jeshi

  1. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi kutumia mikutano Chadema kukamata jinai ni kuwatisha wananchi kujiunga na Chadema.

    Jeshi la polisi limesema baadhi ya wanachama wa Chadema wanashikiliwa kwa makosa ya jinai! Watanzania tujiulize hivi wizi, mauaji na ukabaji ni vitendo vinavyofanywa na wanachama wa Chadema tu? Ni wazi mtindo huu umeanzishwa na jeshi hilo kuwatisha wananchi wasijiunge na Chadema kwa kuhofia...
  2. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Je, vyombo vya usalama vinatumika vibaya (njama) kumharibia kisiasa mama ?

    Kuna vitu vinafikirisha na kuzaa maswali yaliyokosa majibu kwa haya yanayoendelea hapa nchini kwa sasa yakihusisha kupotea ovyo kwa watu, kamata kamata ya wapinzani, wanaharakati na waandishi wa habari. Taifa linalazimishwa kwa nguvu kubwa mnoo kuingizwa kwenye taharuki isiyo ya lazima. Vyombo...
  3. britanicca

    JamiiForums Tanzania Je, yawezekana tukapata Mabadiliko ndani ya Jeshi la Polisi?

    Nauliza tu maana kuna harufu Fulani kutoka sehemu fulaniii Tukapata kijana akawa IGp Ni mawazo Yangu tu Wait it Upo Pascal Mayalla ? Britanicca
  4. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Je, jeshi la Polisi litatekeleza maelekezo ya Dkt. Nchimbi ya kuwaachia viongozi wa CHADEMA? Haiwezekani akawa yeye pia ana mamlaka ya kusema kamata?

    Kama Karibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi anaweza akaelekeza waliokamatwa waachiwe na Vyombo vikatii, upo uwezekano huyu ndiye aliyeagiza wakamatwe. Tukumbuke Juzi alimtaka Lissu ajiunge CCM then Lissu akamjibu shit, yawezekana kabisa mzee Nchimbi alichukia akaamua kutoa maelekezo kuonyesha...
  5. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Kwa Kauli Hii ya Twaha Mwaipaya, Jeshi la Polisi Limechukua Hatua Stahiki

    Nimenukuu barua ya Polisi ya tarehe 11/ 08/ 2024 Hata mbuyu ulianza kama mchicha. Twaha Mwaipaya anataka GEN Z ya Tanzania iigize yaliyotokea Kenya. Kongole Tanpol kwa hatua mliyochukua.
  6. Matulanya Mputa

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Polisi yazuia Mkutano wa ACT Wazalendo, yasema mikutano ya hadhara na ndani imezuiliwa

    Barua inajieleza, niliwaambia ACT-WAZALENDO msione mpo salama sana sasa kazi imeanza. Lengo msusie uchaguzi wa Serikali za mitaa na polisi ndiyo wameanza kazi rasmi, kilichotokea 2020 sahivi kitakua zaidi na Polisi ndiyo watatumika.
  7. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hongera sana Jeshi letu imara sana la Polisi

    hongera sana Jeshi letu imara sana la polisi. mmefanya kazi nzuri sana iliyotukuka kwa niaba ya wananchi, na waTanzania wote kwa ujumla. teknologia, intelijensia na weledi mliotumia kuyabaini, kuyashughulikia na kuyadhibiti magenge ya kihalifu yanayo panga na kukusudia kuvuruga amani na utulivu...
  8. Webabu

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kipigo chote hicho, jeshi la Marekani lasema halitaweza kuwazuia Houth kwa njia ya vita.laomba itafutwe njia mbadala kupambana nao.

    Tamko la aina hiyo limeshatolewa huko nyuma na makamanda wa jeshi la Marekani na ikaonekana kama ni utani.Kwa mara nyengine limetolewa na kamanda mkuu wa vikosi vya wanamaji wa Marekani eneo la mashariki ya kati,vice admiral George Wikoff. Katika hoja zake kamanda huyo amekumbusha kuwa vikosi...
  9. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Prediction: Afisa Aliyatuma Vijana kufanya Uovu Hatoguswa

    Afisa wa jeshi, kama mtu mwingine yeyote mwenye mamlaka, anaweza kutumia vibaya mamlaka yake au mamlaka yake juu ya raia. Matumizi mabaya kama hayo yanaweza kuchukua aina mbalimbali, ikiwa ni pamoja na vurugu za kimwili, unyanyasaji, kulazimisha, au aina nyingine yoyote ya ukatili ambao unakiuka...
  10. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Afisa Mwandamizi wa Jeshi la Urusi Sergey Shoigu kaingia Iran

    Viongozi Waandamizi wa Jeshi la Urusi wameanza kuingia Iran ikisadikika kua ni katika mikakati ya kutoa code za nuke zana zingine za kimapigano ⚡️Sergei Shoigu has just arrived in Iran. 🚀☢️What is going on? ‼️🇮🇷🇷🇺 Breaking: Sergrey Shoigu, Secretary of the RF security council, has landed in...
  11. Mr Chromium

    JamiiForums Tanzania Mchambuzi anasema Eritrea ina jeshi lenye nguvu kuliko jeshi lolote Afrika Mashariki, ukiitoa Ethiopia

    Mchambuzi wa kihabesha anadai Eritrea ina jeshi lenye nguvu Africa mashariki nzima ukiiondoa Ethiopia Nini maoni yako👇🏾 https://x.com/shaebiaeritrea2/status/1820370630744719614
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi: Mwaka 2023 ulikuwa na ongezeko la Makosa 658,825 (21.1%) ya Jinai na Usalama Barabarani nchini Tanzania

    Takwimu za Hali ya Uhalifu nchini Tanzania zimeonesha kati ya Januari 2023 hadi Desemba 2023 kulikuwa na Matukio 3,778,908 ya Jinai na Usalama Barabarani yaliyoripotiwa katika Vituo vya Polisi ikiwa ni ongezeko la Matukio 658,825 (21.1%) kutoka matukio 3,120,083 ya mwaka 2022. Ripoti ya Jeshi...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa kundi la Hezbollah Dokta Nassan Nasrallah aagiza Jeshi lake kuanza kuishambulia Israel kuanzia kesho Agosti 2, 2024

    Wadau hamjamboni nyote? Kumekucha na amri imeshatolewa kwa magaidi kuanza kuichakaza Israel kesho kulipa kisasi mauaji ya Ismael haniyeh Muda wa mashambuluzi ni baada ya maziko ya Ismael haniyeh/ sala ya ijumaa, hivyo ni takribani kuanzia saa 7 mchana na kuendelea kwa saa za kwetu Afrika...
  14. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Je Mwabukusi atawasaidia Watanganyika dhidi ya ukatili na uovu wa jeshi la polisi iwapo atashinda urais wa Tls?

    Tangu tuwe chini ya mkoloni jeshi la polisi linalalamikiwa kila siku. Utesaji na mauaji ya watuhumiwa. Kila siku ni kilio kwa wananchi. Moja ya dhima ya kuanzishea Tls mwaka ni 1954 ni kutoa msaada kwa jamii inayoonewa na kunyimwa haki . Sasa mbona utesaji wa polisi na hata mauaji...
  15. The Legacy

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lianze kupokea Taarifa za kupotea kwa watu ndani ya masaa 14 hasa watoto

    Niko mikononi mwa Polisi Maisha yangu bado ni mikosi wote itikieni Afandee…. Wanabodi nianze kusema binafsi sifutahishwi na huu utaratibu wa polisi kusema mtu akipotea hawapokei taarifa chini ya masaa 24 tangu mtu amepotea. Huenda ndani ya masaa hayo jitihada zikafanyika na mtu akaokolewa uhai...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini Jeshi la Polisi mnamuacha Mdude Nyagali anamdhalilisha Rais wetu pasipo kumchukulia hatua?

    Ndugu zangu Watanzania, Moyo wangu unaumia sana,unasononeka sana ,una uchungu sana ,una vuja machozi ya hasira kuona,kutizama,kusoma Mdude Nyagali akitumia lugha chafu kumdhalilisha Rais wetu.Kwanini jeshi la polisi Mnamuacha na kumtizama Mtu huyu akiendelea kumdhalilisha Rais wetu kiasi hiki...
  17. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi mkiwa kama hivi mtakuwa mkipendwa sana

    Polisi kama huyu anaonyesha uwajibikaji wake kulinda amani na kusaidia pale jambo linapo wezekana. kumsaidia kusomesha mtoto ni jambo zuri https://www.youtube.com/watch?v=jyoBjJv64fs
  18. Stunnaman008

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Yemen laipiga Tel Aviv kwa droni mpya ya 'Jaffa', taharuki yatanda

    Mtu mmoja ameuawa huku wengine zaidi ya 10 wakijeruhiwa baada ya mfumo wa ulinzi wa anga wa Israel kushindwa kutungua shambulio la ndege isiyo na rubani (droni) lililofanywa na jeshi la Yemen dhidi ya mji wa bandari wa Jaffa (Yafa) unaokaliwa kwa mabavu na utawala ghasibu wa Israel, viungani mwa...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Benefiti za alie na masters katika jeshi la kujenga taifa

    Za sahizi ndugu zanguni... Nina rafiki yangu kamaliza masters ya sheria (LLM) na kaisha pita law school in short ni advocate kwa sasa ana miaka 29 Anahitaji kujiunga na jeshi la polisi either magereza,ffu,Traffic,Police etc Anahitaji kujua kua akifanikiwa kupita mafunzo na kila kitu na...
  20. Pfizer

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila ametembelewa na ugeni ofisini kwake kutoka Jeshi la Ukombozi la watu wa China

    RC CHALAMILA ATEMBELEWA NA UGENI KUTOKA JESHI LA UKOMBOZI LA WATU WA CHINA Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Albert Chalamila leo Julai 17, 2024 ametembelewa na ugeni ofisini kwake kutoka Jeshi la Ukombozi la watu wa China ukiongozwa na BRIG GEN CE MWANZIVA Mkurugenzi wa Huduma za Afya TPDF...
Back
Top Bottom