. Akitoa Salamu kwa Wananchi wa Jiji la Mwanza waliojitokeza kwenye uwanja wa Ndege kumpokea, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania ni Nchi...
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Napinga Uteuzi wa Kagurumujuli kuwa Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza, hana Sifa

    Ifike Mahali viongozi wa Tanzania na hasa Mamlaka ya Uteuzi ijaribu kuwaheshimu Wananchi wake , hata kama ni Wajinga, duni ama Mbumbumbu. Uteuzi wa Kagurumujuli, kada wa CCM aliyesababisha mauaji ya kijinga ya Akwilina alipokuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni, akishirikiana na Lazaro...
  4. WAZO2010

    JamiiForums Tanzania Jiji la Mwanza lifanyiwe mabadikliko

    Naomba nimuombe Rais ikimpendeza afanye mabadiliko makubwa kwa Jiji la Mwanza. Mwanza ni jiji lakini miundombinu yake haina hadhi ya JIJI lolote duniani. Barabara za mitaa ni tope, makorongo, mtandao wa Lami za mitaa Mwanza ina zidiwa na Manispaa nyingi Tz. Main Roads zipo chini ya Kiwango cha...
Back
Top Bottom