jeshi

  1. K

    JamiiForums Tanzania Anaye liamini jeshi hili ya kiki na rushwa asimame!

    Inasikitisha sana kuona jeshi la Polisi limebaki kuwa na kiki na uongo uongo pamoja na rushwa. Ni nani leo hii Tanzania anaweza kuweka imani kwa jeshi hili? inasikitisha sana hasa sisi ambao wazazi wetu maisha yao yote walikuwa ni Polisi
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akitunuku Nishani ya Miaka 60 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania

    https://www.youtube.com/watch?v=2hnFr5PaqRs Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akitunuku Nishani ya Miaka 60 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi (JWTZ) Ikulu Dar es Salaam, leo tarehe 29 Agosti, 2024.
  3. G

    JamiiForums Tanzania West Bank - Palestina,: Maabara ya mabomu yakutwa ndani ya msikiti uliojengwa kwenye makazi ya raia.

    Jeshi la Israel limeingia Ukingo wa Magharibi (West Bank) kuanza operesheni kubwa kwenye miji inayoshikiliwa na Kundi la Palestine Islamic Jihad. operesheni hiyo imeweza kubaini msikiti wenye maabara ya mabomu ndani yake. imekuwa ni kawaida kwa vikundi hivi kuwatumia raia kama ngao kwa...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kona ya fyatu mfyatuzi ni CCM policy au jeshi la Polisi

    Katiba ya mafyatu inatoa haki na uhuru kwa kila fyatu kukutana na fyatu yeyote unayemtaka kutembea au kuandamana na unayemtaka, kwenda unakotaka, kusema unalotaka imradi usivunje sheria ya kaya ambayo nayo siyo maagizo au mapenzi ya ndata na wanaowatumia tena vibaya. Unapozuiwa kufanya hayo...
  5. Ritz

    JamiiForums Tanzania Taarifa za Wapalestina zinasema kuwa jeshi la Israel halikumkomboa Farhan Al-Qadi, bali aliachiliwa huru na Hamas na kutekwa kimakosa.

    Wanaukumbi. Kama kawaida ya Jeshi la Israel kwa kujisifia ujingq. ⚡️🇮🇱 NDANI TU: Norit Yohanan - Kan Kiebrania: Taarifa za Wapalestina zinasema kuwa jeshi la Israel halikumkomboa Farhan Al-Qadi, bali aliachiliwa huru na Hamas na kutekwa kimakosa...
  6. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Uingereza lataka kuifufua K. A.R.

    Jeshi la Uingereza limetangaza juzi August,17, kwamba linataka kuwaandikisha katika jeshi vijana Waafrika ,vijana kutoka nchi za Afrika zilizopo katika Jumuia ya Madola; nchi kama Kenya, Tanzania,Msumbiji, South Africa. So far,wametaja kuwaajiri wahandisi na wasanii,no mention of fighters yet ...
  7. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Ni miujiza mtoto mchanga kukaa siku tatu kwenye shimoni la chooni akiwa hai. Hongereni Jeshi la zimamoto na mtoa taarifa

    Tukio lemetokea huko Dodoma yani ushuzi wa binadamu uwezi kuimili ila cha kushangaza mtoto kaweza kuishi siku 3 . Huyu mtoto anaweza kuwa miujiza mtoto. Tukio limetokea huko Dodoma
  8. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Gerald Ibrahim, shujaa aliyetekwa na kupotezwa kwa kosa la kuisaidia jeshi la Polisi

    Gerald Ibrahim maarufu kama SERIKALI ni mkulima na mfanyabiashara pia ni mkazi wa Kijiji cha Mpeta, Wilaya ya Uvinza, Mkoani Kigoma. Mwaka 2018 yalitokea mapigano baina ya wananchi na Jeshi la polisi wakati kuwaondoa wananchi katika ardhi ya Kijiji cha Mwanduhubandu, Mpeta Magharibi kiasi cha...
  9. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Rais Samia wewe ni Amiri Jeshi mkuu, usibadili maamuzi kwasababu ya upepo wa kisiasa. Wamasai watimuliwe Ngorongoro

    Kama uliidhinisha watimuliwe kwasababu ambazo mlijiridhisha kuwa ni njema kwanini unabadili maamuzi? Jeshi halitakiwi kurudi nyuma. Usisikilize kelele za watu. Kuna watu ulaji wao uko katika vinywa vyao hivyo hawana uchungu na taifa hili kama wanavyojinadi. Wakiona tukio watalitumia hilo tukio...
  10. byakunu

    JamiiForums Tanzania Hali ya madungu jeshi barabarani kwa sasa ikoje? Quick review kidogo

    Wadau nimekaa kwenye foleni barabarani nikitafakari ni vipi ile kasi ya ununuaji wa madungu jeshi (DISCOVERY3,4) ilivyokuwa mwaka jana kipindi kama hiki na mwaka huu ikoje? Mimi naona haya madungu watu wengi yamewashinda hayana tena attraction ile kama ya mwaka jana na kabla yake. Ishu...
  11. The Legacy

    JamiiForums Tanzania Hatua ya jeshi la Polisi kumchukulia hatua RPC wa Dodoma kwa kauli yake inaacha maswali mengi sana.

    Habari wana Jamvi, Nimetafakari sana baada ya jesh la polisi kumchukulia hatua RPC Dodoma kufuatia kauli yake dhidi ya sakata la binti aliebakwa.Hakika niwapongeze kwa uharaka na weredi huu. Laki i. Kama kijana nilie kamilika kichwani siachwi bila kujiuliza maswali kadhaa. 1.Mbona hatukusikia...
  12. Zed

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya Jeshi la Polisi Iundwe Upya!

    Maadili Matendo na hata matamko ya Jeshi la Polisi Tanzania hivi karibuni vimeonyesha wazi kuwa Jeshi hili lenatikiwa sio kufanyiwa reforms bali kuundwa upya (kama JW ilivyoundwa upya 1964.) Ukatili, rushwa, Ushirikiano na waalifu, Upendeleo na kujiingiza kwenye siasa, Undugunization, kutokujua...
  13. mwanamichakato

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Uwekezaji katika maeneo ya kambi za Jeshi utazamwe kwa jicho la 3

    Majeshi yetu ya Ulinzi na usalama ni vyombo nyeti mno katika mustakabali wa usalama wa nchi yetu (Kisiasa,Kiuchumi na Kijamii). Maeneo ya kambi za Jeshi ni maeneo adhimu na yanapaswa kutochangamana na maeneo ya kiraia kwa namna moja au nyingine. Miaka michache iliopita tulipata janga la mabomu...
  14. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Kwa Yanayoendelea Jeshi la Polisi, “Tume ya Haki Jinai” Ilikuwa ni Matumizi Mabaya ya Fedha Zetu

    Ni wazi pesa za wananchi zimetumika kwenye Tume hii ya Mh Jaji Mkuu mstaafu Othman Chande hivyo wananchi tungetamani kuona matokeo chanya ya utekelezaji. Wakuu wa Mikoa na Wilaya, Makamanda wa Polisi Mikoa na Wilaya na Taasisi zote zinapaswa kuzingatia maelekezo ya Rais ambaye ni Mkuu wa Nchi...
  15. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Tunalitaka Jeshi la Polisi liueleze umma, ni kwa nini wabakaji na walawiti wanajeshi na Boss wao hawafikishwi mahakamani?

    Inashangaza na kusikitisha jeshi la Polisi kuacha majukumu yake ya msingi na kuhangaika na Chadema wanaofanya kazi zao za kikatiba za kufanya siasa. Tunalitaka jeshi la Polisi hili siyo ombi wala hiyari bali ni lazima, tunataka kuona watuhumiwa wote wa ubakaji na ulawiti waliohusika kwenye...
  16. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbeya: Polisi yawaachia Viongozi na Wanachama wa CHADEMA kwa dhamana, baadhi wakwama

    Jeshi la Polisi mkoani Mbeya limethibitisha kuwashikilia na kuwahoji viongozi na wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wapatao 520 na kuwaachia huru baadhi yao kwa dhamana. Pia limesema ambao hawakuachiwa ni wale walioshindwa kukidhi masharti ya dhamana au kuwa na makosa zaidi...
  17. Heparin

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jeshi la Polisi lapiga marufuku mkutano wa BAVICHA siku ya vijana duniani

    Jeshi la Polisi linapenda kutoa taarifa kwa umma kuhusiana na kuwepo kwa mipango ya viongozi wa chama cha siasa nchini [CHADEMA] kuhamasisha vijana kote nchini kukusanyika Mkoa wa Mbeya Agosti 12, 2024 kwa lengo la kufanya maandamano na mikusanyiko kwa mwamvuli wa maadhimisho ya siku ya vijana...
  18. G

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Israel lavunja rekodi, Raia 13 wamefariki kwa kila wanamgambo 10, Ratio iliyozoeleka 90 kwa 10, Ni wapumbavu wanaoamini kuna Genocide !

    Vita inapotokea ratio ya wastani huwa ni raia 90 watafariki kwa kila mwanajeshi 10 wataouwawa vitani. Israel imeshangaza ulimwengu wa vita kwa kuweza kuwa na ratio ndogo sana Kufikia mwezi uliopita Wizara ya Afya ya Gaza imerekodi vifo elf 25 vilivyohakikishwa, Hamas wanasema kuna jumla ya...
  19. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi kutumia mikutano Chadema kukamata jinai ni kuwatisha wananchi kujiunga na Chadema.

    Jeshi la polisi limesema baadhi ya wanachama wa Chadema wanashikiliwa kwa makosa ya jinai! Watanzania tujiulize hivi wizi, mauaji na ukabaji ni vitendo vinavyofanywa na wanachama wa Chadema tu? Ni wazi mtindo huu umeanzishwa na jeshi hilo kuwatisha wananchi wasijiunge na Chadema kwa kuhofia...
  20. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Je, vyombo vya usalama vinatumika vibaya (njama) kumharibia kisiasa mama ?

    Kuna vitu vinafikirisha na kuzaa maswali yaliyokosa majibu kwa haya yanayoendelea hapa nchini kwa sasa yakihusisha kupotea ovyo kwa watu, kamata kamata ya wapinzani, wanaharakati na waandishi wa habari. Taifa linalazimishwa kwa nguvu kubwa mnoo kuingizwa kwenye taharuki isiyo ya lazima. Vyombo...
Back
Top Bottom