Mahakamani ni sehemu ya ajabu sana kwa wale wenzetu tusiofikiria sheria wala maamuzi. Hili swala lilo lalamikiwa na jeshi la polisi kupitia afande muriro linawezaa kuzua mjadala mwengine ambao ukageuka kibao kwao kuhusu utata wa vifo vinavyo tokea kupitia wao au kuzuka jambo la kupotea kwa watu...
Wafanyabiashara wa Soko Kuu la Mwanjelwa Jijini Mbeya wametakiwa kushirikiana na Jeshi la Polisi kuzuia, kudhibiti na kutokomeza uhalifu katika Jiji hilo.
Rai hiyo imetolewa na Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Abdi Issango Mei 07, 2024 wakati...
Vita vilipoanza baada ya shambulio la oktoba 7 na kwa kujua ukubwa wa jeshi la Israel haikutarajiwa kufikisha hata wiki moja kabla Israel kukamilisha malengo yake ambayo na kuwafuta Hamas na kuwapata mateka wote waliokuwa wameshikiliwa na Hamas.
Watu wa Gaza zaidi ya 35,000 mpaka sasa...
Wanaukumbi.
Jenerali Mstaafu wa Jeshi la Israel Yitzhak Brik:
Netanyahu anajua kwamba kuendelea na mchakato huu kutapelekea kuporomoka kwa Taifa la Israel kijeshi, kiuchumi, kisiasa na kijamii.
Hata kama Hamas na Hezbollah wataendelea kupigana kama wanavyofanya leo, bila mshangao wa kijeshi...
Kuna kero kwa wakazi tunaotumia barabara iliyopo mbele ya Chuo cha Jeshi la wananchi wa Tanzania CTC Mapinga, kitongoji cha Kiembeni, Kiharaka Bagamoyo. Ni barabara kubwa kutokea Mingoi kwenda Mbweni (kuvuka daraja la Mpiji). Wanawafyekesha wananchi majani nje la lango lao kuu na pembeni ya uzio...
Wadau hamjamboni nyote?
Meja Jenerali Fatima Ahemed Amekuwa mwanamke wa kwanza kuteuliwa kuwa Mkuu wa vikosi vya Jeshi la Anga Kenya
Taarifa kamili hapo chini
===
Kenya's President William Ruto has appointed the first female commander of the air force.
Maj Gen Fatuma Gaiti Ahmed becomes the...
UTEUZI Jenerali Shlomi Binder ateuliwa kuwa Mkuu wa idara ya ujasusi ya Jeshi la Israel
Wadau hamjamboni nyote?
Uteuzi wa Maofisa wakuu wa Jeshi la Israel
Jeshi la Israel IDF limefanya uteuzi mpya kwa kumteua Jenerali shlomi Binder kuongoza idara ya ujasusi ya Jeshi la nchi hiyo akichukua...
Imekuwa ni jambo la kawaida kila mara zifanyikapo sherehe za kitaifa (Sherehe za Uhuru, Muungano na Mapinduzi ya Zanzibar) kuambatana na maonyesho ya kijeshi. Maonyesho haya yamekua yakionyesha mbinu kadha wa kadha wanazotumia wanajeshi wakiwa vitani. Ni jambo la kuvutia na kusisimua sana...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amesema katika uchaguzi ujao ukiwemo wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu Jeshi la Polisi litalinda Demokrasia ili kuhakikisha unakuwa uchaguzi wa Huru na Haki huku Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini, IGP Camillus Wambura akisema wako tayari...
Taharuki nchi nzima, watu wanapiga simu kuuliza ndugu zao kama wamepona kutokana na kuanguka kwa ukuta wa gereza.
Ila hawa jamaa wa TBC Digital wakazusha taharuki kubwa kuweka picha ya uongo wa tukio.
Angalia hiki kituko hapa.
---
More than 100 inmates have escaped from a prison in Nigeria...
UPDF trains 177 Guinea Bissau soldiers in VIP and special operations tactics
A total of 177 trainees from Guinea-Bissau, who underwent training in the Very Important Persons and Special Operations Tactics Course, passed out today at the Special Mission Training Centre in Butiaba, Bulisa...
UPDF trains 177 Guinea Bissau soldiers in VIP and special operations tactics
A total of 177 trainees from Guinea-Bissau, who underwent training in the Very Important Persons and Special Operations Tactics Course, passed out today at the Special Mission Training Centre in Butiaba, Bulisa...
Burkina Faso suspended the BBC and Voice of America radio stations for their coverage of a report by Human Rights Watch on a mass killing of civilians carried out by the country’s armed forces.
Burkina Faso’s communication spokesperson, Tonssira Myrian Corine Sanou, said late that Thursday that...
kila siku tunaimba kuwa ligi yetu imepanda kwa ubora na inasemekana kuwa ipo nafasi ya tano kwa ubora Africa, nimeshangazwa sana toka jana baada ya mchezo wa jkt Tanzania vs Yanga sc kuahirishwa kutokana na uwanja kujaa maji
JKT Tanzania walindelea kutaka mchezo wao uchezwe palepale kwenye...
Hali ya ulinzi na usalama Mkoa wa Ruvuma ni shwari, na ushwari huu umetokana na ushirikiano mzuri uliopo baina ya Jeshi la Polisi na wananchi kuhakikisha jamii na Mkoa kwa ujumla unaendelea kuwa salama.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linapenda kutoa taarifa ya mafanikio ya doria, misako...
Mkuu wa ujasusi katika jeshi la Isarel Meja jenerali Aharon Haliva amethibitisha na kukiri kufeli katika vita vinavyoendelea hasa katika kuzuia shambulio la Hamas la Oktoba 7, aidha kwa maelezo hayo Mkuu huyo wa ujasusi jeshini IDF amejiuzulu wadhifa wake huo
-------
Israeli military...
Nawaza tu angekuwa kiongozi wa BAVICHA au ACT Wazalendo katoa lugha au vitisho au kauli ya uvunjifu wa amani kama iliotolewa UVCCM kiongozi mkoa wa Kagera.
Polisi wangemkamata kwa kosa la lugha ya uchochezi
Angeteswa na kuzungushwa huku na huko vituo vya polisi
Ungesikia hata msajili wa viama...
Balozi kazi yake ni kutetea raia zake lakni ubalozi wetu wa Tanzania uliopo Uturuki haufanyi kazi hii badala yake umekuwa ukishirikiana na jeshi la polisi la Uturuki kuwaondosha watanzania nchini umo na kuwarudisha Tanzania.
Mchezo upo hivi Mtanzania akikamatwa na polisi kama hana makaratasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.