Mmetoa pongezi kwa wananchi kuwa wametunza amani.
Ukweli ni huu: Watu bado wanatafakari the way forward baada ya vifo vya watu 10,000 ( as per current unconfirmed testaments).
As long as hamjatenda HAKI, basi hakuna AMANI watu wamepoa kidogo wanatafakari what next!
HAKI HAKI HAKI then AMANI...
Jeshi la Polisi Tanzania limewashukuru wananchi kwa ushirikiano katika kulinda amani wakati wa Sikukuu ya Krismasi na kusema kuwa hali ya usalama nchini imeendelea kuwa shwari.
Polisi wamesema wananchi wanaendelea kusherehekea bila bughudha na wametoa wito wa kuendelea kutii sheria ili amani...
Jeshi la polisi mkoani Tabora limewahakikishia wananchi ulinzi na usalama katika sherehe za Krisimasi na Mwakampya..
Akizungumza na Waandishi wa habari leo Disemba 24, 2025 Kamanda wa polisi mkoa wa Tabora,Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa polisi, Richard Abwao amesema jeshi la polisi litaendesha...
Hiki chombo kwakweli nadhani ndio chombo ambacho baada ya rais kuwa juu ya sheria basi chombo kinacho fuata ni jeshi la polisi wakifuatiwa na usalama wa taifa lakini kinara wa kuvunja sheria za nchi na kukiuka katiba ya nchi ni jeshi la polisi.
Hiki chombo kikifuatiwa na usalama wa taifa ndio...
Akizungumza na waandishi wa habari Kamanda wa kanda maalum ya Dar es salaam, Jumanne Muliro ameeleza kuwa wameanza ukaguzi wa kushtukiza kwa madereva wa magari wenye dalili za kutaka kusababisha ajali.
Pia ameeleza kuwa wamejipanga kushirikiana na nyumba za ibada ibada ili kutanzua uhalifu...
Wakuu, baada ya kelele nyingi mtandaoni, Jeshi la Polisi Ofisi ya Chang'ombe limemwachia Fortunatus Buyobe kwa dhamana.
Enyi jeshi la Polisi msiosikia, mbona mmegoma kuwa wastaarabu na kufuata PGO?
Kwanini mnakamata watu kimyakimya, hamtoi taarifa na hamtoi haki ya dhamana kwa wakati...
Badala ya kutoa taarifa, sasa Jeshi la Polisi mmejipa mamlaka ya kuombwa ruhusa ya kuandamana.
Haya, mimi Sifi Leo sifurahishwi na raha na furaha wanayokuwa nayo vijana wa Kitanzania pale anapokufa kiongozi yeyote kutoka Chama Cha Mapinduzi. Hili ni doa kubwa mno katika taifa.
Maandamano...
Jeshi la polisi limegeuka wapotoshaji kulingana na sheria za nchi maandamano hayana kibali, na Kwenye kamusi maandamano ni mkusanyiko sasa kibali cha kufanyia nini kwenye kukusanyika ?
Maandamano hayana kibali chochote labda hawa jamaa wananfanya siasa na kuna viashiria vya rushwa kama wanauwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Jeshi letu la Polisi limesema ya Kuwa Limeimarisha na linaimarisha zaidi ulinzi na Usalama Usiku huu. Ambapo Doria kali zitapigwa usiku kucha kuhakikisha amani na utulivu vinatamalaki na hakuna uhalifu wa aina yoyote ile unaofanyika wala kutokea.
Rai yangu kwenu...
Mwenyezi Mungu alitangulie jeshi letu la polisi kwa kazi ya kuhakikisha kesho kunakuwa na utulivu baada ya kutokuwa na sintofahamu ya kuwepo uhalifu kwa kisingizio cha maandamano. Ninalisihi jeshi la polisi lisisite kutumia virungu, mabomu ya machozi au hata risasi za moto kulingana na ukaidi wa...
Jeshi la polisi halina mamlaka ya kuzuia maandamano D9 pia kwa mauwaji ya halaiki waliyo yatekeleza halina uhalali wa kuingia barabarani kulinda raia.
Sio mamlaka ya jeshi la polisi kuzuia maandamano yoyote puuzieni wanaojitikwa mamlaka hayo kinyume cha sheria.
Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani kwa kipindi cha miezi mitatu kuanzia Septemba hadi Novemba limeendelea na operesheni na Misako ya kuzuia na kutanzua uhalifu katika Wilaya zote. Katika Operesheni hizo limefanikiwa kukamatwa jumla ya watuhumiwa 203 wa makosa mbalimbali.
Katika operesheni na misako...
Guys
Yule binti wa mbeya aliyeuawa kikatili jeshi la polisi lilichukua wiki tuu watuhumiwa wote wakawa wamekamatwa na tukatangaziwa
Sasa huu ukimya kuhusu kifo cha MC PILIPILI unamaanisha kitu gani?
Jee ni kwel tulivyosikia kwamba mhusika ni mtu mkubwa na ndo maana hatuoni taharifa wala feedback...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema kuwa watu wanaosafiri kwenda mikoani ni jambo la kawaida linalotokea kila mwaka, na si kitu cha kushangaza au kuhusishwa na sababu nyingine.
“Naomba niwaambie kitu kimoja: kama kweli kuna adui, atakuwa amefanikiwa endapo atagundua kuwa...
Jeshi la Polisi limepiga marufuku maandamano yaliyopangwa kufanyika Desema 9, 2025, likisema kuwa yamekosa sifa za kisheria za kuyaruhusu kufanyika, ikiwemo kulenga uvunjifu wa amani.
Aidha, Jeshi la Polisi limesema hakuna barua yoyote iliyofikishwa au kupokelewa ya kutoa taarifa ya kufanyika...
Swala la vijana wa Gen Z kujihusisha na matumizi ya silaha pamoja na nia ya kuharibu Uchumi wa Taifa kama taarifa hii ilivyotolewa na Jeshi la Polisi inadhihirisha kuwa vijana hawa ni wahalifu na sio waandamanaji wala wazalendo wa Taifa lao
Hakuna mzalendo wa Taifa lake anayepigania haki kwa...
Mussa Ndile CHEO: Kiongozi wa machinga Simu 2000 Alitekwa tarehe 27.11.2025 na watu waliojitambulisha ni jeshi la Polisi, ndugu wamemtafuta vituo vote vya Polisi hawajampata.
Documentary ya CNN ilitaja tukio hili, Padre Kitima kataja tukio hili, wahudumu wa hospitali walizungumza jambo hili kuwa polisi walikuwa wakiwazuia kuwatibu majeruhi.
Hata kama serikali itakana kama kawaida yake lkn hili tukio ni la kinyama sio la kibinadamu kabisa.
Hivi leo polisi waliofanya...
Kwamba hayupo nchini?.Yupo nchini? Jeshi la Polisi lenye dhana na askari polisi wenye mafunzo ya hali ya juu hawajui Askofu Gwajima yupo wapi?
Kwamba hawana uwezo wa kupata taarifa mtu maarufu kama huyu yupo wapi?
Hadi leo wanamtafuta kwa uchochezi?
Je wataweza kujua vibaka na wavuta bangi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.