jeshi

  1. kyagata

    JamiiForums Tanzania CDF Mkunda apongeza Shirika la Mzinga lililo chini ya ya JWTZ kwa kuanzisha mradi wa kokoto

    Wakati wenzetu marekani wameanzisha jeshi la anga za juu yani us space force. Sisi lijeshi letu bado liko karne ya 5 huko.eti cdf anafurahia mradi wa kokoto,serious? Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF), Jenerali Jacob Mkunda, amelipongeza Shirika la Mzinga lililo chini ya Jeshi la Wananchi wa...
  2. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Ndugu wagoma kuchukua mwili wa marehemu, washinikiza Jeshi la Polisi kumkamata Mfanyabiashara madini

    Familia ya Marehemu Ediga Mwaniwe wa Manispaa ya Mpanda Mkoa wa Katavi kwa siku sita imekataa kwenda kuchukua mwili wa ndugu yao kwa ajili maziko uliohifadhiwa katika hospital ya Manispaa hiyo kwa lengo la kushinikiza Jeshi la Polisi Mkoani humo kutenda haki ya kumkamata mfanyabiashara wa madini...
  3. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kama sayansi na teknolojia zingekuwa zinatokea CCM hata hii JF isingekuwepo

    Nimewaza sana kuhusu CCM inavyoendesha nchi bila kukubari ukweli. Mfano lile la afande muriro video zinaonekana polisi wanabeba watu mahakamani na kukana kusema sio polisi.
  4. Fbn

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi kwa nini mnamtindo wa ajabu mkishitukiwa mnasema mumeingiliwa majukumu ila mkifanikiwa mnakana .

    Nalipongeza jeshi la polisi kuwa na CCM sana sababu mnakadi za ccm ndio mpate vyeo. Watu wengi wamekuwa wakitoa ushaidi kuhusu nyie na tabia zenu sehemu nyingi kwenye matukio. Swali langu tu:kwa nini kwenye maswala ya kisiasa mnakataa ila mkivamiwa mnakuja juu kusema mnaingiliwa majukumu yenu...
  5. Fbn

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi mnakumbuka lile tukio la Zakaria alivyowatandika risasi? Basi ndio mnataka kuwa hivi kwa mtindo wenu

    Afande Muliro usipojiangalia kwa kauli zako nyepesi na majibu rahisi utakuwa unajiwekea wakati mgumu kwa wananchi na Polisi Tanzania nzima. Mpaka sasa ni wazi polisi mshakuwa na mifumo ya wahalifu ambayo hata kupelekea mwanya huu ndani ya watawala na watu wengine kutumia mtindo wenu. Kwa...
  6. Elisante Yona

    JamiiForums Tanzania Majukumu na Kazi za Jeshi la Polisi Tanzania

    1. Polisi Tanzania (PT) ni chombo cha Muungano wa Tanzania kilichoundwa ili kuhakikisha usalama wa rai na mali zao, kudumisha Amani na utulivu katika jamii. 2. Kuzuia, kubaini, na kupambana na uhalifu, Ni chombo cha Serikali ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, kilichopewa mamlaka na wajibu wa...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia ikipishana na matarajio ya raia, ina maana gani?

    25 Aprili 2025 JAMIIFORUMS NI JUKWAA KUBWA LA MEDIA, NAAMINI WATU WAMEITAFAKARI HOTUBA PIA TOFAUTI NA MEDIA ZINGINE TUNAWEZA KUIJADILI ILI KUJENGA TAIFA Leo mheshimiwa rais wa Jamhuri ya Muungano, jioni tarehe 25 Aprili 2025 alitoa hotuba inayo semekana aliongea na taifa. Je wewe kama...
  8. Ritz

    JamiiForums Tanzania Vikosi vya Al-Qassam:Jana, tulifanikiwa kuwateka wanajeshi wanne na maafisa wa Jeshi la Israel

    Wanaukumbi. BREAKING: Al-Qassam Brigades: Yesterday, we successfully sniped four soldiers and officers of the Israeli occupation army, killing and wounding them east of the town of Beit Hanoun. ================ BREAKING: Vikosi vya Al-Qassam: Jana, tulifanikiwa kuwateka wanajeshi wanne na...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Jenerali wa mwandamizi Jeshi la urusi auawa Kwa mlipuko wa bomu lilitotegwa kwenye gari jijini Moscow

    Wadau hamjamboni nyote? Jenerali wa Urusi, Yaroslav Moskalik, ameuawa katika mlipuko wa bomu uliotokea ndani ya gari aina ya Volkswagen Golf jijini Moscow. Anaaminika kuwa miongoni mwa viongozi wa kijeshi wa Urusi waliolengwa na Ukraine ndani ya ardhi ya Urusi, ingawa Ukraine haitoi uthibitisho...
  10. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Mashirika ya kutetea haki za binadamu na ya kisheria acheni kutoa wito kwa jeshi la polisi waorodhosheni kama magaidi wao wanafanya mauwaji makusudi

    Nimesikitishwa kusikia mashirika ya haki za binadamu na mengine ya sheria yanatoa wito kwa jeshi la polisi kuacha kutumia nguvu, hii sio mara ya kwanza kusikia kauli kama hizi na watu wamekuwa wanaendelea kuuwawa kwanini msiwaorodheshe kama magaidi kushinikiza mabadiliko. hayo matamko mepesi ya...
  11. Gilbert A Massawe

    JamiiForums Tanzania Hongera Jeshi la Polisi Dar es Salaam

    Kazi nzuri sana imefanyika na hii iwe funzo wanaodhani wanaweza kutokutii Sheria na Maelekezo Siku za Karibuni Kamanda Murillo alitoa Onyo kwa watu waliopanga kuleta Vurugu na Kuchoma Mahakama Moto Magari ya Magareza na Kuchoma Moto Baadhi ya Vituo vya Polisi na Mahakama Jaribo la Chadema...
  12. Congressman

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), liko wapi? Mbona haki za wananchi wake zinakandamizwa na polisi?

    Wakuu, Moja ya Kazi yake sio kulinda Katiba ya nchi? Kwanini katiba ya nchi inasiginwa mchana kweupe na wao wapo wanaangalia bila hata kuchukua hatua yoyote? Ni kweli wameamua kuacha polisi kuonea wananchi? Hili si Jeshi la Wananchi? Na wananchi si ndio sisi? Au tafsiri ya wananchi ni...
  13. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kinachojiri kuelekea Kesi ya Lissu leo Aprili 24, 2025

    Wakuu, Leo ndio ile siku inasubiriwa kuona nini kitatokea baada ya Lissu kusomewa mashtaka yake manne ikiwemo kosa la Uhaini ambalo halina dhamana na kesi hiyo kusogezwa mpaka leo Aprili 24, 2025. Pia soma: Pre GE2025 - DSM - Tundu Lissu ashtakiwa kwa Uhaini, arudishwa rumande, kesi yake...
  14. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Arusha: Baba atafutwa na jeshi la polisi kwa kumlazimisha mwanafunzi amlawiti

    Jeshi la polisi wilayani Arumeru, mkoa wa Arusha, linamsaka Baba mmoja ajulikanae Kwa jina la Steve, umri miaka 50 anaeishi katika kitongoji Cha olmareti katika Kijiji Cha kivulu, Kwa kosa la kumuomba mwanafunzi wa kiume wa kidato Cha tatu mwenye umri wa miaka 16 amuingile kinyume na...
  15. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Tanzania kwenye Ukarimu wa Uovu (The Banality of Evil )

    MOSSAD ( Israel Foreign Intelligence Agency ) inapata taarifa juu ya Adolf Eichmann- kiongozi wa Utawala wa Nazist ambae alijificha Agerntina kwa miaka mingi .Adolf alikuwa ni Supervisor kwenye Mauaji ya Mayahudi ( Holocaust) . Chap MOSSAD chini Peter Malkin inafanya international Espionage...
  16. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Serikali Kuwalipa Wanajeshi Mishahara mapema, ni mpango mkakati, Sitoshangaa JWTZ ikatoa tamko la Kufanya Usafi Barabara za kuzunguka Mahakama 24/4?

    Mbinu ya CCM miaka yote ni ileile, kuwalisha Chambo watu wote wanaweza kua kikwazo kwao, ili inturn alokula Chambo awe Hana namna nyingine !!. CCM wamefanya hivo, ili Jeshi lione linajaliwa, na matokeo yake ni Jeshi nalo baadae kulipa Fadhila. Ni Baada ya Hotuba ya Mzee Warioba, kua Taasisi...
  17. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Nitoe wito kwa umoja wa mataifa kuiwekea vikwazo serikali ya Tanzania na jeshi la polisi na kusitisha mikopo au misaada yoyote

    Ripoti za ndani ya nchi zisizokuwa na shaka zinaonesha kuna wizi mkubwa wa fedha za umma katika mamlaka na kuna ukamataji na utekaji wa wale wanaopigania haki na kukemea wizi na rushwa kwa serikali ya Tanzania na kuhamasisha uchaguzi wa haki kuelekea uchaguzi mkuu. Nitoe wito kwa umoja wa...
  18. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kwenye jeshi letu upande wa JKT naona dalili za uchawa umeshafika na mambo mnayofanya

    Leo nimeona JKT wamezindua ZOO kwa ajili ya utalii na kuanza kusifia royal tour raisi kwa kufikiria haraka tu unaona kabisa watu wanafanya kufurahisha muhisika. Mimi nilitegemea kuona jeshi likizindua viwanda vya teknolojia,vilimo vipya pamoja na zana kubwa. Yani leo mfano irani jeshi lao...
  19. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wassira: Kazi yetu kuanzia sasa mpaka Oktoba ni kukamata dola kwa nguvu ya wananchi na sio jeshi

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema kuwa kuanzia sasa hadi Oktoba mwaka huu, kazi kubwa ya Chama ni kuhakikisha kinakamata dola kwa nguvu ya wananchi. Amesisitiza kuwa CCM haitegemei Jeshi la Polisi ili kushinda uchaguzi mkuu unaotarajiwa...
  20. Msela Wa Kitaa

    JamiiForums Tanzania Je, jeshi linalolinda mfumo usio wa haki bado ni la wananchi? (mtazamo kutoka Afrika Mashariki hadi Sahel)

    Katika siasa za Afrika, kuna tofauti kubwa kati ya majeshi ya baadhi ya nchi. Wengine hujiona kama watumishi wa dola, wengine kama watumishi wa watawala, na wachache kama wakombozi wa kweli. Nimekuwa nikifuatilia mifano mbalimbali, na hii ndiyo taswira niliyoona: 1. Madikteta wengi huweka watu...
Back
Top Bottom