jeshi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania kwenye jeshi la Marekani

    Wana jamvi, naomba kupata elimu kuhusu Watanzania wanao hudumu kwenye jeshi la marekani. Watanzania ambao si wanajeshi wa JWTZ lakini ni wanajeshi wa jeshi la Marekani, Je wakirudi nyumbani wanatambulikaje na jeshi letu hasa wanapokuwa likizo?? Je hawa watu wanajiungaje na jeshi la Marekani??
  2. magnifico

    JamiiForums Tanzania Kama Sio Hili Jeshi, Taifa Lingeingia Kwenye Noise Pollution.

  3. funaku

    JamiiForums Tanzania Tupo timamu Dege la jeshi kiboko respect Tanzania!

    Hii iwafikie wana vyombo vya usalama.kudos kwao
  4. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Bodaboda Ni Jeshi kubwa. Nahofia siku moja hawa watu wakipata akili wakatumika vizuri.

    Kwa sasa hatari kubwa ni kuwa hawana Elimu, Akili. Na wanarisk maisha kwa vitu vya kijinga. Lakini hawa siku wakipata akili wakakubali kutumika kwa manufaa. Ni Jeshi kubwa.
  5. ngara23

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi tokeni hadharani mjisafishe, kuhusu kuteka, kutesa na kutelekeza wanaharakati wa Kenya na Uganda

    Kuna habari zinaenea kuwa Jeshi la polisi liliwakamata, kuwatesa na baadaye kuwasafirisha Kwa njia ya barabara na kuwatekelekeza mipakani mwa nchi zao. Inasemekana Mwanaharakati wa Uganda aliteteswa na kutelekezwa mpakani km 30 kutoka border ya Mtukula pia Boniface Mwangi wa Kenya alitelekezwa...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya polisi wanahusika na Utekaji wa raia nchini?

    Usione watekaji ni wa chama pinzani wanaotekeleza mipango fichu ili kuipaka serikali matope na wanaitekeleza kwa siri kubwa kiasi ya kuwa hakuna ushahidi. Sasa serikali inakuwa ngumu kuwakamata kiushahidi . Ila hawa G55 inawezekana wanawanalolijua ngojea kampeni huwenda kuna mambo yakajiri...
  7. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa na Waandishi wa Habari - Dodoma, Mei 22, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=EK3rdU5HqhE Ndugu wanahabari, miongoni mwa majukumu ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa ni kuliwezesha Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na Taasisi nyingine zilizopo chini ya Wizara kutekeleza majukumu yake ipasavyo ambayo ni: ulinzi wa...
  8. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Huu utaratibu wa kumkamata mtu bila kosa lolote kumpiga na kumtupa maporini kama kuku Jeshi la polisi ndio sheria zetu zinasama hivi ?

    Huu utaratibu wa kumkamata mtu bila kosa lolote kumpiga na kumtupa maporini Jeshi la polisi ndio sheria zetu zinasama hivi ?. Hii ni kwa mara ya kwanza nchi kushuhudia unyanyasaji mkubwa wa binadamu kwenye utawala wa samia. Huu ni uthibitisho tosha kuwa nchi haina utawala wa sheria, jeshi la...
  9. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Israel IDF linajitayalisha Na "shambulio Ambalo Halijawahi Kushuhudiwa". Tangau Kuanza Kwa Vita

    Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu ameelezea kuwa Israeli itaendelea kudhibiti Gaza nzima licha ya shinikizo la kimataifa ambalo linaitaka kuondoa kizuizi cha vifaa vya misaada ambacho kimeiacha eneo hilo ukingoni mwa njaa. Jeshi la Israeli, ambalo limetangaza kuanza kwa operesheni mpya limewaonya...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mjeshi kupigana na Mtu asiye na mafunzo, kutumia silaha kwa mtu asiye na silaha. Inabomoa heshima na hadhi ya Jeshi

    Habari za Sabato! Kuna Mambo yanachekesha kwa nje lakini kwa Ndani yanasikitisha Mno. Yanavua heshima. Mjeshi mwenye mafunzo ya kijeshi. Komando tena jasusi bobevu ATI kupigana na raia ambaye Hana mafunzo yoyote Yale. Tena zaidi wengine hufikia hatua unampiga mtu asiye na mafunzo lakini...
  11. toriyama

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA: Naibu Katibu Mkuu Bara, Amani Golugwa amekamatwa na Jeshi la Polisi usiku wa leo. Inadaiwa amepigwa sana

    Wakuu, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetoa taarifa ya kukamatwa kwa Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho upande wa Bara, Mhe. Amani Golugwa, usiku wa kuamkia Jumanne, Mei 13, 2025, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam. Pia Soma: Jeshi la...
  12. Yoda

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya mamia ya raia yaliyofanywa na jeshi yaripotiwa Burkina Faso kwa Ibrahim Traore

    Army aircraft were reportedly hovering above as the killings took place, showing command control of the operation. At least 130 civilians belonging to the Fulani ethnic group were killed by Burkina Faso’s army and allied militias near the western town of Solenzo in March, Human Rights Watch...
  13. Fbn

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Namba 0792705831 imetajwa ila sijasikia jeshi la polisi kutoa kauli ina maana tusibiri ya tokee halafu mseme hamfahamu?

    Hii nchi sasa ni FUTUHI kama kamanda mriro NSSF umri anasema kuwa wale sio askari wake na video zinaonyesha naweza amini kuna baraka zote. Mbona simu za wizi zina kamatwa au wale matapeli wanao tumia namba za simu. Tusifike mbali hivi tukio likitokea mbona mnajua mawasiliano na namba zao. Je...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kigoma: Jeshi la Polisi lawakamata Wakimbizi 25 na kuwafikisha Mahakamani kwa tuhuma za kufanya vurugu

    Baada ya tukio lililotokea Aprili 29, 2025 ikielezwa kuna baadhi ya Wakimbizi walisababisha taharuki katika Kambi ya Nyarugusu Mkoani Kigoma kiasi cha kusababisha Jeshi la Polisi kuingilia na kutumia mabomu ya machozi kutuliza ghasia, ufafanuzi umetolewa kuhusu tukio hilo Kama hukusoma kuhusu...
  15. Q

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi linachafuliwa na Green Guard wa CCM

    Matukio ya utekaji, mauaji ya viongozi wa vyama vya upinzani hasa Chadema mengi hutekelezwa na UVCCM (Green Guard) kwa mwamvuli wa jeshi la polisi. Hawa Green Guards 'WENGI' wao ni vijana wa vijiweni wahuni, wavuta bangi wasio na maadili yeyote hutumiwa na Chama cha Mapinduzi kuwaumiza...
  16. Superbug

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari wa miaka hii na wale wazamani waliolisusia jeshi la magereza na wizara ya mambo ya ndani

    Uchawa umeharibu professional za watu miaka ya nyuma enzi za mwinyi wizara yaambo ya ndani kupitia jeshi la magereza waliwahi kuzinguana na WAANDISHI WA HABARI. Walichokifanya WAANDISHI wale wakasusia kuandika kabisa jambo lolote linalohusiana na magereza au wizara ya MAMBO YA NDANI mbona...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bashungwa apongeza Jeshi la Polisi, kwa kumkamata mtuhumiwa wa vitisho dhidi ya Padri Kitima

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa, amelipongeza Jeshi la Polisi kwa juhudi zake katika kufuatilia na kuchukua hatua dhidi ya matukio mbalimbali ya kihalifu, ikiwemo tukio la kukamatwa na kuhojiwa kwa mtu anayetuhumiwa kutoa ujumbe wa vitisho kabla ya shambulio dhidi ya Katibu...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Tanzania tulifikirie upya baada ya kushidwa na M23

    Je tuna jeshi hapa au ? Lazima tujiulize inakuwaje jeshi letu limeshidwa kirahisi na M23. Je tuna uhakika gani kama kundi dogo kama M23 likiingia Tanzania jeshi letu liko tayari na uwezo wa kisasa wa kupambana nao. Tunajua ni wajenzi wazuri na miradi mpaka ya sehemu za starehe lakini Jeshi letu...
  19. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Jinsi mfumo wa utawala uliopo hivi sasa na udhaifu wa bunge ni wazi mtoto wa raisi anaweza kuchukua nafasi ya raisi kwa muda na kufanya maamuzi msijue

    Kwa jinsi siasa za sasa zilivyo kuna uwezakano mkubwa kuwa mtoto wa raisi anaweza kusimama kama raisi na kufanya maamuzi na ku-control kila kitu kama yeye ndie raisi na msijue na hata asichukuliwe hatua za kisheria. Hii inaweza kutokana na sababu nyingi sana kama vile uwepo wa rushwa, mahakama...
  20. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Jionee tofauti ya Miradi kati ya Jeshi la Ethiopia na Jeshi la Tanzania

    Mwaka huu Jeshi la Ethiopia limeanzisha kiwanda cha kutengeneza ndege vita zisizotumia rubani kwa shughuli za ulinzi wa ndani na biashara. Picha hizi hapa👇 Haya yakifanyika nchini Ethiopia huku Tanzania hapo jana Mkuu wa Majeshi kazindua mradi wa kuponda kokoto wa Jeshi. Picha hizi hapa👇...
Back
Top Bottom