jeshi

  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi mkoani Katavi imekamata Watuhumiwa 128, wamo wa Dawa za Kulevya, Gongo Lita 223

    Jeshi la Polisi mkoani Katavi imekamata Watuhumiwa 128 kwa makosa mbalimbali wakiwa na vielelezo vya makosa hayo. Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi, Kaster Ngonyani amesema wamenaswa kupitia msako na doria ambazo zinaendelea kila wakati ili kuhakikisha usalama unaendelea kuwepo.
  2. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Israel linaongozwa na watu wasiojitambua

    Hili jeshi la Israel lina tilia shaka kubwa sana kama ni professional army au genge la wahalifu lililo kusanywa tu hovyo hovyo na kuanza kupigana na waarabu hapo mashariki ya kati. Ukitazama namna ambavyo hata vita vyao vya Gaza wanavyo viendesha ni kama wendawazimu walio changanyikiwa sijui...
  3. BAKIIF Islamic

    JamiiForums Tanzania Iran inaripotiwa kupanga kushambulia Israel kwa kutumia ndege zisizo na rubani

    Iran inaripotiwa kupanga kushambulia Israel kwa kutumia ndege zisizo na rubani na makombora makali zaidi na yenye kusafiri kwa kasi na mlipuko mkubwa kuliko kawaida kulenga maeneo ya kimkakati ndani ya Israel. -Mifumo ya vita vya kielektroniki vya Iran inasonga mbele karibu na Ghuba ya Uajemi...
  4. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Yao Kouassi Attohoula anaenda kukohoa cross ile jeshi 'oho' 'oho'

    Moja kati ya best commentators creative sana kwenye mpira ni huyu mwamba Ayubu hinjo! Moja kati ya goli ambalo huwa ninaenjoy sana kutazama 👇👇👇
  5. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa azungumza na Vyombo vya Habari

    Mkutano wa Mawaziri na Vyombo vya Habari Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb), Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa. 🕰️ 7:00 Mchana. 📆 3 Aprili, 2024. 📍 Dodoma, Tanzania.
  6. BAKIIF Islamic

    JamiiForums Tanzania Vita sasa inaanza rasmi: Kiongozi Mkuu wa Iran ameamuru jeshi kuiadhibu Israel

    "Utawala mbovu wa Israel utaadhibiwa kwa mikono ya watu wetu mashujaa," alihitimisha. Kiongozi Muadhamu wa Iran Ayatollah Seyed Ali Khamenei: “Utawala mbovu utaadhibiwa na mikono ya watu wetu mashujaa. Kwa mapenzi ya Mwenyezi Mungu, tutawafanya wajutie uhalifu huu na mengine yanayofanana na...
  7. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kamishna Mkuu wa Jeshi la Polisi Zanzibar: Tulikamata wavuta bangi sio wanaokula mchana

    Kamishna Mkuu wa Jeshi la Polisi Zanzibar, CP Hamad Khamis Hamad Kamishna Mkuu wa Jeshi la polisi Zanzibar, CP Hamad Khamis Hamad amesema hakuna sheria inayowaruhusu Polisi Zanzibar kuwakamata Watu wanaokula hadharani mchana wa Ramadhani na kusema chanzo cha msako uliofanyika ni baada ya video...
  8. mgt software

    JamiiForums Tanzania CAG Kichere, kwanini uwaite wastaafu Mizigo wakati hela yao ndio imesimamisha NHIF kabla kuingia viwavi jeshi kukopeshana?

    Kwako kichele CAG Nimeshangazwa na kusikitishwa na pendekezo la CAG Kichere kuwa wastaafu wanauwekea mzigo mfuko wa Bima ya Afya (NHIF) kwa kuendelea kupokea huduma za mfuko huo huku wakiwa hawachangii. Nimesikitika kwa sababu Kichere na genge lake wanajua tatizo linalousibu mfuko limetokea...
  9. Webabu

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Israel imebidi liondoke kwa mara nyengine kutoka hospitali ya Alshifa baada ya hasara kubwa

    Hospitali ya Alshifa ndiyo iliyokuwa hospitali kubwa na ya rufaa kwa jimbo zima la Gaza ambalo wakati huo pamoja na mzingiro jimbo hilo lilikuwa na hospitali nyingi za kisasa zenye madaktari bingwa. Mnamo mwezi Novemba mwaka jana hospitali hiyo ilikuwa ni uwanja mkubwa wa kivita ambapo jeshi la...
  10. chiembe

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi kuchunguza tukio la Makonda kutishia kumuua Salah

    Polisi wanaingia kazini kuchunguza madai ya Makonda kutishia kumuua Salah.
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania ACT: Tunalitaka Jeshi la Polisi Kuhakikisha linawakamata wote waliohusika na Kifo Cha Katibu wa ACT Jimbo la Chaani

    Tunalitaka Jeshi la Polisi Kuhakikisha, Linawakamata na Kuwafikisha Katika Vyombo Vya Sheria, Wote Waliohusika na Kifo Cha Katibu wa ACT Wazalendo, Jimbo la Chaani, Ndugu ALI BAKARI ALI Pia soma - Kamishna wa Polisi Zanzibar: ACT Wazalendo wanapotosha kuhusu usalama wa Zanzibar, wana malengo...
  12. MK254

    JamiiForums Tanzania Wapalestina wakataa kusimamiwa na jeshi la Waarabu kutoka mataifa tofauti

    Waarabu wamekaa wakawaza kubuni jeshi la pamoja ambalo wanajeshi wake watatokea kwenye mataifa ya kiarabu, hili jeshi litumike kudumisha amani Palestina na kulinda chakula cha misaada ikiwemo ugavi wake..... Magaidi yamehamasisha Wapalestina wakatae hili wazo, hivyo Wapalestina waendelee...
  13. MK254

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa jeshi la Iran wauawa kwenye shambulizi la Israel kule Syria

    Hakuna kupumzika, kote mnapigwa.... Urusi walijifanya shobo na nyie watu, wakapokea kibano, huyu Iran wenu mnayemtegemea, naye hasazwi..... A series of airstrikes targeted sites belonging to Iran's Islamic Revolutionary Guards Corps (IRGC) in the Deir Ezzor region of eastern Syria on Monday...
  14. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Msipoleta Katiba Mpya, mtatuletea Utawala wa Jeshi huko mbele

    Tatizo la viongozi wengi ni kulewa madaraka bila kusoma nyakati. Msije hata siku mmoja kujidanganya kwamba Watanzania watabaki hivi hivi miaka hii ya mitandao. Serikali isikojirudi na kutengeneza idara imara za kidemokrasia itatoa mwanya huko mbele kama zile nchi tunazoona wananchi wameona...
  15. Konseli Mkuu Andrew

    JamiiForums Tanzania Kutokana na ukosefu sugu wa vitendea kazi Jeshi la Zimamoto napendekeza liunganishwe na kiwe kitengo ndani ya jeshi la polisi

    Siku za nyuma kidogo nilipiga simu jeshi la zimamoto na katika maongezi yetu na askari aliyekuwa mapokezi nikamuuliza ni kwanini huwa wanachelewa kufika eneo la tukio panapotokea ajali ya moto na hata wakifika huwa hakuna msaada wanaotoa. Alichonieleza ni kuwa sio kama wanapenda kufanya hivyo...
  16. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama yatembelea maghala ya jeshi na chuo cha taifa cha ulinzi

    KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA YATEMBELEA MAGHALA YA JESHI NA CHUO CHA TAIFA CHA ULINZI NA KUFURAHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI HIYO Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt. Stergomena Tax, machi 16, 2024 ameshiriki katika ziara ya kikazi ya Kamati ya...
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Neno Amirati lililotaka kuwa mbadala wa Amiri Jeshi Mkuu Asili yake wapi?

    Yamebainika mengi sana leo, kwenye kumbukumbu ya kifo cha Rais wa Tanzania awamu ya 5. Tusirudie yaliyosemwa, bali ninataka kujua asili ya Neno Amirati na labda na aliyelipendekeza kwamba ndio litumike badala ya Amiri Jeshi Mkuu.
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mbagala Dar - Mwanafunzi wa Miaka 7 auawa, mwili wake wakutwa msitu wa Jeshi

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linachunguza tukio la kuuwawa kwa mtoto wa miaka 7 mwanafunzi wa shule ya msingi Kibonde maji B, Mbagala na mwili wake kukutwa tarehe 13 Machi, 2024 kwenye msitu wa Jeshi karibu na Shule aliyokuwa anasoma. Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es...
  19. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Stergomena aonya uvamizi wa maeneo ya jeshi

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) awasili Mkoani Mtwara kutatua kero ya mgogoro wa ardhi kati ya Kikosi cha Jeshi 665 Regt na Wananchi wa Mbae Mashariki eneo ambalo limevamiwa na kujengwa makazi. Akizungumza na wananchi waliojitokeza katika...
  20. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tax atembelea chuo cha Ukamanda na Unadhimu wa Jeshi - Arusha

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Stergomena Lawrence Tax ametembelea Chuo cha Ukamanda na Unadhimu wa Jeshi kilichopo eneo la Duluti Mkoani Arusha na kujionea kazi zinazotekelezwa na chuo hicho.
Back
Top Bottom