jeshini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. LINGWAMBA

    Bunge la Ukraine laidhinisha mpango wa kusajiliwa wafungwa jeshini

    Bunge la Ukraine limepasisha muswada wa sheria inayoruhusu kukusanywa na kusajiliwa jeshini wafungwa wa nchi hiyo. Tovuti ya habari ya Russia Today imeripoti habari hiyo na kuongeza kuwa, rasimu ya mwisho ya muswada huo ilipigiwa kura kwa wingi bungeni jana Jumatano baada ya kufanyiwa...
  2. Kaka yake shetani

    Kama jeshini kuna MP(Military Police) kwanini polisi kusiwe (Police Bureau and Investigation)

    Wote tunaona idara ya ulinzi wa jeshi la taifa likiweka vitengo ambavyo vinaweza kuwalinda na kuwaongoza wenyewe mfano kama polisi za kijeshi kwa wanajeshi. Sasa upande wa polisi hapa kwetu kumekuwa tofauti ambapo polisi hakuna wa kuwajibishwa hata kama polisi mwenzake labda upande wa rushwa...
  3. Richard

    Msibani imesemwa Hayati Lowassa alikuwemo JWTZ hadi Ukapteni na akashiriki vita vya Uganda. 2015 mzee Makamba alisema Lowassa hakwenda jeshini

    https://www.youtube.com/watch?v=SH9ks-0_wQ8 Mimi ni mmoja wa watu tulobahatika kuhudhuria msiba wa marehemu Edward Ngoyai Lowassa na nikawa na shauku kubwa ya kusikia historia ya mwanasiasa huyu. Bila shaka protokali ya msiba haikukosa kuwa na kasehemu ka kueleza wasifu wa mzee huyu ili...
  4. Kaka yake shetani

    Je, jeshini na vyuoni ndio sehemu kubwa za kuleta teknolojia mpya kwa nchi?

    Jeshi na vyuo vikuu vinaweza kuchangia katika kuleta na kukuza teknolojia mpya kwa nchi, lakini ni muhimu kutambua kwamba sehemu zingine za jamii na sekta zinaweza pia kuchangia kwa njia kubwa. Hapa kuna jinsi ambavyo jeshi na vyuo vikuu vinaweza kuwa sehemu muhimu ya kuleta teknolojia mpya...
  5. ephen_

    Niliyoyashuhudia Jeshini

    Habari! Nilipomaliza form 6 zikatoka nafasi za kwenda jeshi wanaita "kwa mujibu" basi nikaangaza macho yangu kwenye orodha nikaona "Ephen - Rukwa" Basi nikafurahi sana, furaha haikua kwasababu naenda jeshi hapana. Hata mpango nayo nilikua sina ila tu niliona ni bahati jina langu kua kwenye...
  6. M

    Uzembe wa Polisi: Madeleka agundulika mtoro jeshini baada ya miaka saba

  7. Rashidi Jololo

    Wahuni Jeshini Wadhibitiwe haraka, Wanajeshi wafundishwe nidhamu ya kuishi na raia

    Kitendo cha serikali ya CCM kufumbia macho WAHUNI Jeshini waliojichukulia sheria mkononi na kupiga, kujeruhi na kuua raia wasio na hatia HAKIKUBALIKI asilani. Tunafahamu ni kwa muda mrefu sasa majeshi yetu yote (Jeshi la wananchi, Polisi,Magereze n.k) yamekuwa yakitumika na serikali hii ya CCM...
  8. MK254

    Mafundi ujenzi kutoka Asia wanyang'anywa passport na kulazimshwa kuingia jeshini Urusi

    Urusi imeishiwa wanajeshi hadi imeanza matendo ya kihuni, wageni wanaofanya kazi za ujenzi wanasakwa na kunyang'anywa paspoti na kulazimishwa mafunzo ya kijeshi kisha wanatiwa frontline kujaribu kuzuia mtiti wa counteroffensive ya Ukraine. PHOTO: SPUTNIK Since the end of June, Russia has...
  9. Kichuguu

    Cheo cha Brigadier Jeshini Kirudishwe

    Tanzania ilibadilisha cheo cha Brigadier kutoka Senior officer na kuwa General Officer na hivyo kuweka pengo kubwa sana kati ya senior officers na general officers. Kwa mfano unaposikia Major General basi kunakuwa na officer anayeitwa Major, Ukisikia Lt General ina maana kuna officer anayeitwa...
  10. R-K-O

    Kwanini imezoeleka wenye vyeo ama wanaofanya kazi baadhi ya taasisi wanaheshimiwa zaidi kwenye jamii kuzidi wafanya biashara wenye pesa zaidi

    Watu wakiwa na vyeo ama wanafanya kazi taasisii flani unakuta wanaheshimiwa kuzidi wafanya biashara, wakulima, wafugaji, n.k. wenye pesa zaidi, kwanini ? Top shelf- Wakuu wa wilaya, wakuu wa mikoa, wakurugenzi wa taasisi, n.k. Mahakamani - mahakimu ha majaji Jeshini - Wengi wakivaa gwanda tu...
  11. Justine Marack

    Sharti Mbunge awe amepitia JKT au jeshini na amewahi kutumikia taifa

    Kama ilivyo kwa ajira nyingine ambazo kigezo mojawapo ni ukakamavu na uzalendo (JKT). Tunahitaji MBUNGE sifa ya kugombea iwe JKT na awe na historia ya KUTUMIKIA TAIFA kwa uzalendo kwa muda usiooungua miaka mitano.
  12. sky soldier

    Jeshini kumejaa wazanaki, kwanini kuna upotoshaji kwamba ni wakurya waliojaa ?

    Huwa nashangaa sana napoona watu wanasema kwamba jeshini waliojaa ni wakurya, hii siofact ni maneno ya vijiweni tu, Watu wengi wanakoseaga kudhani kwamba wazanaki ni kabila moja na wakurya sababu wote wana mfanano wa lugha, hili ni kosa! hapa nchini tunaongea wote kiswahili lakini ni makabila...
  13. MK254

    Amri za usaili jeshini kutumwa kwa email, Warusi wanalo

    Email/barua pepe inatumwa na moja kwa moja unatakiwa ujiunge jeshini, na hakuna kutoroka nchi, baada ya kuishiwa wanajeshi, Putin ameamua kutafuta miili zaidi ya vijana kuipeleka ikazikwe Ukraine. Operesheni mwaka wa pili, pale Bakhmut pameshindikana balaa licha "mizoga" ya Warusi kujazana pale...
  14. Superbug

    Hivi wale WATU wa upinde wa mvua almaarufu rainbow wanaweza kupigana vita jeshini?

    Wanajamiiforum wenzangu naomba kuuliza hivi ile jamii maarufu sikuhizi kwenye mitandao LGBT wanaotumia rangi za upinde wa mvua wanaweza kupigana vita jeshini? Mfano ule mtiti wa idiamini tukiwa na watu kama hawa warfront tunauhakika wa kuibuka washindi.?
  15. MK254

    Kituo cha usaili jeshini chatiwa kiberiti Urusi

    Camera za CCTV zilimnasa jamaa akiruka ukuta na kwenda kufanya yake.... A military building in Bratsk, Russia, was set on fire overnight. The building was reported to go up in flames at about 2am local time. No injuries were reported but two employees were inside. The fire was reportedly...
  16. J

    Rais Samia: Kijana aliyeongoza Uokoaji atafutiwe nafasi Jeshi la uokozi

    Ni agizo kutoka kwa Rais Samia, Amiri Jeshi Mkuu, ameagiza Waziri wa Mambo ya Ndani Masauni kuanza mchakato wa ajira ya huyo kijana mara moja. Kijana huyu ndiyo alizamia na kwenda kufungua mlango wa ndege na hatimaye abiria 24 wa Precision Air iliyozama kuokolewa. Source: TBC ====== Waziri...
  17. 5

    Putini aruhusu wafungwa wa zamani kujumishwa jeshini

    Wauaji waliopatikana na hatia na wauzaji dawa za kulevya ambao wametoka gerezani hivi majuzi nchini Urusi wanakabiliwa na kuandikishwa kupigana nchini Ukraine chini ya mabadiliko ya sheria. Rais Vladimir Putin aliifanyia marekebisho sheria ya kuwaita askari wa akiba na kuwajumuisha wanaume...
  18. MK254

    Finland yafunga mpaka wake kwa Warusi wanaokimbia usaili jeshini

    Safi sana Finland na mataifa mengine wamepiga pini, hakuna kuingia, warudi wapambane na Putin humo humo Urusi, walikua wakichekelea waliposkia ameanza vita vya kijinga dhidi ya kataifa ka-Ukraine. Wachague kwenda kufa au jela miaka kumi.............................. Kuna taarifa vijana...
  19. Roving Journalist

    Mambosasa awaasa Askari Polisi wanaohudumia madawati ya Usalama Kwanza kuleta tija jeshini

    Mkuu wa Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es Salaam, Kamishna Mwandamizi wa Polisi, Lazaro Mambosasa amewataka Askari Polisi wanaohudumia madawati ya Usalama Kwanza kutumia mafunzo waliyoyapata kuleta tija ndani ya Jeshi la Polisi. Alisema hayo alipokutana na askari hao katika mwendelezo wa...
  20. MK254

    Picha: Msafara wa Warusi wanaotoroka usaili jeshini

    Urusi sasa hivi hakukaliki kwa wanaume.... Watu wameamua kwenda kuanza maisha upya kwingine, wanamuachia nchi wazimu na vita vyake.... ISTANBUL (AP) — Military-aged men fled Russia in droves Friday, filling planes and causing traffic jams at border crossings to avoid being rounded up to...
Back
Top Bottom