jeshi

  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi, leo Agosti 11, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=WyoacouIms0 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango anafungua Mkutano Mkuu wa mwaka wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi Agosti 11, 2025 Shule ya Polisi Tanzani- Moshi. Maafisa mbalimbali wakiwasili katika Viwanja vya...
  2. figganigga

    JamiiForums Tanzania Je, huu ndio utendaji wa Jeshi la Polisi? Polisi anajisifia kufanya harassment?

    Je, huu ndo utendaji wa Jeshi la Polisi? Polisi anajisifia kufanya harassment? Hata siamini.. Naomba Neema asipotezwe.
  3. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Nini kimemkuta msemaji wa Jeshi la Polisi David Misime?!

    PICHA YA CHINI NI MIEZI KADHAA NYUMA PICHA YA JUU NI YA LEO
  4. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Israel: Netanyahu akabiliwa na upinzani wa jeshi kwa ukaliaji kamili Gaza

    Israel lazima "iwashinde kabisa" Hamas huko Gaza, Benjamin Netanyahu amesisitiza siku ya Jumanne, Agosti 5. Mkuu wa majeshi ya Israeli, kama sehemu kubwa ya uongozi wa juu wa kijeshi, anapinga ukaliaji mpya kamili wa eneo la Palestina. Waziri Mkuu wa Israel anakabiliwa na upinzani mkali kutoka...
  5. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Bashungwa alikumbusha Jeshi la Polisi kukomesha matukio ya utekaji nchini

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameliagiza Jeshi la Polisi kuendelea kuzingatia maelekezo yaliyotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan kuhakikisha linashughulikia masuala ya jinai ikiwemo kukomesha matukio ya utekaji nchini. Mbali na hilo, ameliagiza jeshi hilo kudhibiti...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Haipendezi kwenye mchakato wa Ubunge ni Watu wa Familia za Viongozi

    Humphrey Polepole amesema "Leo kinachoendelea kwenye Uchaguzi wa Chama huko chini...ni kudhihirisha ni namna gani Chama kimedhohofika kwenye kusimamia Misingi, Nidhamu ya Wanachama, Maadili, Rushwa" "Ni Haki kila Mtu kugombea lakini kwenye Chama ambacho tuna Kamkate kadogo ka fursa za Uongozi...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Idara ya Uhamiaji Kakonko yatoa Elimu ya Uzalendo kwa Wanafunzi wa Jeshi la Akiba

    ‎ ‎Idara ya Uhamiaji Wilaya ya Kakonko mapema wiki hii imeendesha mafunzo ya ki-uhamiaji kwa wanafunzi wa Jeshi la Akiba katika Kata ya Kasanda iliyopo Wilaya ya Kakonko Mkoa wa Kigoma kupitia kampeni ya "Mjue Jirani Yako". ‎ ‎Mafunzo haya yalilenga kuwajengea wanafunzi uelewa juu ya majukumu...
  8. Tata ya bana

    JamiiForums Tanzania naomba kujua,Kuna hili kanisa laitwa jeshi la wokovu lipo hasa Dar es Salaam

    Wakuu naomba kujua,Kuna hili kanisa laitwa jeshi la wokovu lipo hasa DSM. Naomba kujua je wanna uhusiano wowote na majeshi yetu?nauliza hivyo Kuna siku kupitia redio nilimsikia mtumishi anaongoza Ibadan anaitwa meja---!mwenye uelewa atufungue kidogo!;
  9. U

    JamiiForums Tanzania Rais wa Iran Masoud Pezeshkian asema kuwa jeshi la nchi yake limejiandaa kikamilifu kuipiga Israel

    We are ready to strike Israel again,' Iran’s president warns 1 hour ago Updated 8:53 AM Share A screengrab from Iranian President Masoud Pezeshkian during an interview with Al Jazeera (July 2025) A screengrab from Iranian President Masoud Pezeshkian during an interview with Al Jazeera (July...
  10. uttoh2002

    JamiiForums Tanzania Swali kwa Jeshi letu pale Kawe

    Habari ndugu zangu! Nina miaka mingi sana nimekuwa mtumiaji wa Barabara ya kawe, Kuna jambo moja silielewi na Lina mda mrefu sana. Kuna Kisima pale cha Maji, kwa juu Pana mpira unapoteza Maji miaka nenda rudi, kila nikipita pale huwa unanifikirisha sana kwa kweli. Kwa shida ya Maji ya Dar es...
  11. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Ufaransa lakunja virago Senegal

    Ufaransa inakabidhisha rasmi vituo vya mwisho vya jeshi kwa serikali Senegal, hatua inayomfanya mkoloni huyo wa zamani sasa kutokuwa na kambi yoyote ya kudumu ya kijeshi kote magharibi na kati ya Afrika. SiasaSenegal Jeshi la Ufaransa lakunja virago Senegal Ufaransa inakabidhisha rasmi vituo...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Rais wa Cameroon Paul Biya abadili viongozi wa kijeshi kabla ya uchaguzi

    Rais wa Cameroon mwenye umri wa miaka 92, Paul Biya amabaye ni kiongozi mkongwe zaidi duniani kwa sasa ametekeleza mabadiliko makubwa katika safu ya juu ya jeshi siku chache tu baada ya kutangaza nia ya kugombea kwa muhula wa nane kwenye uchaguzi wa urais utakaofanyika Oktoba 12. Kupitia amri za...
  13. kyagata

    JamiiForums Tanzania Mke wa Mrisho Mpoto alikua na cheo gani mpaka mwili wake ubebwe na bus la jeshi?

    Nimeona mitandaoni huko,mwili wa mke wa mrisho mpoto umebebwa kwenye bus la jwtz. Je huyo marehemu alikua ni Askari wa jwtz?
  14. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Natofautiana na Gwajima: Jeshi wasipewe zabuni za ujenzi bali wawezeshwe wawe wanazalisha silaha na kuziuza

    Jeshi halitakiwi kùwa sehemu ya uchumi mfano umeipa kampuni ya jeshi tenda ya barabara swali unaweza iwajibisha jibu ni hapana Changamoto kubwa wanayopitia egypt ni jeshi kuwa na stake kubwa sana kwenye uchumi, ndo maana morsi mtawala wa kiraia alivyoingia na kutishia maslai ya jeshi...
  15. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Gwajima aelimishwe juu ya wajibu wa Jeshi la polisi wa kulinda usalama wa raia, mali na makazi na sio ujenzi wa barabara au uchimbaji visima vya maji

    Afundishwe vyema pia kwamba hakuna namna nchi inaweza kuacha jambo muhimu sana kama la ulinzi wa Taifa, watu, mali na makazi yao likafanywa na makampuni binafsi ya ulinzi, kwasababu tu eti jeshi la polisi liko na shughuli au tenda nyingi za ujenzi wa barabara na uchimbaji visima vya maji...
  16. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na Jeshi la Polisi, hawataki Waumini wa Ufufuo na Uzima wamwabudu Mungu, Hata Leo ,Walituma Askari Polisi kwenda Kuzuia Ibada ya Waumini

    Video hii hapa Wakuu !. https://youtu.be/zwQUrn544As?si=5x4Ui0D4tQBilTOt
  17. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 Brenda Rupia akamatwa akituhumiwa 'kutoa taarifa za uongo na uchochezi'

    Ndugu zangu Watanzania, Hii hapa ni taarifa ya polisi Nchini juu ya kukamatwa kwa mkurungezi wa mawasiliano wa CHADEMA. Ambapo inadaiwa uongo na uchochezi ndio makosa yanayomkabili. Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya...
  18. M

    JamiiForums Tanzania No reforms no election, Tanzania simama kwanza, haki za watumishi wa umma na taasisi zote za kiraia zinahitaji REFORMS!

    Hata kama hatukubaliani sana juu ya kwa nini kunahitajika REFORMS hasa kwenye nyanja za kisiasa Lakini leo embu yatufikirishe haya yafuatayo Wabunge wetu wakikaa bungeni miaka mitano tu, Kiinua mgongo chao ni 400M, hapo hakuna cha aliye na shule na asiye na shule wote watalipwa mkwanja sawa...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Mwandishi wa habari wa Iran adai Israel ilitumia uchawi wa majini kwenye vita dhidi yake

    Iran International: Iran yadai Israel ilitumia sayansi ya uchawi wa majini kwenye vita dhidi yake kwa ajili ya ujasusi Afisa wa mwandamizi Jeshi la Iran amedai kuwa Israel ilisambaza roho za uchawi na miujiza katika vita vyake na Iran, jambo lililozusha kejeli na mjadala...
  20. General Mangi

    JamiiForums Tanzania Je, Rais wa China yupo Kizuizini kwa Uangalizi wa Jeshi?

    Kutoka BBC Swahili 10 Julai 2025 Habari za magazeti ya Uingereza zinaangazia wasiwasi unaoongezeka kuhusu machafuko ya ndani nchini China, huku kukiwa na ripoti za mvutano kati ya Rais Xi Jinping na baadhi ya viongozi wa kijeshi. Makala katika gazeti la The Telegraph la Uingereza inaonya juu...
Back
Top Bottom