Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema "Wizara kupitia Jeshi la Polisi imepokea Tsh. Bilioni 247.48 kwa ajili ya ununuzi wa magari 412 na pikipiki 29 za kuongozea misafara" akiwa bungeni Mei 25, 2026, wakati akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya wizara hiyo kwa...
Ni miaka na mikaka sasa bado mnatafuta chanzo cha kwanini WATU wanatekwa na kupoteza
Lakini haitoshi bado mnatafuta nani alimpiga TUNDU LISSU risasi pale Dodoma had kumsababishia ulemavu wa kudumu
Sasa katika hali ya kushtua mbele ya umma wa WATU wa IRINGA WAZIRI MKUU wa JAMHURI ya MUUNGANI WA...
Kuhusu Demokrasia, Uchaguzi na kinachoendelea Tanzania, Muswada huu ambao umetengenezwa na Seneta Ted Cruz na Shaheen unasema yafuatayo:
(1) Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo uchumi wake unakua kinoma Afrika, kukiwa na ukuaji thabiti wa kiuchumi katika kipindi cha miaka kumi iliyopita...
Muache ngonjera za kusema Aliruka na kutokomea akiwa na PINGU.
Ukimfunga Mtu Míkono kwa namna yoyote ile, UMEMUONDOLEA BALANCE YA KUKIMBIA , HIVO HAWEZ KUA NA UWEZO WA KUKIMBIA KWA KASI HATA KUWASHINDA MAASKARI
UHUNI MLOUFANYA KWA POLEPOLE, KWAKUA HAMNA AKILI, NDIO MNAURUDIA ULEULE
Kufuatia majukumu ya Jeshi la Polisi kama yalivyoainishwa katika Ibara ya 147 (2) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Sura ya 322 ya Sheria ya Jeshi la Polisi na Polisi Wasaidizi Katika kifungu cha 5 (1), Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani linatimiza wajibu wake kuhakikisha Usalama wa...
Yaan kwamba una Jeshi la Polisi, Una TISS , lkn bado Wananchi wako wanatekwa kwa sababu za Mapenzi na Kishirikina
Yaan kwa Chande yeye, Ukitekwa kisa Mapenzi, au ushirikina , aaahhhhhh ni sawa tu bana
Kama sio kuvivua Nguo Vyombo vya Ulinzi ni nini Chande anajaribu kusema??.
Chande wewe ni...
Anazungumza Jaji Chande leo wakati anakabidhi anakabidhi Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani Yaliyotokea Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, tarehe 23 Aprili, 2026, Dar es Salaam
Wakuu,
Akizungumza kwenye Mkutano wa wadau wa kupokea maoni ya wadau wa usafiri wa umma kwa njia ya barabara Yusuph Lupilia (Mwenyekiti wa wamiliki na usafirishaji wa abiria Mwanza) analalamikia ongezeko la makosa na tozo kubwa zinazowakabili wamiliki Daladala
Alichokisema:
Faini Kubwa na...
TAARIFA KWA UMMA
TAHADHARI KUHUSU VITENDO VYA UTAPELI.
Hali ya Usalama nchini inaendelea vizuri kutokana na jitihada za Jeshi la Polisi zinazo saidiwa na ushirikiano mkubwa kutoka kwa wananchi katika kubaini na kuzuia uhalifu.
Pamoja na ushwari huo, yapo matukio mengine yanatendeka kutokana na...
Askofu Michael Msonganzila ametoa pendekezo hilo wakati akizungumzia kitendo cha jeshi polisi kuwashambulia bawacha eneo la kanisani
---
Askofu wa Jimbo Katoliki la Musoma, Michael Msonganzila amelaani tukio la Jeshi la Polisi kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wanachama, wafuasi na...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano.Kati ya maandiko yangu ya siku zilizotangulia niliwahi kugusia bwana mmoja maarufu kwa jina Baraka wasila ambaye ni muasisi wa kuuza dhahabu feki hapa bunda mjini.Niliwahi pia kueleza kwamba licha ya kuwa muuza dhahabu feki mjini aliamua kufungua...
"Jeshi la Polisi halina mamlaka ya kutoa tafsiri ya kimahakama au kujichukulia hatua zozote bila kupewa maelekezo na mahakama. Wanawake nchi nzima tumejiandaa tunampango wa kusafiri kwenda Musoma katika Maadhimisho ya siku ya Mwanamke Duniani, tunajua hatujavunja Sheria." Amesema Pamela...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma linawashikilia watuhumiwa watatu waliokuwa wakijiusisha na shughuli za utapeli maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Ruvuma na Mikoa Jirani.
Akizungumza kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma Kamishna Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Marco G. Chilya Februari 23,2026 katika...
Polisi makao makuu waliunda Kamati kuchunguza kutekwa kwa Mdude mpaka sasa kimyaa japo afisa wao alitajwa bayana.
Mzee Kibao uchunguzi unaendelea, Soka na wenzake Mahakama ikaamuru Polisi wa chunguze hadi leo kimyaa labda bado wanaichunguza amri ya mahakama.
Soka na wenzake uchunguzi...
Jeshi la Polisi kupitia Kikosi cha Kuzuia Wizi wa Mifugo Nchini (STPU) Kwa kushirikiana na Shirika lisilokuwa la kiserikali la ASPA limefanikiwa kuwakamata Watuhumiwa Watatu waliokuwa wakitorosha Mifugo aina ya Punda 21 kwenda Nchi jirani pasipo kuwa na kibali.
Kamanda wa Kikosi hicho, Kamishna...
Wakati tukiendelea Kushuhudia Matukio ya Utekaji na Mauaji yanayoendelea nchini, Mimi binafsi nilitumia Akili yangu na kipawa KIKUBWA nilichojaaliwa cha kutizama mambo kwa UPANDE wa pili, na nikushauri JESHI LA POLISI LIKAMATE WATU KWA UTARATIBU NA MAFWELE ADHIBITIWE kwakua anavuruga Security...
Wakuu,
Hebu njooni hapa tujadili huyu jamaa sanamu lake tulijenge wapi
===
POLISI TUACHENI TULE BATA
Haya yamesemwa na miongoni mwa wananchi wa mji wa Musoma katika mkutano wa Mbunge wa Musoma mjini akiwasilisha kazi alizozifanya kipindi Cha siku 100 mara baada ya uchaguzi wa October 29...
Ukifatilia hii kesi, Yale Maelezo waloandikishwa Hawa wanaoitwa Mashahidi wa Lissu, na maelezo wanaotoa Mahakamani ni vitu Viwili tofauti kabisa.
Sijui ni hizi Elimu za Darasa la Saba kwa hiyo wanafanya kazi za mazoea, sijui ni kutokujua chochote kuhusu PGO.
Mmekamata Lissu , mmekaa naye MIEZI...
Kesi ya Mchongo ambayo ulioanza labda ilionekana ina mashiko, lakini jinsi inavyo endelea, inaonyesha jeshi letu la polisi ni watu wasio jua kupambanua taarifa na matukio, pia Offisi ya mwendesha Mashtaka, kama ilivyo kwa jeshi la Polisi na
Mahakama zetu kutumika vibaya, na pia Kwa sababu hao...
Nimepitia baadhi ya picha nimeona vijana wanao ongazana na mafwele hawafai kuwa askari wa jeshi la polisi wamekaa kijambazi jambazi.
Weredi wa kuajiri askari umpengua sana inatia wasiwasi mkubwa na hofu ya usalama wa raia Ikumbukwe huyu jamaa mafwele anadaiwa kuhusika na utekaji na mauwaji ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.