jenista mhagama

  1. Jidu La Mabambasi

    Suala la wateuliwa CWT: Jenista Mhagama, Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu kashindwa kazi

    Suala la wateuliwa kutoka CWT kukataa uteuzi kwa baadhi yao kwa kweli ni fedheha kwa serikali ya rais Samia. Waziri husika hakufanya kazi yake. Tunavyofahamu uteuzi wowote serikalini, hasa kwa ngazi ya juu ni lazima utanguliwe na vetting. Vetting hii inafanywa na vyombo tofauti ikiwemo TISS...
  2. Mtemi mpambalioto

    Tokea Jenista Mhagama apewe Wizara ya Utumishi hakuna aliyelipwa malimbikizo

    Sijui ana gundu au anamshauri vibaya Rais au anamdanyanya ukute😄 Alipoingia alisema wanainginza data kwenye mfumo mpya wa HCMIS ili walipe! Ishapita mwaka sasa watu wanadai malimbikizo muda mrefu! Je, mambo ya mwendazake kudharau madai halali yanaendelea? Je, Jenista haona kuwa watu wanateseka...
  3. Kikotii

    Waziri Mhagama Pongezi kwa Chuo cha Utumishi wa Umma

    Mheshimiwa Waziri Jenista Mhagama (MB), kwanza nikupongeze kwa jitihada zako za kuujenga na kuuendeleza utumishi wa umma Tanzania. Natambua wewe ni kiongozi bora na si bora kiongozi na ndio maana Rais wetu ameendelea kukuamini katika kuendelea kusimamia Utumishi wa umma. Nikiwa kama mdau wa...
  4. Blender

    Jenista Mhagama, kumbuka ahadi yako ndani ya Bunge la Bajeti la 2022/2023

    Jenista Mhagama, kumbuka ahadi Yako ndani ya Bunge la bajeti la 2022-2023. Kwamba serikali ya awamu ya sita, imeandaa fedha kwa ajili ya kuwafanyia interview waombaji Ajira kupitia, utumishi site or Ajira Portal. Fedha hizo zitatumika, kuwafanyia interview waomba Ajira, katika mikoa yao...
  5. Mr Q

    Jenista Mhagama: Tutatimiza agizo la Rais la kupandisha mishahara kwa wakati

    WIZARA YA UTUMISHI KUTIMIZA AGIZO LA RAIS KWA WAKATI. Na. James K. Mwanamyoto-Dodoma Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Jenista Mhagama amesema ofisi yake imejipanga kupandisha mishahara ya Watumishi wa Umma kwa wakati kama alivyoelekeza Rais wa...
  6. B

    Rais Samia ni kinara wa maslahi ya wafanyakazi

    RAIS SAMIA NI KINARA WA MASLAHI YA WAFANYAKAZI. Na Bwanku M Bwanku. Jana Mei Mosi, Dunia iliadhimisha Siku ya Wafanyakazi na Nchi yetu ilifanya Maadhimisho haya Kitaifa Jijini Dodoma ambapo Rais Samia alikuwa Mgeni rasmi. Na Mimi Bwanku M Bwanku leo Jumatatu Mei 02, 2022 kwenye Gazeti la...
  7. M

    Jenista Mhagama katumwa kuharibu mpango wa kuongeza mishahara?

    Huyo ndo bingwa wa kutetea serikali ikitaka kukandamiza haki za watu!! Sasa kapelekwa Utumishi kuandaa njia ya Rais siku ya May 1 kutamka rasmi kwamba watumishi mumsamehe hali ya uchumi ni mbaya hivyo muendelee kuvumilia
  8. Roving Journalist

    Rais Samia atangaza mabadiliko ya Baraza la Mawaziri, Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu

    Muda mfupi ujao Mabadiliko ya Baraza la mawaziri yanatarajiwa kutangazwa kutoka Ikulu Jijini Dar es salaam. ====== Rais Samia amebadilisha muundo wa Wizara Tatu, Ameunganisha Wizara ya Uwekezaji iliyokuwa chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu na Wizara ya Viwanda na Biashara kuwa Wizara Moja ambayo...
  9. The Sheriff

    Jenista Mhagama: Vifo vinavyotokana na UKIMWI vyapungua kutoka 64,000 mwaka 2010 hadi 32,000 mwaka 2020

    IDADI ya vifo vinavyotokana na ugonjwa wa ukimwi nchini vimepungua kutoka 64,000 mwaka 2010 hadi 32,000 mwaka jana. Hayo yalisemwa jana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama wakati akizindua Kamisheni ya Tume ya Kudhibiti...
  10. Mtuflani Official

    Waziri Jenista, vijana wapo maofisini lakini wanalipwa mishahara ya dharau kabisa

    Jenista Mhagama ni Waziri wa Sera, Bunge na Ajira. Ila naona kama anadhani yeye ni Waziri wa Bunge pekee. Anahakikisha posho, mikopo na mishahara wanapata kwa wakati labda ndo maana wanamshangilia sana akitajwa bungeni. Hiki kipande cha Ajira naona amekikalia kimya kabisa. Watu wengi hasahasa...
  11. concrete jungle

    NSSF: Kilio kilichokosa ufumbuzi. Wanyonge hunyongwa kimya kimya nchi ikijifanya haioni, sababu ni jambo linalogusa tabaka la waliotengwa na mfumo

    Habarini wakuu, Ninaandika waraka huu nikiwa na maumivu makuu moyoni juu ya mahangaiko na misukosuko tunayopitia waathirika tuliopoteza ajira zetu katika kipindi hiki kigumu na kuamua kufungua madai ili kupata stahiki zetu NSSF tukiamini ndo hazina yetu iliyosalia itakayotukwamua katika kipindi...
  12. beth

    Waziri Jenista Mhagama atangaza punguzo la bei ununuzi wa nyumba za PSSSF za Buyuni - Chanika jijini Dar es Salaam

    Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia, Bunge, Sera, Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama (Mb), ametangaza punguzo la bei kwa karibu asilimia 50 kwa atakayehitaji kununua nyumba zilizo katika mradi wa nyumba za gharama nafuu zinazomilikiwa na Mfuko...
  13. Influenza

    Mara yatajwa kinara kilimo cha bangi

    MATUMIZI ya dawa za kulevya aina ya bangi, yametajwa bado ni tatizo nchini, huku mkoa wa Mara ukiwa ni kinara katika kulima cha zao hilo ikifuatiwa na Tanga. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana na Watu wenye Ulemavu), Jenista Mhagama, ndiye aliyebainisha hayo bungeni...
  14. Zitto

    Ajali ya MV Nyerere: Kangi, Jenista na Kamwelwe bado Mawaziri?

    Ajali ya Mv Nyerere: Kangi, Jenista na Kamwelwe Bado mawaziri? Ni masikitiko makubwa kwamba, Serikali ya wanyonge imeokoa mtu mmoja, wakati wananchi wenyewe wameweza kuokoa watu 40..... hii ni aibu kubwa sana. Watu 225 wamepoteza maisha sababu ya uzembe. Tuache kujidanganya na mapenzi ya...
Back
Top Bottom