Mgombea Mwenza wa CHADEMA anapita njiani, anakutana na wananchi, wanataka kumsalimia. Polisi walio kwenye msafara wanatoa mabomu na kuanza kuwapiga wananchi.
Lakini wakati hayo yanafanyika mgombea wa CCM yeye akipita sehemu akakuta wananchi njiani, anaongea nao tena masuala ya kuomba kura...