jeshi

  1. I

    Usaili Jeshi la Magereza na Uhamiaji

    Wakuu habari, naomba kuuliza je usaili wa kujiunga jeshi la magereza na uhamiaji 2024 tayari au kuna ambayo wameshaanza kuitwa?
  2. MK254

    Meli ya Iran yatekwa na magaidi Somalia na kuokolewa na jeshi la India

    Mumechanganyikiwa hadi mnatekana wenyewe kwa wenyewe, mbwa kala mbwa.... Indian Navy warship rescues Iranian vessel hijacked off Somalia coast The Indian Navy's INS Sumitra on Monday safely rescued fishermen hijacked by pirates along the East coast of Somalia and the Gulf of Aden, defence...
  3. B

    Kamanda Jeshi la Wanahewa la Zambia adaiwa kupigwa risasi na mkewe

    Lusaka, Zambia Picha maktaba : Luteni Jenerali Ronnie Shikapwasha mstaafu na mkewe Jane Lusengo Shikapwasha . Bi. Jane Lusengo Shikapwasha umri miaka 73 (kulia ktk picha) ambaye ni mke wa Luteni Jenerali Ronnie Shikapwasha ni mshukiwa mkuu wa madai ya mauaji hayo. Kamanda huyo wa...
  4. C

    Anayejua nafasi special zinazotolewa na jeshi je, Ni kwel zipo na kama zipo zinatolewa kwa mfumo gani?

    Msaada tafadhali kwa anayejua zaidi kuhusu nafasi special zinazotolewa na jeshi je? Ni kweli zipo na kama zipo zinatolewa kwa mfumo gani?
  5. Stephano Mgendanyi

    Wanawake UWT tunajivunia Rais wetu Samia

    TAFAKURI KWA WANAWAKE WOTE JESHI LA DR SAMIA 📌 Dar es salaam, 📝 29/01/2024 Wanawake wa mkoa wa Dar es salaam na Tanzania nzima kwa ujumla tunajivunia Rais wetu Dr Samia Suluhu Hassan, Mwanamama shupavu, jasiri, mstahamivu, mwenye subira, Maono na mwenye khofu ya mungu, anahakikisha haki ya mtu...
  6. MK254

    Jeshi la Ufilipino laua magaidi waliolipua kanisa Katoliki

    Hawa magaidi wenye mlengo wa uislamu wamekua kero kote duniani, sikujua hata Ufilipino na huko wameliamsha, wanaendelea kuuawa. Inashangaza hata kwa nchi ya Ufilipino ambayo asilimia kubwa (93%) ni Wakristo, yaani jamaa wanajitutumua tu. ========= Government troops killed nine members of a...
  7. Powell Gonzalez

    Wanachokifundisha JKT/ Jeshi la kujenga taifa

    Kwa miaka ya hivi karibuni kumekuwa na agizo la serikali la kuwataka wanafunzi waliomaliza elimu ya kidato cha sita kwenda kujiunga na mafunzo ya miezi mitatu ya jeshi la kujenga taifa maarufu kama ''kwa mujibu wa sheria''. Sina uhakika kama mwanzilishi au serikali wakati inaanzisha mafunzo...
  8. mwanamwana

    KWELI Paul Kagame alihudumu kwenye Jeshi la Uganda na kufikia cheo cha Mkuu wa Usalama wa Jeshi

    Baada ya kauli ya CDF wa Tanzania Jenerali Mkunda kusema kuwa 'Baadhi ya Wakimbizi wamepewa teuzi Serikalini katika nafasi zenye maamuzi' imenifikirisha sana nikakumbuka nilishawahi kusikia tetesi kuwa Paul Kagame wakati akiwa mkimbizi nchini Uganda, aliwahi kuhudumu kwenye jeshi la nchi hiyo na...
  9. MALCOM LUMUMBA

    Kama kuvamia Tanzania, adui haitaji kutumia nguvu ya Jeshi bali dini, rushwa na ujinga

    Tanzania ina madhaifu makuu matatu ambayo yameshaonekana mpaka sasa DINI, RUSHWA na UJINGA (NAIVETY). SOMO LA KWANZA: UFALME WA UJERUMANI (UJINGA or NAIVETY) Usidanganyike, huhitaji kutumia nguvu kubwa kuvamia taifa la watu ambao wamehalilisha rushwa kama sehemu ya utamaduni wa maisha yao...
  10. Jidu La Mabambasi

    Jeshi la Uhamiaji limeumbuka kiutendaji, CDF-JWTZ ameeleza wazi waliyoshindwa kueleza

    General JJ Mkunda. Commissioner General Immigration Anna Makakala. Jeshi la Wananchi Tanzania kupitia Mkuu wa Jeshi JWTZ, has again done us proud. Mkuu wa Jeshi, CDF General Jacob John Mkunda amelezea tishio la usalama wa nchi kutoka angle ambayo kuna jeshi lingine lipo kwa ajili hiyo...
  11. chiembe

    PreGE2025 Jeshi la Polisi: Hatujakubali au kukataa maandamano, tutawapa majibu tarehe 23

    Mbombo ngafu.....jidanganye kwamba maandamano yamekubaliwa!!!! ====== Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limesema limekutana na Viongozi wa CHADEMA na kuwahoji kuhusu maandamano waliyopanga kuyafanya January 24,2024 na wamekubaliana kuwa watawapa majibu kimaandishi kesho January...
  12. P

    PreGE2025 Mbowe: Makubaliano na Jeshi la Polisi yamefikiwa kuwa maandamano yataendelea kama yalivyopangwa

    Ameandika Mbowe katika ukurasa wake wa mtandao wa X; "Team yetu ya Chama ikiongozwa na Naibu Katibu Mkuu, Bara Mhe Benson Kigaila imekuwa na kikao na Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum, Dar Es Salaam ACP Jumanne Muliro na timu yake kuhusiana na Maandamano ya Amani yanayopangwa na kuratibiwa na...
  13. comte

    PreGE2025 Kwa maelezo ya Baba Mwita na kuwepo kwa kipindupindu jijini DSM RC yuko sahihi kutumia jeshi JWTZ

    RC, hana mamlaka ya kutoa AMRI kwa JWTZ. Kanuni za jeshi zinamtaka yeye (RC) kufanya maombi kwa fomu maalum kwa Waziri wa Ulinzi ili jeshi lije uraiani. Lakini, kuna masharti, kabla ya kupeleka ombi, ni lazima eneo husika liwe na FUJO (riot) au shughuli hatarishi ambapo jeshi hupelekwa KULINDA...
  14. Msanii

    Jeshi la Wananchi lipewe hadhi yake. Wanasiasa wanaliharibu kwa kuliingiza kwenye mivutano ya kisiasa

    Ni wakati mwongine tunashuhudia kauli za yule RC anayependa kumwaga damu akilielekeza Jeshi kufanya usafi jiji la Dar ambapo kwa mujibu wa kanuni na sheria Jeshi haliwezi kupokea amri kutoka kwa wanasiasa zaidi ya Bunge na Amiri Jeshi Mkuu. Mkuu huyo wa mkoa ambaye hajaridhika na matokeo ya...
  15. FaizaFoxy

    Makamanda wa Jeshi la Israel wamekiri Kushindwa na Hamas: - NYT

    Makamanda wa IDF: Haiwezekani kuwashinda Hamas na kuwaokoa mateka - NYT Tafsiri ya Kiswahili kwa msaada wa Google. Malengo mawili ya kuwaokoa mateka na kuwaangamiza Hamas hayawezekani, Majenerali wanne waandamizi wa IDF waliliambia gazeti la New York Times katika makala iliyochapishwa...
  16. Msanii

    Mvua kubwa Dar usiku huu kuamkia 20 Jan 2024. Je maeneo yenu kuna maafa?

    Wananzengo, usiku saa 9 nimejikuta navamiwa na wanangu chumbani, wanaogopa radi kabambe zinazopiga sambaba na mvua hii kubwa yenye upepo wa kuhamisha milima. Soon kunakucha. Tujuzane endapo kuna maafa maeneo yenu. Lengo ni kupashana taarifa. Tupia picha . Nawalinda wanangu hapa wasipigwe na...
  17. U

    News alerts: Jeshi imara la Israel lamuua Kiongozi mwingine wa ngazi za juu wa kikundi cha kigaidi cha Wapalestina cha slamic Jihad

    Hamjamboni nyote Taarifa kamili ipo hapo chini ya operesheni iliyofanywa na IDF huko Gaza. Kazi nzuri ya kusafisha magaidi inaendelea vizuri FRIDAY, JANUARY 19, 2024 IDF: Deputy head of Palestinian Islamic Jihad’s propaganda unit killed in Gaza airstrike The IDF and Shin Bet security...
  18. B

    PreGE2025 Jeshi msipotambua umuhimu wenu, mtatumika vibaya kwa maslahi ya wanasiasa na wala siyo kwa maslahi ya Taifa

    Hili suala la jeshi kuamriwa kufanya usafi kila vyama vya upinzani vinapotangaza maandamano halikubaliki. Wote tunalia hali ngumu ya maisha ikiwemo wanajeshi pamoja na familia zao na viongozi wa serikali wako kimya, halafu wanapotakiwa kufanya kitu walau hata kwa shinikizo la maandamano...
  19. M

    Naomba kuuliza kwa anayefahamu kwa uhakika: Ni miaka mingapi mwajiriwa mpya wa jeshi la magereza inabidi akae bila kuoa au kuolewa?

    Naomba kufahamu je ni miaka mingapi mwajiriwa mpya wa jeshi la magereza atalazimika kukaa kabla ya kuruhusiwa kuoa au kuolewa?. Kuna ndugu ameuliza swali hilo ili afanye maamuzi ya kujiunga na jeshi hilo. Tafadhali anayejua kwa uhakika naomba anijuze.
  20. Justine Marack

    PreGE2025 Jeshi liheshimiwe na wanasiasa

    Hii tabia ya Wanasiasa kutumia jeshi kwa mambo ya kisiasa inakera. Majeshi yaletu yako kwa ajili ya kuhudumia Taifa na rai wake. Kuna sababu Gani kutumia wapiganaji wa vita katika mambo ya siasa za ndani? Jeshi la polisi kwanini lisitumike kulinda usalama wa raia na Mali zao kama ilivyo...
Back
Top Bottom