jeshi la polisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Daniel Yohana: Jeshi la Polisi linapaswa kuwatambua waandishi wa habari na kuwapa ushirikiano wanapotekeleza majukumu yao

    Ninaitwa Daniel Yohana Mussa, na napenda kuweka wazi kuwa ninaungana na kauli za Karori Jacob kuhusu umuhimu wa Jeshi la Polisi kuwatambua waandishi wa habari na kuwapa ushirikiano wanapotekeleza majukumu yao, badala ya kuwaona kama maadui. Uhuru wa vyombo vya habari ni jambo muhimu katika...
  2. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kauli kama hizi za Katambi, ndio zimedisha UHALIFU, na kuwafanya Wananchi Waogope kulifikia Jeshi la Polisi kwakua hawalioni likiwasaidia

    Fikiria, Una Kaka yako, Katekwa . Unatakiwa ukareport Polisi TUKIO hilo Unakutana na Habari ya WAZIRI ,anakuambia, Kama unaushahidi wa Utekaji, uniletee hapa !!. SI TU kuwadharau Wananchi, KATAMBI anathibitisha hatakiwi kua hata Mjumbe wa Nyumba Kumi.
  3. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Katambi Mwenye jukumu la kutafuta Ushahidi ni JESHI LA POLISI, Wananchi ndio Wahanga wa Utekaji

    Katambi ,hivi wewe ni Mtanzania kabisa uliyekulia katika Shida za kifamilia ?.
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi: Tunachunguza taarifa za kikundi kukamata madereva Bajaj Mwanza

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza, limebaini uwepo wa ujumbe unaosambaa kwenye mitandao ya kijamii (kama inavyoonekana kwenye picha) ukidai uwepo wa kikundi kinachokamata Bajaji kibabe kwa kigezo cha "Wrong Parking" na kutoza kiasi cha Tsh. 22,000 bila risiti, huku kukiwa na tuhuma kuwa baadhi ya...
  5. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi rudisheni heshima yenu, msitumike kisiasa

    Hivi majuzi tumemsikia IGP Mstaafu Omari Mahita akitamka waziwazi , tena bila kumung'unya maneno , akisema katika nafasi yake ya Mkuu wa Polisi, yeye alikataa kutumika kwa mambo dhahiri ya kisiasa...
  6. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Neno moja kwa Jeshi la Polisi watuliza maandamano

    Nawapa neno moja kwa leo, Pindi polisi mnapokuwa Depo huwa kuna mtihani wa kulenga shabaha na kuna kuwa na maksi mnazowapa. Sasa niwaulize wale waliopata 0% kwenye shabaha huwa mnawapa silaha wazibebe wakatulize maandamano???? Bila shaka huyo akilenga mguu risasi itaenda tumboni mwa mwananchi...
  7. K

    JamiiForums Tanzania IGP MSTAAFU MAHITA: NANUKUU "WAZIRI HANA MAMLAKA YA KUTOA AMRI KWA IGP NA JESHI LA POLISI LABDA JESHI LA MAGEREZA"

    IGP MSTAAFU MAHITA, akiwa anahojiwa katika podcast ya Mr&Mrs Kashera alisikika akisema, JESHI LA POLISI linapokea AMRI na maagizo kutoka katika Mamlaka tatu tu ambazo ni Rais, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu. Sasa huyu Waziri wa Sasa WA mambo ya ndani haya Mamlaka nani aliyempa??? Je, IGP wa...
  8. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania Waziri Katambi apiga marufuku mikutano ya siasa kwa vyama vyote

    Leo bungeni Waziri wa Mambo ya Ndani, Patrobas Katamb ameagiza Jeshi la Polisi kusitisha vibali vya mikutano ya siasa kwa kipindi kisichojulikana. Moto umekuwa mkali na uwanja umeinama kwa upande wa CCM hadi kuomba tena Msaada wa jeshi la polisi , ingawa wananchi tuliwaonya CCM kuwa vita hii ya...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania John Heche: Jeshi la Polisi mrejesheni Ibrahim Myovela kwa familia yake

    https://www.youtube.com/live/Ex4phmqWLxY?si=-kvbHkryi4LV2ROJ Video: MATUKIO DAIMA MEDIA Makamu Mwenyekiti wa chama cha Demokrasi na maendeleo (Chadema) John Heche ametaka jeshi mkoa wa Iringa kusema wapi alipo aliyekuwa mwenyekiti wa Bavicha mkoa wa Iringa, Ibrahim Myovela anayedaiwa kutoweka...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lijenge utamaduni wa kutolea mrejesho matukio yenye maslahi kwa umma wanayotelea taarifa za awali

    Kwa nyakati tofauti, Jeshi la Polisi limekuwa likijikuta kwenye mtihani wa kuaminika mbele ya umma kutokana na matukio yenye utata ambayo huacha maswali mengi bila majibu ya wazi. Mara nyingi, taarifa za awali hutolewa, lakini baada ya hapo umma hukosa mrejesho kuhusu hatua za uchunguzi au...
  11. McLaren

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi limemkamata James Damson Ngole (34) kwa kujifanya Afisa Usalama na kutapeli watu kupitia Whatsap

    Jeshi la Polisi limemkamata na linamshikilia mtuhumiwa mmoja aliyetambulika kwa jina la James DamsonNgole (34) kwa tuhuma za kujihusisha na matukio ya utapeli huku akijifanya ni Afisa Usalama. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Jeshi la Polisi, mtuhumiwa huyo amekuwa akitumia kivuli cha idara...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Polisi yakamata watu 4 wanaohusika na kifo cha Mchina, Baozhang Ge

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limewakata Watu wanne kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya raia wa China, Baozhang Ge. Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam, SACP Jummane Muliro amethibitisha kukamatwa kwa Watu hao katika maeneo tofauti ndani ya Tanzania ambapo...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Mnyika: Kuna njama Polisi kujiandaa kutumia silaha na nguvu kisingizio cha kudhibiti vurugu zilizotengenezwa kesho target ni viongozi wa CHADEMA

    Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, akijibu swali la Mwandishi leo Juni 10, 2026 kuhusu taarifa ambazo chama hicho zimeeleza kuwa kufuatia kusikilizwa kwa kesi ya Tundu Lissu kesho Polisi inajiandaa kushambulia wanachama na viongozi wa CHADEMA kwa kisingizio...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Mnyika: Jeshi la Polisi lipuuze taarifa za uongo za Polisi zinazodai CHADEMA itafanya vurugu kumuokoa Lissu

    Katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA John Mnyika, akizungumza na Vyombo vya habari kuelekea kusikilizwa Kesi ya Mwenyekiti wa Chama hicho, Tundu Lissu kesho Juni 11, 2026 Mahakama ya Rufaa, ametoa wito kwa Jeshi la Polisi kuacha taarifa za uongo zinazoendelea ndani ya Jeshi...
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Katambi: Jeshi la Polisi haliteki bali linakamta

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Patrobas Katambi amesema Serikali wala jeshi la polisi haliteki bali linakamata Serikali haiteki" bali "serikali inakamata mhalifu. Ikiwa mtu amekamatwa na vyombo vya dola, huo unaitwa ukamatwaji na si utekwaji. Soma Pia: Katambi: Tuwatie moyo askari...
  16. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ufunuo wa kutisha: Uovu wa jeshi la polisi kwenye kubambikia kesi mbaya wasio na hatia

    Matukio ya kubambikiwa kesi za mauaji, ujambazi wa kutumia sikaha na kesi zote zisizo na dhanana na polisi hutisha mno kwa sababu huambatana na mateso makali, uharibifu wa maisha, na unyang'anyaji wa mali za raia wasio na hatia. Simulizi hizi mara nyingi huangazia jinsi baadhi ya maofisa wa...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lakabidhiwa Boti ya Kisasa Mkoani Katavi itatumika kuboresha ulinzi Ziwa Tanganyika

    Makabidhiano ya boti ya kisasa kwa Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi kwa ajili ya kuimarisha shughuli za ulinzi na usalama katika mwambao wa Ziwa Tanganyika, hatua inayolenga kudhibiti vitendo vya uhalifu na kuongeza usalama wa wananchi wanaotegemea ziwa hilo kwa shughuli mbalimbali za kiuchumi...
  18. V

    JamiiForums Tanzania Polisi Wavamia Nyumbani kwa Mbyella, Wachukua T-Shirt, Kofia, Nguo na Bendera za CHADEMA

    Nimepata taarifa kwamba usiku wa kuamkia leo mida ya saa nane, Jeshi la Polisi limevamia nyumbani kwa Yoromu Mbyella, mfanyabiashaa ambae huwa anauza sare za CHADEMA wakidai wanamtafuta kwa kosa la kutengeneza Tshirt zenye maandishi “FREE TUNDU LISSU” Kwa mujibu wa mtoa taarifa, Mbyella...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Msigwa: Ukiwa na Mahakama dhaifu, Jeshi la Polisi linalopendelea chama kimoja nchi haiwezi kusimama

    Maneno ya Mchungaji Peter Msigwa wakati akikaribishwa ndani ya chama baada ya kurejea akitokea CCM amesema; "Ukiwa na mahakama dhaifu, nchi haiwezi kusimama. Ukiwa na jeshi la polisi dhaifu linalopendelea chama kimoja, lazima migogoro ya nchi itatokea. Ukiwa na mifumo ambayo—kwa sababu hiyo...
  20. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Amani na utulivu uliopo leo ni matokeo ya kazi ya jeshi la polisi na vyombo vyetu vingine vya ulinzi na usalama

    Rais Samia Suluhu Hassan anasisitiza kuwa amani na utulivu uliopo leo ni matokeo ya kazi ya jeshi la polisi kwa kushirikiana na vyombo vyetu vingine vya ulinzi na usalama. "Kwa kuwa hii ni mara yangu ya kwanza ya kuonana na jeshi la polisi tangu tumemaliza uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka jana...
Back
Top Bottom