Jeshi la Polisi liwe la wilaya au mkoa sio taifa

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,677
Reaction score
15,251
Jeshi la Polisi liwe la wilaya au mkoa sio taifa ili wawe ni Polisi waliotoka kwenye jamii. Hii ndiyo maana ya jeshi la Polisi sehemu zingine Duniani. Hakuna haja ya kuwa na Polisi la nchi nzima maana linashusha imani kwa watu na wanaendeshwa bila kujali jamii. Kwa nchi nzima waache Jeshi la wananchi pekee. Polisi iwekwe kutokana na jamiii na matakwa ya jamii. Polisi ya sasa imekaa kisiasa na hina imani ya jamii.
 
Ndivyo inatakiwa na ndivyo wenye akili sehemu kubwa ya dunia wanavyofanya.
 
Wakiwa kule CCP huwa wanafundishwa Kuwa Polisi wa eneo moja wakitoka tu kwenye jamii ileile, kuna uwezekano mkubwa wa kutochukua hatua dhidi ya wahalifu wa eneo hilo kwa sababu ya uhusiano wa kifamilia, kikabila au kirafiki. Kiufupi wanazuia conflict of interest
 
Back
Top Bottom